Nimesoma Report ya TCRA Nimeona uzembe mkubwa sana unafanywa na serikali za maeneo ya Rukwa na Morogoro, Kwa karibu kila report yao TCRA , mikoa inayoongoza kwa Utapeli ni Rukwa na Morogoro
Kuna nini maeneo haya?
1.Wananchi wake hawana elimu nzuri ndio maana wanatapeliwa kirahisi?
2.Vyombo vya...
Kuna ujumbe huu unasambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya ajali ya treni kugongana uso kwa uso, mwenye taarifa kamili atupatie, inasemekana imetokeo usiku huu Jumatano Oktoba 18, 2023.
Ujumbe unaosambaa na video hiyo unasema "Ajali hii imetokea usiku huu hapa station ya Mwakanga, treni ya...
Kila nikiangalia nyuzi mbalimbali naona ukavu katika kila eneo la maisha ya mtu, ukavu kwenye mahusiano, ukavu kwenye suala la utafutaji wa pesa, wengine ni wagonjwa na wengine wamesongwa na msongo wa mawazo maishani mwao, hawaoni muelekeo. Wengi wanalia kwasababu ya usaliti katika mahusiano na...
Wakuu,
Nimekuja jamaa yangu maeneo haya ya Ada Estate, Kinondoni, Dar maji ni shida. Nadhani kuna mgao wa maji wa kimyakimya ambao hauna taarifa rasmi na DAWASA wapo kimya.
Leo tuna siku ya nne maji yanatoka usiku tu na preshayake ni ndogo sana. Ukienda kwenye ofisi zao hawatoi ushirikiano...
Wakuu poleni na majukumu, Kuna ajali ya gari ndogo nasikia imetokea maeneo ya Iringa, mwenye taarifa kamili atujuze.
Dah, nimepata taarifa juu juu, Kuna ndugu yangu amesafiri, simpati kwenye simu
Habari wakuu,
Natafuta nyumba ya kupanga iwe na sifa zifuatazo;
1. Iwe maeneo ya Riverside Dar es Salaam
2. Isiwe mbali sana na stendi ya Riverside
2. Iwe na chumba kimoja master na sebure
3. Iwe na Tiles na madirisha ya Aluminium
Nipo tayari kwa bei yoyote.
Warusi wanandelea kukipata pata ndani ya nchi yao....
Seven settlements in Kursk Oblast, Russia, have been left without electricity following an alleged attack by a Ukrainian drone.
Source: Roman Starovoyt, Governor of Kursk Oblast, on Telegram
Quote from Starovoyt: "This morning a Ukrainian...
Ajali hii imetokea asubuhi hii, basi hilo likionekana kutumbukia kwenye mtaro likiwa na wanafunzi kama 10 hivi. Kwa kuwaangilia watoto hawaonekani kuwa wameumia sana, zaidi ya michubuko na hofu kwa kilichotokea. Basi jingine kubwa la shue hiyolilipita eneo hilo na kuwachukua watoto hao...
Pamoja na mgao wa umeme, kuna sehemu hazitakiwi kukatiwa kabisa. Nimemsikia GUSSIE anasema wasikate umeme Kariakoo. Ukweli ni kuwa Kariakoo ni moja ya maeneo yanayotakiwa kukatiwa kabisa umeme iwapo kuna mgao.
Kariakoo ni eneo ambalo dola za nchi hii zinaoenda kupotea. Ndiko hazina ya nchi hii...
Wandugu kwema,
Naomba kujua kwa maeneo tajwa hapo juu..ni wapi naweza kupata Gym. Nimeulizia sana na kutafuta kwenye mitandao ya kijamii sijaona.
Mwenye kujua anisaidie location na ikiwezekana namba za simu.
Siku Moja nilienda kutoa huduma hospitali nikaingia leba wodi. Mule nilimkuta mtoto yuko kwenye oxygen. Ghafla umeme ulikatika na bahati mbaya Ile standing generator ikagoma kuwaka kwa dakika kumi, niliumia sana moyoni.
Ndipo nikajiuliza swali hivi Tanesco hawawezi kuzuia umeme usikatike...
Naomba kuuliza naweza kupata hotel au lodge nzuri na yenye usalama maeneo ya manzese isiyosidi 25k , nataka kukaa siku tano bajet yangu ni hiyo.
Natokea Mbeya nakuja kuleta ndizi mabibo sokoni.
Upatikanaji wa maji hapa Jijini Mwanza hauridhishi hata kidogo na tunapenda kuitaarifu Serikali ya CCM kuwa kama hali hii itazidi kuendelea na sisi tutarudisha kadi za CCM kama maeneo mengine.
Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini?
Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba?
Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba ndo maana CCM Sisi hata leo tukiamua tunafanya.
Je, ni kuharibu nature ya eneo kama tunawaruhusu...
NAIBU WAZIRI KITANDULA - SERIKALI KUENDELEA KUDHIBITI MIMEA VAMIZI KATIKA MAENEO YA HIFADHI
Serikali imesema inaendelea na jitihada za kudhibiti mimea vamizi katika maeneo ya Hifadhi na Mapori ya Akiba kwa lengo la kurejesha uoto wa asili nchini ambao ni tegemeo kwa wanyamapori.
Hayo...
Nimekuwa nikimtetea Sana Rais Samia kwenye mambo mbalimbali. Hata kwenye issue ya DP world nilikuwa naona wanamuonea, nimesimama Daima kuona alifanya uamuzi sahihi
Kwa hakika alikuwa na Kura yangu ya kumsogeza mpaka 2030, lakini leo rasmi natangaza simuungi mkono tena na nimeona udhaifu wake...
Salaams wana jamvi.
Mimi ni mdau wa miaka mingi humu ila sio mara nyingi kuwa active lakini huwa napitia sana baadhi ya thread zinazohusu biashara na ujasiriamali.
Mimi naishi maeneo ya Kitunda relini na by profession ni Graphics designer ila tangu nikiwa kijana mdogo (teenager) miongoni mwa...
UTANGULIZI
Maeneo ya kupumzika ni mazuri kwa afya ya kili pia ustawi wa jamii yetu, Unajua pale mtu ambapo umetoka katika mizunguko au umechoka kukaa ndani kuna haja ya kuwa na maeneo huru ambayo mtu anaweza kupumzika bila buguza yoyote kwa mda Fulani, Maeneo yaliyo mengi yanamilikiwa na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.