Serikali ya Tanzania imefanya wananchi wake mazuzu.
Mikopo imesitishwa kupitia Halmashauri nimejiuliza watoaji wa hiyo mikopo walisomea wapi kazi ya kugawa mikopo?
Ni nani aliwapa majukumu hayo kama sio njia ya kutauta njia ya kupoteza fedha za serikali?
Ninaomba Jf member mchangie hii mada ni...
Heri ya Pasaka wana JamiiForums,
Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum.
Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo hapa tangu 2015 kama msomaji zaidi lakini sasa rasmi nitakuwa active member.
Naamini JF itakuwa...
Salaam Mheshimiwa.
Kwanza nikupongeze kwa juhudi binafsi unazoendelea kuzionyesha katika Wizara yako na Serikali kwa ujumla.Tunaelewa kusudi kubwa la Serikali kuimarisha huduma bora kwa wananchi wake hasa maendeleo ya jamii kiujumla.
Lengo kuu la barua ni kukujulisha juu ya mambo ya kipuuzi...
Amani iwe kwako mkuu wangu wa nchi.
Nimeweka heading hiyo kuweza kukuvutia kusoma usuli wa hoja yangu.
Sote tunafahamu kwa Mujibu wa Katiba kuwa tasisi unayoiongoza imepewa mamlaka ya kuunda, kupangua ama kufuta wizara mbalimbali za serikali hasa kutokana na mahitaji ya nchi kwa wakati husika...
Mimi ni mhitimu wa chuo cha kati, nina diploma ya maendeleo ya jamii.
Naombeni mnisaidie kupata connection ya ajira yeyote ile ambayo ninaweza nikafiti kutokana na elimu yangu, napatikana dar na number zangu za simu ni 0782519947.
Mungu awabariki kwa hisani hii.
Hapa nchini tangu zamani tumekuwa tukisikia, kushiriki au kuona (kushuhudia) MIRADI mbalimbali inayoanzishwa na kusimamiwa na Serikali kwa lengo la kuleta maendeleo kwenye Jamii husika. Mfano: Miradi ya Maji, Umeme, Barabara, Shule, Vyuo na Vituo vya Afya n.k
Miradi hii baadhi imekuwa...
Mwaka 2019 ulionesha ya kwamba asilimia 13.6 ya pato la Tanzania (Kitomari, 2019) lilitokana na sekta ya sanaa na burudani. Hii ni kujumulisha sanaa ya kuigiza, muziki, uchoraji na michezo. Katika robo ya kwanza ya mwaka huo huo wa 2019, nchi ya Nigeria ilipata asilimia 0.27% ya pato la taifa...
KILIMO KWA MAENDELEO YA JAMII
Kilimo ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamba, kilimo kinajumuisha mifumo ya uzalishaji mimea, ufugaji wa wanyama, ndege, nyuki, na uvuvi wa samaki. Kilimo ni uti wa mgongo kwa uchumi wa nchi zote zinazoendelea. Asilimia 95% ya vyakula, na mavazi tunavyotumia...
Hizi jamii mbili, Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya jamii huchanganya sana watu. Inawezekana chanzo ni zote kuwa idara katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu. Au kwa sababu majina yote yana neno “jamii”. Hata maneno ustawi na maendeleo huonekana na walio wengi...
Ninawasalimu wadau wote mliomu humu ndani.
Wadau ninaomba kufahamishwa kuhusu chuo tajwa hapo juu maana kijana wangu amechaguliwa kujiunga chuo hicho. Kwa anayefahamu kuhusu kozi zinazotelewa hapo chuoni ili nione kama zina tija ili...
Hello,
Ninajiandaa na usaili wa written, nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka utumishi
Naomba mwenye vidokezo, written yao inalenga maeneo gani haswa?
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
TAARIFA KWA UMMA
MAFANIKIO YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KWA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARA.
Ndugu Wananchi, Disemba 2021 nchi yetu inaadhimisha...
Lengo ni kuakisi Suala zima la mendeleo ya nchi yetu/wazawa.
Kelele nyingi zinapigwa kua nchi haiendelei Kama zilizotangulia.
Maisha magumu mtaani.
Ukweli ni kwamba
Watanzania tunataka MAENDELEO lakini tunaogopa MABADILIKO. (Fact)
Maana halisi ya heading yangu ni kwamba:
Kuifanya nchi...
“Maendeleo binafsi, ni Maendeleo ya Jamii nzima”.
Habari zenu, ndugu wana Jamii Forums, haswa jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu sote tu wazima wa afya.
Andiko hili litaangazia juu ya ukombozi wa fikra.
Kama ifuatavyo;
Mtaji wa kwanza wa Maendeleo binafsi ni Ukombozi wa...
Jamii yenye ukamilifu wa huduma ni ile inayojitosheleza kupata huduma zote za msingi zinazohitajika Kila siku.
Bahati mbaya sana iliyopo ni kukosekana Kwa baadhi ya huduma za msingi katika jamii yetu ya watanzania wengi na hata huduma zinazopatikana hazikidhi mahitaji kwa ukamilifu.
Ili baadhi...
Na Chu Joe
Leo nataka tuzungumze kuhusu umuhimu wa katiba mpya lakini kabla ya kuelezea kuzungumzia hilo ngoja nikueleze maana ya katiba ambayo ni mkusanyiko wa sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali.
Baada ya kipindi kirefu kupita...
Na Chu Joe
Leo nataka tuzungumze kuhusu umuhimu wa katiba mpya lakini kabla ya kuelezea kuzungumzia hilo ngoja nikueleze maana ya katiba ambayo ni mkusanyiko wa sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali.
Baada ya kipindi kirefu kupita...
Kazi za kujitolea ni kazi ambazo mtu au watu wanaamua kufanya kwa ajili ya lengo la kutoa msaada katika jamii. Misaada hiyo inaweza ikawa katika mfumo kifedha, mawazo,elimu na nguvukazi, kulingana na mahitaji ya jamii inayosaidiwa.
Kuna baadhi ya watu huwa wanahisi kuwa kazi za kujitolea ni...
PAMOJA TUNASHINDA
Kumekuwa na mapambano na vita dhidi ya umasikini, nchi imekua ikibadilisha sera na kauli mbiu kila utawala mpya ukiingia, Licha ya jitihada zote hizo takwimu zinaonyesha ya kuwa kuna maendeleo ya serikali ki takwimu na watu wake wakisalia katika mkwamo ule ule wa umasikini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.