maeneo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watanzania wahimizwa kuwekeza kwenye viwanda vya maziwa kulingana na malighafi zilizopo katika maeneo yao

    Serikali imetoa wito kwa Watanzania kuwekeza zaidi katika viwanda vya maziwa nchini kutokana na kutolewa kwa kodi nyingi katika viwanda vya bidhaa hiyo pamoja na kuwepo kwa soko la ndani na nje ya nchi. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe Februari 7, 2024...
  2. Hivi imeshindikana kabisa kuwa na maeneo maalumu ya kuegesha Malori badala ya pembeni ya Barabara?

    Moja kati ya sababu za ajali za kila wakati katika Barabara kuu nchi hii ni Malori yanayoegeshwa bila utaratibu maalum kwenye Barabara za pembeni ambazo mara nyingi hutumika na waenda kwa miguu, dharura za hapa na pale. Lakini cha ajabu ni kama suala hilo linakuwa kawaida na linaachwa liendelee...
  3. T

    Kwanini maeneo ya jeshi kama Lugalo na External kumejengwa bar na frame nyingi sana?

    Wakuu ikipita barabara ya external kwenda maji chumvi unapita eneo la jeshi, limejaa bar na frame. Hali iko hivyo ukipita Lugalo, kumefunguliwa frames nyingi sana kwenye eneo la jeshi. Swali, je, jeshi letu limeona uwekezaji pekee wanaweza kufanya kwenye maeneo yao ni kufungua bar na frame tu...
  4. B

    Pentagon ya Marekani yaanzisha mashambulizi ya kulipiza kisasi nchini Syria, Iraq baada ya vifo vya wanajeshi

    PENTAGON : MAREKANI YAANZA MASHAMBULUZI YA KULIPA KISASI KWA KUPIGA NGOME ZA VIBARAKA WA IRAN NCHINI IRAQ NA SYRIA. SPECIAL REPORT https://m.youtube.com/watch?v=ckOSPG_A8AI Marekani yashambulia mgambo vikaragosi vya Iran ambao walishambulia ngome ya askari wa Marekani nchini Jordan na...
  5. Serikali za miji zingekataza kufuga maeneo ya miji na majiji.

    Nimeona mdau mmoja analalamika kero ya jirani yake anayefuga ng'ombe. Kwa nini serikali za miji hazikatazi kufuga maeneo ya mjini, badala yake wanakataza kulima mahindi na alizeti, vitu visivyo na madhara yoyote kwa mji? Huwa tunawaza kinyume nyume sana. Binadamu alianza kusumbuliwa sana na...
  6. Sheria mojawapo ya Maskini inasema: Usionyeshe wala usi-post Mafanikio yako

    SHERIA MOJAWAPO YA MASKINI INASEMA: USIONYESHE WALA USI-POST MAFANIKIO YAKO. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Kuna maskini na umaskini wake. Alafu kuna tajiri na utajiri wake. Umaskini na maskini wanasheria na kanuni zao. Matajiri na utajiri wanasheria na kanuni zao. Wapo maskini wa aina...
  7. Bashungwa Aitaka TANROADS Kupanda na Kuhudumia Miti Katika Maeneo ya Barabara

    BASHUNGWA AITAKA TANROADS KUPANDA NA KUHUDUMIA MITI KATIKA MAENEO YA BARABARA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kupanda na kuhudumia miti iliyopandwa katika maeneo ya barabara kwa ajili ya kuendelea kupendezesha miji na kutunza mazingira ili...
  8. J

    Bashungwa aitaka TANROADS kupanda na kuhudumia miti katika maeneo ya barabara

    BASHUNGWA AITAKA TANROADS KUPANDA NA KUHUDUMIA MITI KATIKA MAENEO YA BARABARA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kupanda na kuhudumia miti iliyopandwa katika maeneo ya barabara kwa ajili ya kuendelea kupendezesha miji na kutunza mazingira ili...
  9. Vibali vya ujenzi kwenye maeneo ya squatter

    Habari Wanasheria mlioko humu, Mimi nilijenga nyumba yangu maeneo yasiyo rasmi ( squatter) tangu mwaka 2014 na kuhamia , kipindi hicho hakuna barabara , umeme Wala maji. Wanacnchi tulijichanga wenyewe na KULETA huduma MBALIMBALI kama vile barabara , maji na umeme na kipindi chote hicho...
  10. Wananchi Wavamia maeneo ya Maji, Mgomo wa Maji waendelea na maji kuendelea kwenye mkondo wake

    Watu wakiwa wamefurika katika makazi ya maji eneo la Boko Basiaya kutokana na kungangania maeneo ya Dar es salaam na kuacha fursa na mashamba mikoani. Mvua zilizonyesha mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam zimejielekeza kwenye mikondo yake na kusafisha baadhi ya mikpndo yake ikiwa ni mito na...
  11. C

    Pre GE2025 Kwanini suala la uraia wa Watanzania wageni waliopo Serikalini linatokea sasa wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi?

    Je, 1. Wazanaki wanakotoka viongozi mbalimbali ikiwemo baba wa taifa Mwalimu Nyerere ni 100% Watanzania? 2. Wamakuwa kutoka mkoani Mtwara ambako pia anatoka aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati Mkapa ni 100% Watanzania? 3. Kabila la Wasubi atokalo aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Magufuli na...
  12. C

    Unadhani ni nchi gani jirani imepandikiza kikamilifu majasusi wake mahiri maeneo / idara nyeti za Tanzania?

    1. Malawi 2. Zambia 3. Congo DR 4. Kenya 5. Burundi 6. Uganda 7. Rwanda atokayo member mmoja maarufu jamiiforums ambaye kwa bahati mbaya jina lake kwa sasa ameir seif wete paje kidagaa ( cognizant ) mimi nimelisahau? 8. South Sudan 9. Msumbiji
  13. M

    TANESCO na DAWASA sitisheni kupeleka huduma maeneo ya mabondeni

    Mheshimiwa Rais wetu mpendwa tunakuomba uwaagize Tanesco na Dawasco waache mara moja kutoa huduma kwenye maeneo ambayo ni hatarishi(mabondeni). Kwa kufanya hivyo itapunguza kasi ya wananchi kujenga maeneo hatarishi.
  14. Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    Wananzengo, usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima. Soon kunakucha. Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha . Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na...
  15. IDF ilipoteza udhibiti kamili Kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa Al -Qassam

    Wanaukumbi IDF ilipoteza udhibiti kamili kaskazini mwa Gaza. Maeneo makubwa yamerudi chini ya udhibiti wa All -Qassam. Kaskazini ilikuwa chini ya udhibiti wa Hamas kila wakati, habari za uongo kuhusu ushindi kutoka kwa Waisraeli zinashangaza wakati ukweli unapikwa kila siku, hakuna lengo moja...
  16. Zingatia umuhimu wa usafi katika maeneo ya vyakula

    Usafi ni suala muhimu sana katika sehemu zote za upishi, iwe ni migahawa, vibanda vya chipsi, au maeneo mengine yanayohusiana na huduma za chakula. Kutozingatia usafi kunaweza kusababisha matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na maambukizi ya bakteria na magonjwa ya tumbo kama vile kuhara. Katika...
  17. P

    Kuna maeneo nchini miaka nenda rudi miundombinu ni mibovu, mamlaka hazioni? Mpaka maafa yatokee ndio wachukue hatua?

    Kuna maeneo nchini yana miundombinu mobuvu miaka na miaka lakini serikali wala haichukui hatua. Unakuta barabara mbovu, madaraja yamebomoka nk, lakini ni kama hakuna anayeoona! Ni kwamba wanasubiri maafa yatokee ndio wachukue hatua? Wanasubiri mpaka watu wafe ndio wachukulie malalamiko ya...
  18. Mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ulinzi maeneo ya nyumbani?

    Hello ladies and Gentlemen? Naombeni tushauriane ni mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ULINZI? Nataka kufuga hapa nyumbani nishaurini nisije kujichanganya kwa Pitbul na wengineo.
  19. Yapo maeneo mabadiliko ya mtaala mpya ni kukurupuka kulekule alikofanya makosa Mungai

    Mapendekezo yamesambaa kila kona. Ni mpuuz pekee atasapoti kufuta somo la uraia na general studies Kuona mwalimu mwenye degree anajua kuliko mwenye diploma katika level za sekondari ni mjinga pekee atakuelewa. Awali sheria ilimtaka mwenye degree afundishe 3 to 4, diploma 1 na 2 ilikuwa bora...
  20. C

    Upanuzi wa barabara Mbeya ungeanza na maeneo yanayoua wananchi

    Naipongeza juhudi inayofanywa na serikali kupanua barabara kuu Mkoani Mbeya. Lakini najiuliza ni kwa nini wajenzi wameanza na maeneo yasiyo na matukio ya kupoteza maisha ya wananchi? Binafsi labda kama kuna sababu za kiufundi nadhani ujenzi ungeanza na maeneo hatarishi ambayo kila mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…