“UONGOZI BORA KWA MAENDELEO YA TAIFA”
Wengi tunajua sifa mbalimbali za viongozi bora waliopo na hata waliopita, basi sasa naend kueleza vitu vichache kwa upana zaidi juu ya viongozi ama uongozi bora kwa maendeleo ya familia,ukoo,mtaa,kijiji,kata nk mpaka kwa ngazi ya Taifa.
Kiongozi bora ni...
Lengo la makala haya ni kuonesha kwamba kuendekeza ushirikina au uchawi na waganga wa kienyeji (wapiga ramli) kunaathiri maendeleo ya jamii. Tuachane na hiyo imani maana badala ya kutusaidia kusonga mbele, tunajenga chuki, uadui na moyo wa kulipiza kisasi kwa kuwadhania wengine ndio vyanzo vya...
•MAENDELEO ni MAFANIKIO
Jambo ambalo mtu anapambana ayafikie.
•Hamu na shauku ikoje ya kupata maendeleo?
Harakati zote za mwanadamu kuwa na maisha mazuri na wakati mwingine tumeyatafsiri mtu akipata chakula cha kutosha,chombo cha usafiri(baiskeli,Pikipiki,gari n.k), nyumba nzuri n.k...
Vyombo vya habari vimekuwepo kwa karne na karne tangu kuanza kugunduliwa kwa teknolojia ya habari na mawasiliano, vikiwa na kazi kubwa ya kuhabarisha umma, na kuimulika jamii kiujumla. hata hivyo kufikia sasa Vyombo vingi vya habari hasa katika nchi za kiafikra vinashindwa kutimiza majukumu...
Habari, Mimi ni Binti Nina miaka 24 Niko arusha. Ninatafuta Kazi. Niko tayari kufanya Kazi yoyote halali eneo la Arusha.
Nina elimu ya chuo kikuu, kupitia kozi ya maendeleo ya jamii.
Nina uwezo wa kuwasiliana vizuri, kufanya Kazi kwa usimamizi Mdogo au bila usimamizi na kuleta matokeo mazuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.