mafanikio

  1. Elimu pekee haitoshi kuleta Maendeleo au Mafanikio ya mtu mmoja mmoja

    Watu ukiwasikiliza story zao zimejaa uongo sana. Elimu ya zamani na ya sasa hakuna utofauti wowote nasema, maana jaribu kuwaangalia hao waliosoma zamani, ni mambo gani wamelifanyia hili Taifa? Nchi inakwama kwa kukosa watu wenye akili na fikra pana na sio Elimu, vijana wanalaumiwa bure tu.
  2. SoC03 Maisha ni Safari ya Kujitafutia Mafanikio: Njia za Kujiimarisha na Kufanikiwa

    MAISHA NI SAFARI YA KUJITAFUTIA MAFANIKIO: NJIA ZA KUJIIMARISHA NA KUFANIKIWA Imeandikwa na: Mwl.RCT Utangulizi: Karibu katika Makala hii, ambayo itajadili kwa kina ujumbe wa "Maisha ni Safari ya Kujitafutia Mafanikio: Njia za Kujiimarisha na Kufanikiwa". Katika makala hii, tutajadili umuhimu...
  3. Mafanikio ni maandalizi

    Tuwaandae watoto wetu, ndugu, jamaa na marafiki katika kutimiza ndoto na malengo yao Vinginevyo au basi.
  4. Jimbo la Hai na Mafanikio Lukuki, Mbunge Saashisha Anena Mazito Yaliyofanyika

    JIMBO LA HAI NA MAFANIKIO LUKUKI NDANI YA MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN MADARAKANI "Nawashukuru wananchi wa Hai kwa heshima kubwa waliyonipa ya kuwa Mbunge wao. Itoshe kusema asante na Mungu ambariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan" - Mhe...
  5. Katiba mpya, Mbowe na Lissu ni wamoja? Wanazungumza lugha moja na kupaza sauti moja? Kwanini wanaonekana kama kila mtu na lake, kila mtu na lwake?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, zenye swali la msingi, kisha majibu utayatoa wewe. Swali la leo la bandiko hili ni kuhusu hoja ya kuipambania katiba mpya: Je, Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe na Makamo Mwenyekiti wake...
  6. Ni mambo gani yanakwamisha safari yako ya mafanikio?

    Wanasema kupanga ni Kama kuichungulia kesho yako, Nami Kama mwana harakati katika utafitaji nikajiwazia kuwa Kuna baadhi ya vitu au watu ni chanzo Cha kutuchelewesha au kuwa Kama vizingiti katika safari ya mafanikio. Je, ni Mambo, vitu, au watu gani unahisi wanakuzuia au kukuchelewesha...
  7. T

    Wavivu wawili wanatiana moyo kuoneshea watu mashamba ya mkulima hodari na mafanikio yake kuwa ni yao??

    Hovyo kabisa! Tuna viongozi wazembe na wasio na uwezo hata kidogo wa kuibua kuanzisha miradi na kuisimamia ili wapewe heshima zao, badala yake wanataka kulazimisha kupewa heshima zisizo zao! Muda mbona wanao? Hongera mkulima hodari na ingawa haupo"
  8. SoC03 Elimu Bora na Uwajibikaji: Misingi ya Mafanikio ya Kesho

    Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya jamii na ustawi wa kiuchumi. Hata hivyo, ili kuhakikisha kuwa elimu inaleta mabadiliko sahihi na yenye tija, uwajibikaji unahitajika katika kila ngazi ya mfumo wa elimu. Hivi sasa, kuna haja ya kuweka mpangilio mzuri wa mawazo na kuchukua hatua thabiti...
  9. Orodha ya vilabu vyenye mafanikio zaidi bara la Africa

    Kwa mujibu wa shirika la Soccerzone, iliyotoa orodha ya vilabu vyenye mafanikio zaidi kwa kila nchi, Club ya Yanga pekee imeng'ara kwa alama nyingi zaidi ikiachwa mbali kidogo na mahasimu wao club ya Al ahly ya nchini Misri. Orodha hiyo yenye vilabu kama TP Mazembe ya nchini Congo Al ittihad ya...
  10. Zijue faida za mafanikio ya Yanga kubezwa

    Nimemsikia Ahmed Ally akibeza mafanikio ya Yanga kwamba imekutana na vibonge kwa hatua zote alizopita,swali ambalo semaji la CAF hawezi kujibu ni kwamba je Yanga imebeba ubingwa wa NBC Simba akiwa wapi?(Ambayo ni timu imara na giant zaidi ya Yanga?) Achana na hilo swali utapigwa makofi. Wapo...
  11. Kwa mafanikio haya ya Yanga SC ni mwana Simba SC Mwendawazimu tu ndiyo atayabeza na kuyachukia

    Tena nadhani kwa mwana Simba SC kuliko kuwa na Usununu ( Chuki ) dhidi ya Yanga SC kufika Fainali ya CAFCC ni Bora tukazihamishia kwa Mwekezaji Wetu, Mwenyekiti wa Bodi, Mwenyekiti wa Wanachama, CEO Wetu, Benchi la Ufundi na Wachezaji wa Simba SC kwani Wao ndiyo Chanzo Kikuu cha Sisi leo...
  12. Benki ya NBC Yakabidhi Gawio la Tsh Bil 20 Kwa wana hisa wake, yajivunia mafanikio.

    Msajili wa Hazina Bw Nehemiah Mchechu (wa tatu kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh 6 Bilion kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw Theobald Sabi (Kushoto) ikiwa gawio la mwaka 2022 kwa Serikali ambayo inamiliki asilimia 30 ya hisa za benki hiyo. Wanaoshuhudia ni...
  13. Simba ni chachu ya mafanikio ya Yanga, nashauri serikali ifanye hivi

    Iingeze idadi ya watu itakao wasafirisha kwenda kushangilia first leg ya fainali, na safari hii iongeze 55 wengine watakaopenda kwenda kuishangilia timu itakayopambana na Yanga. Maamuzi ya mashabiki wa Simba yamekuwa ni chachu sana ya ushindi kwa Yanga, ndiyo maana nasisitiza wale wote...
  14. Ni ipi siri ya mafanikio ya kudumu kwenye ndoa za Wazee wetu?

    Habarini wana MMU, Natumai ni wazima wa afya kabisa na wenye shida kidogo mungu awabariki warudi kwenye hali yao ya kawaida ya kiafya. Hili jambo limekuwa likinitatiza sana. Na leo nimeamua niwashirikishe ndugu zangu labda tutapata wasaa zaidi wa kulifafanua hili jambo. JE NI IPI SIRI YA...
  15. Mafanikio ya Kisayansi ya Yanga SC dhidi ya Upumbavu unaoendelea Simba SC yatanifanya nianze kuwa Neutral kiushabiki

    Timu inamilikiwa na anayesifiwa Tajiri Afrika halafu ndani yake kuna Uswahili Uliotukuka huku hata nae Tajiri akiwa ni Mswahili hivyo hivyo. Timu inamilikiwa na Tajiri wa Kawaida tu GSM huku ikisimamiwa Kisayansi na Rais Injinia Hersi Said inazidi tu Kuchanja Mbuga Kimafanikio huku ikitutia...
  16. SoC03 Mwanangu, mafanikio yako utayapata Kwa juhudi

    Mwanangu, mafanikio yako utayapata Kwa juhudi Utangulizi Siku zote, mafanikio hayaji kwa bahati mbaya. Lazima uwe na juhudi, bidii na uvumilivu ili kufikia malengo yako na kuzishinda changamoto zote unakutana nazo katika maisha basi nasi kama taifa la Tanzania , nchi na wananchi wake hatuna...
  17. M

    Namba hazidanganyi: Bado Halaand ana safari ndefu sana kuyafikia mafanikio ya Cristiano Ronaldo, japo mwelekeo anao!!

    Tatizo ni kwamba watu warefu kwa kawaida hawakai kwenye form kwa muda mrefu , lakini pia Halaand anatumia mguu mmoja tu wa kushoto wakati R7 mashine inakubali kote kote. Halaand ni mrefu zaidi ya Ronaldo. Nafahamu exceptions huwa zinatokea. Naziachia namba hapa zizungumze!! Domestic Tournaments...
  18. Uhalisia wa mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa katika picha

    Kutokana na utata unaoendelea kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa, nimeshirikiana na wataalamu wa TEHAMA kutengeneza jedwali linaloonyesha vizuri mzania wa mafanikio ya timu hizi mbili katika mashindano yote ya CAF. Nadhani jedwali hili litatupa picha kamili ya mafanikio ya timu hizi...
  19. Seif Gulamali azungumzia mafanikio ndani ya miaka miwili ya Rais Samia katika Jimbo la Manonga

    Mbunge wa Jimbo la Manonga Wilaya ya Igunga, Mhe. Seif Khamis Gulamali ameainisha miradi ya Elimu na Afya ambayo imefanyika jimboni kwake huku akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupeleka fedha. Jimbo la MANONGA Wilaya ya Igunga lilipokea Jumla Shilingi 543,400,000/= fedha...
  20. M

    Yanga mnaupiga mwingi, mafanikio ya msimu mmoja tu ndani ya michuano ya CAF ni kielelezo cha ubora wa timu yenu

    Hakuna asiejua msoto aliopitia yanga miaka ya nyuma kwenye michuano ya kimataifa, mafanikio pekee aliyokuwa nayo ilikuwa ni kuingia hatua ya makundi kombe la shirikisho na akavuta mkia kwenye kundi lake, kipindi icho ilikuwa ni yanga ya kuungaunga sana. Lakini baada ya uwekezaji mkubwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…