maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. Mudawote

    Mbowe Akishindwa Uenyekiti wa CHADEMA: Karibu CCM kwa Maendeleo ya Taifa

    Great Thinkers! Kwa maoni yangu binafsi, Freeman Mbowe, kiongozi wa muda mrefu wa CHADEMA, ni mwanasiasa mwenye uzoefu mkubwa na mchango mkubwa katika siasa za Tanzania. Ikiwa atashindwa katika uchaguzi wa uenyekiti wa CHADEMA, ningependa kumkaribisha kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  2. M

    Pre GE2025 Vita Kawawa achia jimbo, unapinga maendeleo hata kwa ambao hawajatangaza nia ya kugombea. Achia Namtumbo yetu tunateseka sana

    Mheshimiwa Juma Zuberi Homera ambae ni mkuu wa mkoa wa mbeya ameonyesha kuwa kiongozi aliyejitolea kuleta maendeleo na mabadiliko chanya popote anapohudumu tangu yupo TUNDURU na baadae KATAVI. Uongozi wake umekuwa na mchango mkubwa katika kuinua maisha ya jamii, na ameacha alama ya kudumu kila...
  3. milele amina

    Usultani na Umangi au Uchifu: Hatari zake katika Maendeleo yetu kwa siasa za Tanzania

    Utangulizi: Katika jamii zetu za Kiafrika, dhana za usultani, umangi, na uchifu zimekuwa na mchango mkubwa katika utawala na usimamizi wa mambo ya kijamii. Hata hivyo, wakati mwingine, mifumo hii inaweza kuleta changamoto kubwa kwa maendeleo yetu. Katika muktadha wa kisasa, tunashuhudia mifano...
  4. M

    KERO Barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni kero

    Jamani barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni mbaya Sana. Hii ni barabara muhimu Sana kwani inaenda kwenye taasisi muhimu za serikali. Pia husaidia wakazi mbalimbali kuleta bidhaa zao hasa siku za soko la Tengeru jumatano na jumamosi...
  5. Stephano Mgendanyi

    Eng. Yazid Mabala, Mdau wa Maendeleo Anayeleta Chachu Ndani ya Mwibara - Bunda - Mara

    ENG. YAZID MABALA, MDAU WA MAENDELEO ANAYELETA CHACHU NDANI YA MWIBARA - BUNDA - MARA Eng. Yazid Mabala ambaye ni Mdau wa Maendeleo aliyejikita kuleta chachu ya maendeleo ndani ya Mwibara, Bunda Mkoa wa Mara ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) aliyewekeza sana katika kuwatumikia Wananchi wote...
  6. Rockefeller

    Fursa ya Uwekezaji kwa wadau wa maendeleo

    Habari za asubuhi waku, Niende moja kwa moja kwenye hoja. Tuna mradi wa ubunifu wa kufuga wadudu kwa lengo la kubadilisha taka hai kuwa bidhaa zenye thamani kama mbolea na chakula cha mifugo. Mpango wetu ni kupanua shughuli hizi kwenye moja ya dampo kubwa na la kisasa nchini, ambapo tunalenga...
  7. Mende mdudu

    Miaka 16 atambuliwe kama mtu mzima, kwa mambo ya maendeleo

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada. Kutokana na mabadiliko na maendeleo ya sayansi na teknolojia tubadilishe pia sera zetu kwa vitu vya maendeleo Miaka ya leo miaka kumi na nane ni mzee, mtu ana kua kijana toka miaka 16 wenzetu china miaka kumi na sita anatengeneza saa, sahani za udongo...
  8. L

    Uwekezaji wa moja kwa moja wa China barani Afrika umekuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo barani Afrika

    Uwekezaji wa moja kwa moja kutoka China barani Afrika, umekuwa ni sehemu ya mtindo mpya ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na nchi za Afrika, ambao tangu mwaka 2000 umekuwa ukiongezeka kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 25 kwa mwaka, na kupungua kiasi kutokana na changamoto za janga la...
  9. G

    Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

    Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno...
  10. Manfried

    Niliwaambia kuwa ili Tanzania ipate maendeleo mpaka kizazi cha 1940-1989 kiwe hakipo tena .

    Kizazi cha 1940-1989 hiki ndo kizazi cha hovyo kuwahi kutokea. Utawakuta akina Lipumba Mbowe Dr slaa Mkwele Jiwe Chenge Makonda Kiufupi kizazi kitakacholeta mapinduzi ni hiki cha 1990s Umu ndo kuna wanamapinduzi wa kweli akina soka n.k
  11. Mr Why

    Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge

    Tundu Lissu ni mwanasiasa wa maneno matupu kwasababu hakuna maendeleo aliyopeleka Singida tangu apate Ubunge Nikawaida Mbunge kupeleka maendeleo jimboni kwake lakini kwa Lissu imekuwa tofauti Wahenga wanasema mkono mtupu haulambwi
  12. H

    Jinsi Akili Bandia Inavyoweza Kuchochea maendeleo ya Kasi Barani Afrika

    Fikiria ulimwengu ambao mkulima nchini Tanzania au Uganda anabashiri wakati mwafaka wa kupanda mazao yake, mwanafunzi nchini Kenya anapata elimu bora kupitia simu yake, na hospitali nchini Nigeria au Rwanda zinagundua wagonjwa haraka na kwa usahihi zaidi, yote haya shukrani kwa akili bandia...
  13. K

    Rasimalimali za nchi ni muhimu kulindwa na kila mtu , uwanja wa Taifa ni miongoni mwa rasimalimali muhimu Kwa maendeleo ya vipaji vya soka

    Niende Moja Kwa Moja kwenye maada ujenzi wa uwanja wa mpira ni gharama kubwa sana lakini inauma sana kuona Watanzania wachache Wana haribu nyenzo zilizipo ndani ya uwanja huo. Mashabiki wa Klabu ya Simba siyo mara ya kwanza kufanya uharibu wa miundo mbinu Kwa uwanja wa TAIFA. Hivyo Kwa...
  14. Wakusoma 12

    Pre GE2025 Tundu Lissu hana karama ya kuongoza chama kikubwa kama CHADEMA, msifanye makosa ya kumpa Uenyekiti

    Huenda Kuna watu wanahisi kuwa Mwenyekiti wa chama pinzani chenye nguvu Afrika ni lelemama, la hasha ni vita hasa tena ni uhaini mkubwa kwa watawala Hawa ambao hawapendi kukosolewa. Tundu Lissu amekuwa akitapatapa kusaka uongozi wa juu kwenye chama bila kujua kuwa makamu Mwenyekiti ni nafasi...
  15. M

    Mnapofanya Maendeleo msisahau kushirikisha ndugu zenu hata Kama mna ugomvi

    Wakuu Habari zenu. Kuna jirani yangu huu mwaka wa 12 haonekani na namba yake ikawa haipatikani mpaka Sasa ukipiga amepewa mtu mwingine kabisa. Sijui nini kimemkuta ila Kwa asilimia kubwa atakuwa amefariki. Kipindi nahamia kwangu, alikuwa hajaanza ujenzi na baada ya mda akaanza ujenzi wa...
  16. Mkalukungone mwamba

    Dkt. Asha Rose Migiro: Amani na usalama ni nguzo za maendeleo jumuhishi

    Balozi Dkt. Asha Rose Migiro, Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Mipango na Mwenyekiti wa timu kuu ya kitaalamu ya uandishi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, amepongeza uteuzi wa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Ummy Nderiananga, akisema kuwa ni ushahidi wa jinsi serikali ya...
  17. Mi mi

    Kwa nini Urusi haina maendeleo makubwa. Je, Margaret Thatcher yupo sahihi ?

    Video fupi Je, pia ni sababu kwa nini nchi nyingine zenye rasilimali ni masikini wa kutupwa ?
  18. Daby

    Swali: Je, Kuna uhusiano wa maendeleo na Dini?

    1. Wamarekani asilimia 63 ni wakristo. 2. China asilimia kubwa ni Buddhists na Taoism. 3. Japan asilimia 70 ni Shintoism. 4. Israel asilimia 70 na raidi ni Jewish. 5. Saudia asilimia 90 na zaidi ni waislamu. 6. India zaidi ya asilimia 70 ni wahindu. Qatar ni nchi ya kiislamu Ina maendeleo...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Ukweli, haki, akili na upendo(utibeli) ndio msingi wa utawala bora na siasa safi za kuleta maendeleo ya kweli (true development)

    UKWELI, HAKI, AKILI NA UPENDO(UTIBELI) NDIO MSINGI WA UTAWALA BORA NA SIASA SAFI ZA KULETA MAENDELEO YA KWELI (True Development) Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Maendeleo ya Kweli (True Development) ni mabadiliko chanya yanayotokea kuanzia ndani ya mtu(hisia, Akili), na nje ya mwili katika...
  20. technically

    Tanzania tutapata maendeleo lini kama mijadala ni Simba, Yanga na Diamond?

    Inasikitisha Sana kwenye vijiwe vya kidigitali Story ni Simba na yanga Radio na tv ni kutangaza michezo na nyimbo chafu na ku promote makampuni ya betting( kamali) Mijadala ya kitaifa hakuna hivi tutakuja kupata maendeleo kweli?
Back
Top Bottom