Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.
Kwanini China nchi yenye udikteta wa chama kimoja ina maendeleo makubwa kwenye nyanza mbalimbali kuliko nchi za kidemokrasia za vyama vingi kama Kenya na Zambia?
Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa? Tunafurahia mafanikio haya huku tukiangalia ajira za wanyonge zikiteketezwa kwa sababu shughuli ndogondogo...
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utoaji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya liweze kutenda haki kwa wakati katika usuluhishi wa migogoro na kupunguza malalamiko ya Wananchi ili kukomesha...
Hivi mtu unajisifia una PhD kumbe PhD yenyewe ni ya sociology,law, education,public administration, accountant, public relations, community development n.k hizi PhD ambazo hazin faida yoyote zaidi ya mtu kupoteza muda tu darasani bila msingi wowote ule hizi zinatakiwa zifutwe nakuendelea...
Zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa linaendelea na sasa hivi liko hatua ya uwasilishaji wa pingamizi, nimeona malalamiko mengi sana kutoka kwa vyama vyote vya siasa nchini ikiwemo Chama cha Mapinduzi.CCM imelalamika kule Arusha kuwa majina ya wagombea wao 9 yamekatwa, Chadema wamelalamika...
Swali la kwa nini Afrika, licha ya kuwa na rasilimali nyingi, imeendelea kuwa na maendeleo duni, ni suala la kihistoria lenye mizizi mirefu. Watu wengi huashiria ukoloni kama sababu kuu, lakini ukweli unaonyesha kuwa hali hii inatokana na sababu nyingi, zikiwemo jiografia, ukoloni, matatizo ya...
Ni muda muafaka sasa wa kubadilisha muelekeo wa kutweka jahazi la mama Tanzania.
Wenzetu duniani wanakimbia sana kwenye swala la teknolojia ...na wanachokifanya ni kimoja tu...kila wazo liwe la mzaha au lenye ambition kubwa wanalifanyia kazi.
Turejee ideas na values za jamii ya kiasili iliyopo...
Dkt. Geodavie pongezi ziende kwakao aisee kwa kuchangia maendeleo kwa Wana kisongo na wana Arusha tunakupongeza Sana endelea na moyo huyo huyo baba.Geodavie wa kanisa la geodavie ministry mtu mwema sana na mpenda maendeleo watu habagui dini wala kabila mtu yoyote mwenye shida yeye anamsaidia...
Tanzania ni nchi iliyobarikiwa utajiri mkubwa sana kwenye rasilimiali kuanzia ardhi nzuri ya kilimo, madini, vicutio vya asili, n.k. lakini bado tupo nyuma sana kimaendeleo, Kenya ni nchi ambayo ina rasilimali chache lakini wametufunika kwasababu wamewekeza zaidi kwenye watu (elimu, ujuzi) na...
DAR: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, (Zanzibar) Riziki Pembe Juma ametembelea Ofisi za JamiiForums jijini Dar, leo Oktoba 28, 2024.
Ziara yake ililenga kujenga mashirikiano katika maeneo anuai ikiwemo kuwalinda na kuwajengea uwezo Watoto na Wazazi wao hasa katika...
atembelea
jamii
jamiiforums
jinsia
juma
maendeleomaendeleo ya jamii
mapinduzi
mapinduzi ya zanzibar
riziki
riziki pembe juma
serikali
serikali ya mapinduzi
watoto
wazee
waziri
zanzibar
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, katika nafasi yake with full power and Authority kama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anasimama kama taa ya matumaini na maendeleo kwa taifa letu pendwa ikiwemo maswala ya ajira selikalini na sector binafsi. Kwa uongozi wake usio na kifani na...
Hodi hodi Tabora. Mulé mpola?! Wabéja.
Haya, tuendelee sasa kuzindua miradi ya maendeleo na kuyatangaza maendeleo ya Tabora.
Ikumbukwe, mkoa wa Tabora tayari umeshapokea takribani Trilioni 1.1 kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya sekta mbalimbali tangu kuingia madarakani kwa Serikali ya Awamu...
VIONGOZI WA DINI WAPONGEZA JUHUDI ZA RAIS SAMIA KULETA MAENDELEO NCHINI
▪️Waandaa maombi ya wiki nzima kumuombea Rais Samia na Taifa
▪️Wahamasisha ushiriki wa Watanzania kwenye uchaguzi seriklai za mitaa
▪️Mbunge Mavunde apewa tuzo ya pongezi ya shughuli za kijamii
📍 Dodoma
Viongozi wa Dini...
“Tusibeze maendeleo tuliyoyapata mpaka leo bila shaka wale wanaoweza kubeza leo waende waka waulize mama zao. Miaka 60 iliyopita maisha hayakuwa kama ya leo hata miaka 50 ninayoifahamu mimi tofauti ipo kuna wakati tuliishi na mimi niliishi Musoma kwa muda fulani baada ya vita maisha tuliyokuwa...
Hakika..... Nchi ina maendeleo, hata viongozi wa dini wanajua.
Kigoma bado kilomita chache iungane na mikoa mingine kwa lami, pale kigongo watu walikuwa wanakaa hata masaa matatu, SGR, SoKo kuu mwanza, kutoka enzi ya stendi ya Tanganyila mpaka Nyamhongolo na Nyegera waitu (nyegezi)
Asiye na...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akiwa jijini Frankfurt nchini Ujerumani leo tarehe 09 Oktoba 2024 amepata wasaa wa kufika makao makuu ya Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na kukutana na Viongozi wa Benki hiyo kwa lengo la kuboresha na kukuza mashirikiano baina ya Serikali ya...
Vitabu vya Dini karibu vyote husema, yabidi mtu ujinenee mazuri na kujitabiria mema kwa maana ulimi huumba
Jinsi unavyojinenea, ndivyo unavyopokea
Wataanzania wengi hupenda kuona mambo mazuri yakitokea
Cha kushangaza, walio wengi huinenea nchi na serikali inayoongoza ishindwe na wakati huo...
Ndugu zangu Watanzania,
Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo.
pamoja na kuvutia mitaji mikubwa mikubwa ya mabilioni ya pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.