Kuna watu DSM wanaishi kijijini kuliko watu wa mikoani, wana maisha magumu, barabara na huduma zingine sifuri hmna zahanati, hawana vituo vya police, hawana maji safi na salama, vyoo vya shimo.
Hivi mtu unaishi Madale, Mbopo, Mabwepande, Pugu, Kitunda, mbagala maporini, Chanika, Chamazi unasema...