maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. SoC04 Safari ya maendeleo ni miundombinu bora

    Utangulizi Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi na fursa kubwa za maendeleo. Hata hivyo, ili kufikia uwezo wake kamili, ni muhimu kuwa na miundombinu bora na endelevu. Katika kipindi cha miaka mitano ijayo, Tanzania inaweza kutekeleza maono ya kibunifu katika sekta ya miundombinu ambayo...
  2. SoC04 Maendeleo ya Kiuchumi: Kuweka Misingi ya Tanzania ya Kesho

    Tanzania itasonga mbele kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo na ndoto kubwa ya kufikia maendeleo endelevu na ustawi wa wananchi wake. Moja ya nguzo muhimu katika safari hii ni maendeleo ya kiuchumi. Kwa kufanya hivyo, nchi inatakiwa kulenga katika kuunda mazingira wezeshi kwa ukuaji wa viwanda, kilimo...
  3. M

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Marejesho ya Mazingira na Maendeleo Endelevu

    Tanzania, nchi iliyobarikiwa kuwa na mifumo mbalimbali ya ikolojia na maliasili nyingi, inakabiliwa na changamoto kubwa za kimazingira. Ukataji miti, unaochochewa na mahitaji ya kuni kama nishati na kwa ajili ya upanuzi wa kilimo, ni suala kubwa. Dira hii inaangazia mbinu mbalimbali za...
  4. W

    SoC04 Tanzania ibadili mfumo wa siasa ili kuchochea maendeleo

    Nadhani ili taifa liweze kuendelea na kupambana na matatizo ya kiuchumi nilazima mfumo wa utawala ubadilike. Kwanza idadi ya vyama vya siasa ipungue Pili iundwee selikali ya kitaifa ambayo vyama vyote vitakuwa na nafasi serikalini. Hii italeta ushindani na uwajibikaji wenye tija zaidi. Tatu...
  5. SoC04 Tanzania tuitakayo: Ndoto ya taifa lenye maendeleo endelevu

    1. Usawa: Usawa ni kipengele muhimu katika kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo ya kudumu. Tanzania inahitaji kuzingatia usawa katika nyanja mbalimbali Kijinsia: Lengo ni kuhakikisha kuwa wanawake na wanaume wanapata fursa sawa katika kila nyanja ya maisha. Hii inajumuisha upatikanaji wa...
  6. M

    SoC04 Uhai wa asasi zisizo za kiraia: Wito kwa serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo

    Licha ya umuhimu wa kazi wanayofanya, watendaji wengi wa utawala wa kidemokrasia wanaofanya kazi na asasi za kiraia wanakabiliwa na udhaifu mkubwa wa uwezo wa ndani wa kuendesha ofisi kuwa endelevu katika kutatua matatizo yanayokabili maendeleo. Udhaifu huu unazidishwa na ukosefu wa njia za...
  7. Kongamano la Kwanza la Kitaifa kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Ushiriki wa Wananchi katika Kuunda Dira ya Taifa

    Habarini Wanajamvi, Leo, tunashuhudia tukio la muhimu la Kongamano La Kwanza La Kitaifa kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, likiendelea hivi sasa. Ni fursa adhimu kwa kila Mtanzania kushiriki katika kujenga mustakabali wa Taifa letu. Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango...
  8. M

    SoC04 Safari ya kuifikia miundo ya mitaala na maendeleo kwa jamii endelevu ya Tanzania ili sayari yetu, watu wasasa na wajao, kwa leo hata keshokutwa

    Katika falsafa ya kibudha, lengo la elimu linafunganishwa kwa karibu na lengo pana la maisha ya mwanadamu, ambao ni kupatikana kwa mwanga au ukombozi kutoka katika mateso na kukomaa kiakili kitabia, na utashi wa kuitumia hekima kwa mtu binafsi. Kulingana na Ubudha, sababu kuu za mateso na...
  9. Nape Nnauye aliyekuambia kuwa wanaoshinda Mitandaoni 24/7 hawachangii katika kuiletea nchi Maendeleo kama uliyoyaona huko Korea ni nani?

    Hivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi? === Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii culture ya watu wanashinda mtandaoni masaa 24, halafu baada ya pale mfukoni hamna kitu, hii culture...
  10. SoC04 Wasanii wasitumike ovyo na wanasiasa kipindi cha uchaguzi kwa kutanguliza pesa bali waangalie sera na maono ya wanasiasa hao katika kuleta maendeleo

    Tanzania ni miongoni kati ya nchi zilizobahatika kuwa na wasanii wengi sana wazuri, ambao ni wasanii wakubwa na mashuhuri ndani na nje ya nchi. Lakini pia kwa asilimia kubwa ya wasanii wetu hao, wengi wamekuwa ni wasanii wenye ushawishi mkubwa sana kwenye vitu mbali mbali vingi sana ikiwemo...
  11. Z

    SoC04 Nyumba na makazi bora kwa raia yenye kuleta tija kwa maendeleo ya taifa letu

    UTANGULIZI Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii muhimu kwa kuleta mapendekezo na mawazo bunifu yatayoimarisha nchi yetu kwenye sekta ya nyumba na makazi bora kwa raia wa Kitanzania. Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi, hii inafanya kuwa na ongezeko kubwa la...
  12. Kongamano la Kwanza la Kitaifa la Maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ni Juni 8, 2024

    Kutakuwa na mawasilisho ya maoni kutoka kwa makundi mbalimbali ya kijamii na mjadala wa wazi Mada za Utangulizi 1. Prof. Issa Shivji: Tanzania @ 60 2. Prof. Kitila Mkumbo: Tanzania ya 2050 Wachagizaji wa Mada 1. Prof. Samwel Wangwe 2. Mama Getrude Mongela 3. Dkt. Neema Mduma 4. Dkt. Richard Mbunda
  13. D

    SoC04 Maendeleo ya Tanzania sekta ya ujenzi na makazi (miaka 5- 15)

    Makazi ni mahitaji ya binadamu kwa lengo la kukizi huduma za maisha. Maisha ni hali au uwezo wa kuishi kwa kuzingatia kula mlo kamili wenye virutubisho. Tanzania inakumbana na changamoto nyingi kama vile watoto wa mtaani , wezi ni kwa sababu ya marafiki au malezi ya wazazi. Kero kubwa ikiwa ni...
  14. E

    SoC04 Kufungua uwezo wa teknolojia ya Tanzania: Mikakati kwa maendeleo endelevu ya teknolojia

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeanza safari kuelekea maendeleo ya kiteknolojia, lengo likiwa kutumia nguvu ya uvumbuzi kwa ajili ya ukuaji wa kiuchumi na maendeleo ya kijamii. Hata hivyo, nchi inakabiliana na changamoto kadhaa katika uga wa teknolojia, ikiwa ni pamoja na upatikanaji...
  15. SoC04 Mazingira yetu ni maendeleo yetu

    Utunzaji wa mazingira ni muhimu katika maendeleo ya taifa ili kufikia Tanzania tuitakayo ni vyema serikali,jamii na wadau kusimama kidete katika kupinga uharubifu wa mazingira kwa kufanya mambo yafutayo. Je jamii inajua kama suala la kulinda na kutunza mazingira ni jukumu lao au la serikali...
  16. K

    SoC04 Maendeleo katika elimu

    Sekta ya elimu ni sehemu kubwa katika maendeleo ya taifa, elimu inasaidia kwa asilimia kubwa maendeleo ya taifa katika uongozaji na jpandaji wa uchumi. Elimu yetu kwakiasi kikubwa imekuwa ni elimu ya mtu kujinasua katika ngazi ya kifamilia na huku asilimia chache ikitumika katika maendeleo ya...
  17. SoC04 Serikali kuanzisha mradi wa vituo vya utafiti na maendeleo ya kilimo nchini

    MRADI WA KUANZISHA VITUO VYA UTAFITI NA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI TANZANIA. kulingana na changamoto zilizopo katika sekta ya kilimo Nchini. nikaona si vibaya kufikiria juu ya sekta hii muhimu, ambayo tunasema ni utii wa mgongo wa taifa la Tanzania. Hivyo basi nikaona kuna haja ya kuanzishwa...
  18. SoC04 Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Walemavu Tanzania - Mapendekezo ya Uboreshaji wake kwa Kutumia Mkoa wa Dar es Salaam kama Mfano

    Tanzania ina utaratibu wa kutenga kiasi cha fedha kutoka kwenye mapato ya ndani ya halmashauri zote kwa ajili ya maendeleo ya vijana, wanawake na walemavu. Fedha hizo hutokana na asilimia 10% ya mapato ya ndani ya halmashauri, ambapo asilimia 4% hutengwa kwa vijana, asilimia 4% kwa wanawake na...
  19. H

    SoC04 Uchumi wa vyombo vya habari katika wakati huu wa maendeleo ya Teknologia ya habari na mawasiliano

    Uchumi wa vyombo vya habari katika wakati huu wa maendeleo ya Teknologia ya habari na mawasiliano. Vyombo vya habari, kama vile vituo vya redio, magazeti, vituo vya runinga, vimekuwa vikipitia wakati mgumu katika wakati huu wa mapinduzi ya kidigitali hasa kuibuka kwa mitandao ya kijamii, kama...
  20. M

    SoC04 Katika kurahisisha huduma za jamii na maendeleo, serikali ichukue jukumu la kujenga minara ya mawasiliano maeneo yaliyoko mbali na miji (vijijini)

    Kutokana na umuhimu wa mawasiliano ya simu ya mkononi pamoja na internet iko haja kwa serikali kujenga miundombinu ya mawasiliano ya simu za mkononi na internet kwenye maeneo yote ambayo yako mbali na mijini ili kuyapunguzia mzigo wa gharama makampuni yanayotoa huduma za mawasiliano ambayo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…