maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. Ujue mchezo wa aviator au kindege na siri zilizojificha nyuma yake

    Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa wakizitumia kuchota mamilioni ya fedha kutoka kwa wateja wao bila jasho. Wachezaji wa huu mchezo...
  2. Dira ya Taífa 2100 Kwa Maendeleo ya kiuchumi, kijamii na kisiasa

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli MALENGO Kurahisisha maisha ya watu katika uzalishaji na shughuli zao za kila siku. Kukuza uwezo wa mtu mmoja mmoja kuchangia nguvu, maarifa, ujuzi na kipaji katika ujenzi wa taifa. Kuboresha na kuhakikisha haki na sheria za kulinda utu wa raia vipo kwa...
  3. Mbunge Nancy Nyalusi: Serikali Imeleta Bilioni 1.8 ya Miradi ya Maendeleo Kata ya Kising'a, Iringa

    MBUNGE NANCY NYALUSI: SERIKALI IMELETA BILIONI 1.8 YA MIRADI YA MAENDELEO KATA YA KISING'A, IRINGA Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Mhe. Nancy Nyalusi amezungumza katika Kata ya Kising'a Wilaya ya Iringa na amewataka wananchi kutembea kifua mbele na kujivunia uwepo wa Serikali sikivu...
  4. Mahusiano yamekupa maendeleo gani?

    Hebu kuwa mkweli hapa katika hili jambo, ukiulizwa Leo kwamba mahusiano yamekupa faida gani au maendeleo yapi unawezaje kujibu Vijana wengi tunejikita sana na kutumbukia katika hili janga la mahusiano bila kutambua faida ama hasara gani zilizopo humo Let's majibu hapo
  5. Namna ya uwasilishaji ya Chalamila kuhusu Dart Simu 2000, je viongozi wakumbushwe kuwa wananchi ni maboss wao?

    Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie. Rejea tafasiri ya demokrasia. Nikiona kiongozi anawafokea wananchi huwa najiuliza je, yeye ni bora...
  6. Igunga: UWT Taifa Yaendelea Kuhamasisha Maendeleo ya Kupinga Ukatili wa Kijinsia

    IGUNGA: "UWT TAIFA YAENDELEA KUHAMASISHA MAENDELEO NA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA" Mjumbe wa Kamati ya Utekekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Hawa Ghasia Amefanya Ziara kwenye Kata Nne za Jimbo la Igunga (Itumba, Lugubu, Nguvumoja na Igunga) kwa ajili ya...
  7. Waziri wa Kilimo, zao la bangi ni muhimu sana kwa maendeleo ya haraka

    Mheshimiwa Hussein Bashe, natumai na Rais wetu mama Samia Suluhu Hasan na washauri wake wengine utawafikia ujumbe huu. Zao la bangi za aina tofauti tofauti (different varieties of hemp) linastawi vizuri sana Tanzania. Ni wakati muafaka, tena tumechelewa sana, kuanzisha zao la bangi kwa faida...
  8. Nini tofauti ya maendeleo na mafanikio? Je wewe una mafanikio au una maendeleo?

    Hii ni changamoto yangu kwako Leo. Jipime. Je una mafanikio au una maendeleo? Je Kati ya mafanikio na maendeleo yako ni kipi kinakupa furaha?
  9. Maendeleo ya Teknolojia mpaka sasa yamekupa faida gani katika maisha yako

    Swali: Maendeleo ya teknolojia yamekuwa na athari gani chanya katika maisha yako ya kila siku? Je, kuna teknolojia fulani ambayo imekuwa na mabadiliko makubwa kwako binafsi?
  10. Nchi za Afrika zimehimizwa kujifunza toka kwa China ili ziweze kupata maendeleo ya kasi

    Nchi za Afrika zimetajwa kuwa zinaweza kujifunza kutoka kwenye mtindo wa maendeleo wa China kama zikitaka kupata maendeleo ya kasi. Akiongea kwenye mahojiano maalum na Shirika Kuu la Utangazaji la China CMG, Profesa Waithaka Niraki wa Chuo Kikuu Cha Nairobi amesema, mbali na kujifunza kutoka...
  11. B

    Muelekeo wa ajira na maendeleo ya teknolojia kwa miaka 10 ijayo

    MWELEKEO WA AJIRA NA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA MIAKA 10 IJAYO. Kwa miaka takribani 10 Sasa tangu mnamo mwaka 2014 katika awamu ya mwisho ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete matumizi ya mitandao na TEHAMA kwa ujumla yamekuwa chachu katika kuongeza pato la taifa, naiona Tanzania yenye vijana wenye...
  12. Bila shaka madai ya Mchungaji Msigwa kuondoka na Kutimkia CCM ni Yale Yale ya siku

    Friends and Our Enemies, Bila shaka madai ya Mchungaji Msigwa kuondoka na Kutimkia CCM ni Yale Yale ya siku zote ambayo makada wengine wamekuwa wanayatoa pindi tuh wanapoamua kumwaga manyanga,siyo mapya...point ni zile zile ..nakumbuka enzi zile tunasoma history swali likija Majibu ni Yale...
  13. C

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Ubunifu na Maendeleo kwa miaka kumi, kumina tano na ishirini na tano ijayo

    Katika ulimwengu unaobadilika kwa kasi, Tanzania ina nafasi ya kipekee ya kuibuka kama kiongozi wa maendeleo endelevu barani Afrika. Ili kufikia azma hii, ni muhimu kuwekeza katika ubunifu na maendeleo kwa miaka kumi na kumi na tano ijayo. Hii itahusisha kuboresha sekta mbalimbali kwa kutumia...
  14. C

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Ubunifu na Maendeleo kwa Miaka Kumi na Kumi na Tano Ijayo

    Tanzania inakabiliwa na fursa na changamoto nyingi katika juhudi za kujenga taifa imara na lenye maendeleo endelevu. Katika miaka kumi hadi kumi na tano ijayo, mkazo mkubwa unatakiwa kuwekwa kwenye ubunifu na maendeleo. Hii itahusisha kuimarisha sekta mbalimbali kama vile elimu, afya...
  15. SoC04 Katika miaka 5-25 ya mabadiliko ya nchi na jamii ningependa kuona au kuchangia mambo yafuatayo ili kupata maendeleo yenye tija katika nchi yetu

    KWANZA AWALI YA YOTE NAMSHUKURU MUNGU KWA AMANI NA NEEMA ALIYOTUPA SISI KAMA TAIFA LAKINI YAFUATAYO NI MITAZAMIO YA MIAKA 5 HADI 25 NTAKAYOCHANGIA;- 1. Kulingana na mtazamo wangu miaka ijayo kutakuwa na ongezeko kubwa la watu na makazi hivyo kwa hiyo hatua inatupasa kama jamii tuzingatie hayo...
  16. SoC04 Magonjwa ya akili ni chanzo cha utawala mbovu

    Wakati ambao dunia inabadirika kwa kasi katika siasa, uchumi, afya, elimu na technolojia, jamii yetu inahangaika kupambana ili kuhakikisha kila mtu anaishi maisha bora na maendeleo yanapatikana kwa kila mmoja. Lakini, juhudi hizi zinarudi nyuma kutokana na changamoto kubwa ambazo jamii inapitia...
  17. SoC04 Hatua Muhimu za Kuchochea Maendeleo ya Kiteknolojia Tanzania kwa miaka 10 hadi 20 ijayo

    Utangulizi Tanzania imekuwa ikishuhudia maendeleo ya kiteknolojia kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. Katika miaka 10 hadi 20 ijayo, nchi inaweza kuwa imefikia kiwango kikubwa cha maendeleo ya teknolojia ikiwa itazingatia na kuwekeza katika maeneo haya makuu yafuatayo. Miundombinu ya...
  18. H

    Waafrika wasipoondoa mfumo wa kuwakilishwa na Wabunge kamwe wasahau maendeleo

    Habarini, Ni wazi wanasiasa wa Afrika ndio maadui wa maendeleo ya Afrika kwa kuwaibia Waafrika mali na fedha kwa kujilipa mishahara na marupurupu makubwa huku waliwaachw wananchi wao wakiwa maskini wa kutupwa. Nawaunga mkono Kenya kwa kulisambaratisha bunge na kuwasambaratisha wabunge wote...
  19. H

    SoC04 Taifa ni kama meli

    Aaah jamani humu nyote muwazima haya mm Nina mchango kidogo kwenye sekta ya vyombo vya baharini kama tunataka nchi yetu ifikie maendeleo kwa haraka, kwanza Jambo la mwanzo la kufanya ni kuwa na mashirikiano mema Kati yetu raia pamoja na vyombo vya usalama wa baharini kwa sababu tukienda kinyume...
  20. Jimbo la Kiteto Tumepokea Fedha Kwaajili ya Miradi ya Maendeleo Kiasi cha Tsh. 965,280,029

    JIMBO LA KITETO: TAARIFA KWA WANANCHI WA KITETO TUMEPOKEA FEDHA KWA AJILI YA MIRADI YA MAENDELEO KIASI CHA SHS 965,280,029 Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto, nachukua fursa kuwafahamisha kuwa tumepokea fedha 965,280,029 Shs kwa ajili ya miradi ya maendeleo. Nimezungumza na Mhe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…