mafanikio katika maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanafanikiwa zaidi baada ya kuacha kuwaambia watu mipango yao ni coincidence au kuna ukweli?

    Nimekua nikifikiria jambo hili kwa muda. Kuna watu ambao zamani walikuwa wanawaambia watu kila kitu wanachopanga kufanya kama biashara, ujenzi, kazi wanayoomba, miradi wanayoandaa na hata mipango ya maisha. Lakini baada ya muda wanaamua kukaa kimya, wanaacha kuelezea kila hatua ya wanayopitia...
  2. JamiiForums Tanzania Badili mtazamo wako na mafanikio katika maisha yako yatakufuata

    Ukibadilisha mtazamo wako(mind) na maisha yako yanabadilika na kuweza kufanikiwa. Chukulia huu hapa mfano, wewe unajiangalia sura yako kwenye kioo umeona upele kwenye sura uwezi kuondoa upele kwenye taswira ya sura yako kwenye kioo au kwenye kioo unataka kutoa upele itashindikana , Hili upele...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna ndoto ambazo haziwezi kubebwa na mwili mlegevu

    “Ndoto zako hazistahili gari mbovu.” Hii ndiyo kauli kuu kutoka kwa mwanafikra kutoka mwaka mwaka wa mbele, anayerudi kuandikia kizazi cha sasa — kizazi kilichojaa ndoto kubwa, motisha kali, lakini miili dhaifu. "Leo nataka nikushike mkono kwenye jambo linaloonekana dogo sana — lakini ndilo...
  4. JamiiForums Tanzania Namna historia ya kwenu inavyoweza kutoa picha ya hatua unazopaswa kupiga kuelekea kwenye mafanikio yako

    Maisha huwa yako na utangulizi kama ambavyo ilivyo kwenye vitabu mbalimbali, na lengo la utangulizi wa kwenye maisha huwa unamlengo sawa sawa na ule ambao upo au unawekwa kwenye vitabu vya kawaida. Tofauti ya utangulizi wa kwenye vitabu na ule wa kwenye maisha ni kwamba kwenye vitabu huwa kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Vita Huwa haipiganwi Huwa inachezwa,Na hata mafanikio katika maisha yanatafutwa kama mchezo tu hivyo usifuate sana sheria ichezee hela upate hela.

    Ukiwa mpiganaji na upo Frontline utagundua kwenye majibizano ya risasi Huwa ni kama mchezo Fulani wa kutoana wazimu yaani watu wanafyatua risasi ovyo kuelekea kwa adui sio kila risasi eti lazima uzingatie target nyingine unazipoteza tu juu yaani kiufupi unachezea risasi na kumbuka zote hizo ni...
  6. JamiiForums Tanzania Inawezekana mganga kukunyanyua kimafanikio?

    Inawezekana mganga kukunyanyua kimafanikio? Ni njia gani anayotumia ambayo yeye haitumii ili kufanikiwa au asili ya tiba haimruhusu kujiganga? Mshana Jr LIKUD Nikifa MkeWangu Asiolewe na wengine wengi karibuni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…