maeneo ya wazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mmuya: Wakurugenzi lindeni maeneo ya wazi

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha maeneo ya wazi yanalindwa kwa kuwekewa alama za kudumu na mabango yanayoonyesha mipaka akisisitiza kuwa maeneo hayo hayapaswi kubadilishiwa matumizi. Mhe. Mmuya...
  2. E

    JamiiForums Tanzania KERO Nyamilangano: Kero kutoka kwa Polisi inayosababishwa na utumiaji wa mabomu ya machozi kwenye maeneo ya wazi

    Mimi ni mkazi wa Kata ya Nyamilangano, Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga. Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu matumizi ya mabomu ya machozi na Jeshi la Polisi katika maeneo ya wazi yanayotumiwa na wafanyabiashara na wananchi kukusanyika. Kwa mujibu wa hali tunayoishuhudia...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kiongozi wa Kata ya Buyombe – Ilemela (Mwanza) anauza maeneo ya wazi, RC tuma timu ikague

    Mwenyekiti wa Kata ya Buyombe, Wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza anauza maeneo ya wazi (open space) kinyemela, yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya shughuli za Kiserikali. Anaharibu ramani ya mipango miji na anatutengeneza mazingira mabovu ya makazi, tunaomba Mkuu wa Mkoa aje akomeshe tabia...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Kaspar Mmuya apiga marufuku uvamizi wa maeneo ya wazi

    ★Atangaza mkakati mpya wa ulinzi wa ardhi ya umma Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amepiga marufuku tabia ya uvamizi na ubadilishaji wa matumizi ya maeneo ya wazi kinyume cha sheria, akisisitiza kuwa serikali haitafanya msamaha kwa yeyote atakayebainika...
  5. gubegubekubwa

    JamiiForums Tanzania Nashauri ianzishwe mamlaka ya mipango miji na maeneo ya wazi

    Kutokana na speed ya miji kupanuka bila kuwa na mpangilio mzuri na pia maeneo ya wazi kuuzwa au kutokuwepo kabisa nashauri ianzishwe mamlaka ya mipango miji na maeneo ya wazi
Back
Top Bottom