maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    SoC04 Je, Tanzania inahakikisha vipi maendeleo yanaenda sambamba na uhifadhi mazingira kwa ajili ya kizazi cha sasa baadaye?

    Je, Tanzania inahakikisha vipi maendeleo yanaenda sambamba na uhifadhi wa mazingira kwa ajili ya kizazi cha sasa na baadaye? Kuhusu swala la Tanzania na maendeleo na uhifadhi mazingira ili liwe halisi inabidi; (a)kwanza serikali ihamasishe wananchi kutumia gesi kama nishati bora kwa matumizi ya...
  2. G

    Nawapongeza wakenya kwenye kujitetea juu ya ongezeko la kodi

    Nimeona hawa vijana wa Kenya wapo tofauti sana na hapa kwetu, Kwenye suala la kulimbikiziwa tozo na kodi hawanong'oni kimya kimya mitandaoni, ni wamechachamaa !! Wana spirit ya kuhoji vitu, "Inakuwaje Kenya inapokea matrilioni ya misaada kila mwaka na kuomba mikopo yamatrilioni kwajili ya...
  3. F

    SoC04 Mapinduzi ya soka Tanzania: Njia kuu za kuleta maendeleo na mafanikio

    Michezo haswa soka, ina uwezo mkubwa wa kuleta mabadiliko makubwa katika Tanzania. Michezo ni zaidi ya burudani tu kwani inaweza kuwa injini ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Hata hivyo, ili kufikia hilo ni muhimu kufanya mabadiliko katika tasnia ya michezo. Katika makala hii, nitaangazia...
  4. M

    SoC04 Kesho ya Tanzania inategemea maendeleo ya teknolojia

    KESHO YA TANZANIA INATEGEMEA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA. 1.0. Utangulizi. Teknolojia, kulingana na ensaiklopedia ya Britannica inaamanisha utumiaji wa maarifa ya kisayansi kwa vitendo kwaajili ya maisha ya mwanadamu au, kama inavyosemwa wakati mwengine, kwa mabadiliko na uendeshaji wa mazingira ya...
  5. Amimu H Abdallah

    SoC04 Ushiriki wa wananchi katika maandalizi ya bajeti ya nchi: Njia bora kwa maendeleo endelevu

    Kila mwaka wa fedha, serikali huandaa na kuweka wazi makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha unaofuata. Licha ya umuhimu wake, swali kubwa linabaki kuwa ni kwa kiasi gani wananchi wanashiriki katika mchakato mzima wa maandalizi ya bajeti hizi? Bila shaka, upo umuhimu mkubwa wa...
  6. Tukuza hospitality

    SoC04 Deni la Taifa, Tanzania Linaweza Kupungua Endapo Mifumo ya Maendeleo Itafanyiwa Mageuzi

    Utangulizi Kwa miaka ya hivi karibuni, yaani mwaka 2021 hadi sasa, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu ongezeko la deni la Taifa. Miongoni mwa makundi yanayohusika na mijadala hii na hata malalamiko ni yale ya Wanazuoni, asasi za kiraia na ya wanasiasa. Mijadala inajikita katika mambo muhimu...
  7. J

    SoC04 Tanzania tuitakayo; Jukumu la Serikali Kutoa Kipaumbele kwa Maendeleo ya Vijijini

    Jukumu la Serikali Kutoa Kipaumbele kwa Maendeleo ya Vijijini Katika nchi yangu ya Tanzania, kuna hali inayozidi kuonekana ambapo serikali inatoa kipaumbele zaidi kwa maeneo ya mijini kuliko vijijini. Hii ni hali inayotia wasiwasi kwa sababu vijijini ndiko kunakotegemewa zaidi kwa maendeleo ya...
  8. Pascal Mayalla

    Mlimani City: Kongamano la Maendeleo Sekta ya Habari Tanzania, Mgeni Rasmi ni Rais Samia Suluhu. Karibuni

    Wanabodi Karibuni katika tukio hili https://www.youtube.com/live/THx3Tn0wJUU?si=v7wHE2Hioo6C53DO Paskali
  9. C

    SoC04 Maendeleo na uchumi imara na jumuishi kwa walemavu miaka 10 ijayo

    Picha kutoka shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania. Mungu hajakosea kumfanya kila mmoja wetu jinsi alivyo,japo kati yetu kuna walemavu ambao huwa na matatizo au upungufu wa kimwili ,kiakili au kihisia ambao huwafanya kushindwa kufanya baadhi ya shughuli kwa njia ya kawaida...
  10. sba

    SoC04 Dira ya maendeleo ya taifa ndani ya miaka 20 ijayo

    Kama taifa ili kukua kiuchumi yafuatayo yanaweza saidia kulifikisha taifa sehemu nzuri ya kimaendeleo 1.kuweka Dira ya pamoja kama taifa ambayo itaonesha mipango mikakati ya mda mrefu na mda mfupi kama taifa ni wapi tunapaswa kufika na vitu gani tunataka kuwa navyo 2.kuwekeza nguvu kwa vijana...
  11. Eddy the broker

    SoC04 Utawala bora, chanzo cha Tanzania tuitakayo kwa miaka 10 ijayo

    TANZANIA ilitajwa kuwa miongoni mwa nchi nzuri duniani na Bara la Afrika kwa ujumla, kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa na tovuti ya money.co.uk kutokana uzuri wa asili wa Taifa hilo lenye vivutio vya aina yake(madini ya kipekee kama Tanzanite, Dhahabu, Almasi), vivutio vya utalii kama vile...
  12. H

    SoC04 Rushwa ni adui wa haki kwa Mtanzania mpenda maendeleo

    Rushwa ni adui wa haki Kwa mtanzania yeyote yule mwenye uzalendo na kuipenda nchi yake Kwa moyo wake wote. Rushwa inaweza kuzibitiwa Kwa njia mbali Kwa kila mtanzania mpenda maendeleo ndani ya nchi yake. Tukisema rushwa ni adui wa haki Kwa mtanzania hatukosei hata kidogo walio wahi kutana na...
  13. K

    SoC04 Soka kwa maendeleo ya Taifa: Nionavyo tanzania kwa miaka 15 ijayo

    Michezo ni matukio au vitendo vinavyohusisha matumizi ya viungo vya mwili kwa lengo la kujenga afya na pia ni ajira. Kwa mantiki hii iwapo nchi ikiweza kwenye michezo kuanzia sasa ni dhairi naiona Tanzania ya miaka 15 yenye mafanikio makubwa. Michezo ambayo hupendwa sana duniani ni pamoja na...
  14. Mturutumbi255

    Mada: Je, Ni Wakati wa Mabadiliko ya Uongozi kwa Maendeleo ya Tanzania?

    Tanzania imeongozwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa zaidi ya miaka 40. Ingawa chama hiki kimeleta maendeleo kadhaa, kuna changamoto zinazozidi kujitokeza zinazohitaji mabadiliko ya uongozi. Swali linabaki: Je, ni wakati muafaka kwa vyama vingine kupewa nafasi ili kuleta mabadiliko ya maendeleo...
  15. Cunning

    SoC04 Mpango wa Utekelezaji wa Taifa (MUT) uwe mbadala wa matumizi ya Ilani ya Chama cha siasa kama Muongozo wa utekelezaji wa Shughuli za Maendeleo

    Kwa miongo kadhaa tangu tumepata uhuru maendeleo ya Taifa letu yamekuwa yakitegemea ilani ya chama kinachotawa na maono ya kiongozi aliyepo madarakani. Hata hivyo muda mwingine utekelezaji wa baadhi ya miradi ulikuwa ukitegemea huruma ya viongozi waliopo madarakani, hali iliyopelekea baadhi ya...
  16. L

    SoC04 Sekta ya Ujenzi na Ukuzi wa Uchumi wa Tanzania katika maendeleo endelevu

    Tanzania na nchi za afrika kwa ujumla wake tumekuwa na uduni katika kukuza SEKTA ya UJENZI kwa MAENDELEO ENDELEVU pamoja na usalama wa nnchi zetu 1. SEKTA YA UJENZI ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote Tanzania ikiwemo. Kati ya sekta inayotumia pesa nyingi katika mataifa...
  17. Massawe John

    SoC04 Mawazo thabiti ya namna ya kuyafikia maendeleo nchini Tanzania

    Uwazi na uwajibikaji thabiti katika uongozi; ikiwa taifa litatunga sera,sheria na miongozo ambayo itakwenda kuzilazimisha tawala/watawala kua wawazi katika utendaji na utekelezaji wa shughuli za kiserikali hii itaenda kupunguza au kuondoa kabisa ubadhirifu wa rasilimali za taifa na kodi za...
  18. S

    SoC04 Namna ya kuepuka au kukomesha athari za Ukoloni Mamboleo (Neo-colonialism) katika kuhamasisha kuleta maendeleo ya Tanzania ya baadaye

    Ukoloni mamboleo ni mfumo wa kidunia ambapo nchi zilizostawi zinadhibiti na kunyonya rasilimali za nchi zinazoendelea kwa njia zisizo za moja kwa moja, ikiwemo kupitia mikataba ya kiuchumi, msaada wa kifedha, na ushawishi wa kisiasa na kitamaduni. Tanzania, kama nchi nyingine za Afrika...
  19. nasri713

    SoC04 Tanzania tuitakayo kuhimiza maendeleo maeneo ya vijijini

    Serikali kwa kiasi kikubwa imewekeza maeneo ya mjini na kutoweka nguvu kubwa maeneo ya vijijini kwa mfano asilimia 95% ya viwanda vipo mjini hivyo basi nimatumaini yangu kuwa miaka ijayo wawekezaji wataenda maeneo ya vijijini na kuwekeza katika sekta ya viwanda ili kupunguza tatizo la...
  20. D

    SoC04 Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu

    "Tanzania Tuitakayo: Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu" Utangulizi Tanzania, kama nchi inayoelekea katika siku zijazo, inahitaji uwajibikaji bora kutoka kwa viongozi wake ili kuwezesha maendeleo endelevu katika kipindi cha miaka 5 hadi 10 ijayo. Uwajibikaji huu wa viongozi...
Back
Top Bottom