mafanikio

  1. nzalendo

    Mafanikio maisha mzunguko

  2. KENZY

    Ujana na kujivunia mafanikio

    Asalaam wana wa JamiiForums, husikeni na kichwa cha habari. Sote twafahamu kila mmoja anafanya kila namna ili kufikia hatua ya mafanikio na sio hivyo tu kila mmoja ana namna yake ya kutafsiri mafanikio. Kwenye mada yangu nitaangazia mafanikio ya maisha zaidi maisha ya kawaida katika kuweza...
  3. Street brain

    Barabara ya kuelekea kwenye mafanikio siku zote ipo kwenye ukarabati

    Wazee wanasema "barabara yakuelekea kwenye mafanikio siku zote ipo kwenye ukarabati". Daima kazana kujitahidi kutimiza malengo yako, isifikie mahali nakujiona sasa nimefika, siku zote tupo kwenye mapambano. Unaweza kutumia njia ikakufikisha kwenye malengo lakini kumbuka utakutana na binadamu...
  4. SAYVILLE

    Naitabiria Yanga mafanikio zaidi ya Simba msimu wa 2023-2024

    Kuna dalili mbaya toka pre-season hadi jana kwenye Simba Day nimeshaaza kuziona zinazoashiria kuwa Simba inaenda kuwa na msimu mbaya sana. 1. Tukirudi nyuma mwishoni mwa msimu uliopita, kipa Aishi Manula aliumia na kwa sababu za kijinga kabisa Beno Kakolanya, kipa mwenye uwezo akawa anakaa...
  5. Expensive life

    Huu ni mwaka wa mafanikio kwa simba sc kama viongozi hawatozubaa

    Nyota ya Simba sc inang’aa sana hivi sasa yaani kila wanachokigusa kinaenda, hii ni ishara nzuri kinyota. Nawaasa viongozi wa simba shikamaneni mizimu imebariki mwaka huu nyie kuwa na mafanikio makubwa, mnayoyapanga msiyaruhusu maadui zenu wayanase. Huu mwaka ni wenu
  6. AbaMukulu

    Abdul Kareem Popat ndio sababu hasa ya Azam FC Kukosa mafanikio

    Abdul Kareem Popat amekuwa CEO wa Azam FC kwa zaidi ya Miaka 7. Huyu ndio CEO ambae hana presha kabisa ya kupoteza kazi yake kutokana kutopewa presha ya mafanikio pale Chamzi Complex. Kipindi chote cha uongozi wake Azam FC imeambulia kikombe kimoja tuu cha FA (Azam Confederation Cup) mnamo...
  7. M

    SoC03 Kuendeleza Uwajibikaji wa Wafanyakazi kwa Mafanikio Bora

    Utangulizi: Katika sekta yoyote, mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora ni muhimu sana katika kuendeleza ufanisi na mafanikio. Katika andiko hili, tutajadili mbinu zinazoweza kuchochea mabadiliko haya katika mazingira ya kazi. Andiko hili limezidi maneno mia saba. 1. Kuhamasisha Uongozi wa...
  8. Supercomputer

    Janga gani lilikukuta baada ya kuexpose mafanikio yako public?

    Vipi wakuu; Katika harakati za maisha, wengi wetu tuna ile kasumba kutaka kuwaprove wrong ndugu jamaa na jamii inayotuzunguka kwamba wasikuchukulie poa kwa kuonyesha progress zako, bila kujua kwamba watu hawafurahii positive changes especially watu wa uswahilini. Binafsi baada ya kustruggle...
  9. Mwl.RCT

    SoC03 Umeme Vijijini Tanzania: Mafanikio, Changamoto na Matarajio

    Umeme Vijijini Tanzania: Mafanikio, Changamoto na Matarajio Mwandishi: MwlRCT Utangulizi Umeme ni nguzo ya maendeleo. Umeme unawezesha wananchi wa vijijini kufanya shughuli za kiuchumi, kijamii, kimazingira na kiusalama. Umeme pia unachangia kupunguza umaskini, kuongeza elimu, kuboresha afya...
  10. R-K-O

    Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, hata kwenye ukoo masikini wale wenye magari hutokea koo maskini ila wao kama wao wapo mbali kuzidi wenzao, Tukigusia makabila yenye asili ya hapa kwetu, wachaga wapo mbali mno, yapo makabila yanayofatia ila ni gepu refu...
  11. DR HAYA LAND

    Je, unaweza pata Mafanikio bila Nguvu zozote za kiroho?

    Hello Kama mtu mpamanaji mwenye ndoto za Kupata Mafanikio ambayo yamesimama je unaweza kuyapata bila Nguvu za kiroho? Hapa sizungumzii Mafanikio ya Nyumba gari na NO Namaanisha Mafanikio Makubwa ya kuishi vizuri huku ukiwa Una uhakika hata ukilala kitandani miaka mitano bado Biashara zako...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    Mateso na kufeli kwako ukiwasimulia Hufurahi mioyoni mwao; Mafanikio yako huwachoma

    MATESO NA KUFELI KWAKO UKIWASIMULIA HUFURAHI MIOYONI MWAO; MAFANIKIO YAKO HUWACHOMA. Anaandika, Robert Heriel Hili wengine tulishalijua zamani za kale, Sisi wengine huwezi kusikia shida zetu, yaani Watu wakituona hutuona kama wala Bata, Maisha Safi, Watu tusio na shida. Muda wote tunafuraha...
  13. King Jody

    Mafanikio ni nini?

    Unaweza kusema mafanikio ni kuwa na maisha mazuri, kwa mfano, kuwa na Biashra au kazi nzuri yenye Kipato kikubwa, kumiliki nyumba nzuri pamoja na magari ya kifahari nk, Swali langu ni je? kwa mtu anayefanya shughuli zisizo halali kama vile ujambazi au ufisadi na anamiliki nyumba nzuri, magari...
  14. Pinda Nhenagula

    Naombeni kueleweshwa kuhusu hii ishu ya Freelancer

    Habari, Wanajukwaa naomba kueleweshwa kuhusu hii ishu ya Uwakala wa kusaji laini (Freelancer). Je, INALIPA? au ni kupoteza muda bila mafanikio kama ndiyo ushawahi kuona mtu kafanikiwa?
  15. Vincent Nestory

    SoC03 Ufanisi na uthabiti katika mambo madogo (msingi/awali)

     Utangulizi Neno “Utawala Bora na Uwajibikaji” huonekana kulenga shabaha yake katika utendaji wa uongozi na mamlaka za “juu” katika Taifa, Bara na Dunia kwa ujumla; na mtazamo huu ndio kikwazo kikubwa zaidi cha kufikia utawala wenye sifa ya kuitwa “bora” na uwajibikaji wenye maendeleo chanya...
  16. FORTUNE JR

    Wanawake waliotuzunguka ni puto na sindano kwenye mafanikio ya vijana wengi wa kiume

    80% ya wanawake waliotuzunguka Ni puto na Sindano kwenye mafanikio ya vijana wengi wa kiume. Imenichukua mda mrefu kuiva katika hili ila ndani ya mda mfupi ntakupa nondo zililivotukuka zitakazokujenga na kubadili maisha yako sana Let's Go.... Ilikuwa ni Asubuhi moja Murua, Nikiwa katika...
  17. kyagata

    Hivi kibongo bongo ni sahihi mwanaume au mwanamke asiye na degree kumiliki mtu mwenye degree?

    Hivi kibongo bongo mtu asiye na degree even if ni mcute au handsome kiasi gani, huko kwenye ndoa huwa yuko romantic kweli, is he/she tasting good? Binafsi Naona kama they are not romantic na hawajui lolote linaloendelea hapa duniani? Chukulia mfano Diamond hana hata form six failure, ampate...
  18. BabaMorgan

    Wachambuzi wa Soka kuwa na mafanikio zaidi kuliko wachambuzi wa siasa

    Vipindi vya michezo vimekuwa vingi kwenye televisheni na radio licha ya kuwa vingi ni miongoni mwa vipindi vyenye muda mrefu; kwa makadirio vinachukua muda wa masaa mawili mpaka matatu kwa msingi huo usishangae kila kijiwe story zikiwa Simba na Yanga, Dewji na GSM, Ntibanzokiza na Mayele...
  19. M

    Kwaheri Kocha Nabi umeacha alama ya mafanikio tunakutakia kila lenye heri uko uendako

    Ni kawaida kwa kocha yeyote kulinda heshima yake baada ya mafanikio makubwa kwenye carrier ya kazi yake. Kocha Nabi amelifanya hilo jambo kwa uweledi mkubwa sana akiwa na klabu ya yanga, kapata mafanikio kuliko kocha yeyote yule kwenye mpira wa Tanzania, kavaa medali ya caf confederetion cup...
  20. Mwesiga frolian

    SoC03 Ipo siku wazazi wangu watanyanyua vichwa vyao na kutizama mbingu kwa furaha watasema "ahsante sana Mungu kwa kutupatia mtoto huyu"

    UTANGULIZI Andiko hili ni maalum kwa vijana wote wapambanaji wenye ndoto ya kurejesha, amani, furaha ya familia iliyopotea, dhiaka, dharau na kulipa madeni wazazi wetu waliyokopa pindi wanatuhangaikia. Ungana nami kwa kusoma nilichokiandika ukivutiwa nacho naomba usapoti andiko hili kwa...
Back
Top Bottom