DOKEZO Kiongozi wa Kata ya Buyombe – Ilemela (Mwanza) anauza maeneo ya wazi, RC tuma timu ikague

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Screenshot 2026-07-01 180711.jpg
Mwenyekiti wa Kata ya Buyombe, Wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza anauza maeneo ya wazi (open space) kinyemela, yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya shughuli za Kiserikali.

Anaharibu ramani ya mipango miji na anatutengeneza mazingira mabovu ya makazi, tunaomba Mkuu wa Mkoa aje akomeshe tabia hii.

Mimi naishi maeneo hayo na nimeona watu wanakuja huku wanauziwa maeneo ya wazi, tumeshamwambia huyo kiongozi wetu lakini hasikilizi.
 
Weka jina na namba za simu
 
Kwanza cheo Cha Mwenyekiti WA kata mbona sijawahi kukisikia

Najua kwenye kata Kuna diwani na mtendaji
 
Najua Kuna diwani WA kata na mtendaji WA kata
 
Back
Top Bottom