mafanikio

  1. Tatizo tunaishi kwa mazoea! "Yanga ana mafanikio zaidi kimataifa kuliko simba mwaka huu

    Tatizo tunaishi kwa mazoea na usimba na uyanga Yanga wakati inaanza mwaka huu wa mashindano ilikuwa ya 75 Leo hii yanga ipo ndani ya top 20 best club in Africa. Wakishika nafasi ya 20 wakati simba kapanda nafasi 5 tu mwezie kapanda nafasi 55 tuendelee kuwepo lakini ukweli Yanga ya Sasa ni...
  2. DJ Khaled hafahamu lolote kuhusu muziki, siri imejulikana

    Siku zote usipojua nyota yako kali usitegemee kufanikiwa kama usipojiondoa kwa watu watakao tumia nyota yako kutembelea kwenye mafanikio yao. Wote tunamfahamu msanii T-Pain aliyetamba miaka ya nyuma na hakuna ngoma iliyofanya vibaya. Kutokana na umaarufu wake mpaka kuunda kundi la Nappy Boy...
  3. List ya wasanii wa Bongo ambao walipata umaarufu na mafanikio makubwa, lakini leo wako juu ya mawe

    1) Mr Nice - huyu Afrika mashariki nzima na baadhi ya nchi za kusini kama vile Malawi, Msumbiji na Zambia hakuna mtu ambae alikuwa hamjui. Mpaka watoto wadogo huko vijijini Malawi walikuwa wanaimba kidali poo. Miaka ya 2002 mpaka 2005 alipiga hela sana lakini akaishia kushusha zipu, leo hii...
  4. Kuumizwa na mafanikio ya Simba Sc ni maradhi ya kujitakia

    Mafanikio ni nini? Mafanikio ni hatua ya kufikia au kuzidi malengo uliyojiwekea. Kwa lugha ya kigeni tunaita Goal Achievement. Simba tumekuwa na malengo kadhaa kila mwaka. Moja ya malengo yamekuwa ni kufanya vizuri kimataifa na kwa kiwango kikubwa tumekuwa tukifanikiwa kifikia malengo yetu...
  5. Mbunge wa Sengerema afunguka mafanikio ya Rais Samia na ukweli kuhusu uwepo wa Sukuma Gang

    Mbunge wa Sengerema, Tabasamu Hamisi Mwagao amesema kipindi cha Miaka Miwili ya Uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan imekuwa ya Mafanikio katika Sekta mbalimbali ikiwamo Nishati, Maji, Elimu, Afya na Miundombinu katika Mkoa wa Mwanza huku akikana uwapo wa...
  6. Mbunge Juliana Shonza: Miaka Miwili ya Rais Samia Suluhu Hassan Imekuwa Chachu ya Mafanikio kwa Taifa

    MBUNGE MHE. JULIANA DANIEL SHONZA - "MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN IMEKUWA CHACHU YA MAFANIKIO KWA TAIFA Mbunge wa Viti Maalum CCM Wanawake (UWT) anayetokea Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Daniel Shonza amempongeza Rais Samia kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani huku akijikita kwa...
  7. Mafanikio ya Simba msimu uliopita na msimu huu mpaka sasa

    Hayo ni mafanikio tunayojivunia wana Simba na hakuna timu yoyote Tanzania na Africa kwa ujumla inaweza fikia. 1) Kucheza robo fainali cc na cl 2) Kubeba tuzo la goli bora la msimu (goli la Sakho) 3) Wachezaji kupostiwa magoli ya wiki 4) Wachezaji kuwekwa kwenye team ya week 5) Kupostiwa kwenye...
  8. B

    Hawa Ndio Walio Nyuma ya Mafanikio ya Yanga na Simba

    Ukweli ni kwamba, kampuni za METL inayoongozwa na Mohamed Dewji na ile ya GSM inayoo na Ghalib Said Mohd ndio kampuni zinazoipa jeuri Yanga akia Utopolo na Simba, aka Madunduka FC; Makofi tafadhali kwa kampuni hizi mbili! Hata hivyo, kampuni hizi mbili zisingeweza kufanya wayafanyayo kama sio...
  9. Yanga na Simba kuingia Robo Fainali katika mashindano yao wanayoshiriki siyo mafanikio

    Mimi nikiwa ni mdau wa soka, Nashangazwa na sifa ,majigambo na majivuno wanayojipatia mashabiki , wapenzi , viongozi na waandishi wa habari za michezo kuwa HATUA YA ROBO FAINALI YA MASHINDANO YA AFRIKA yaliyofikiwa na vilabu hivi eti tunaita MAFANIKIO. Huo ni UONGO, UZEMBE NA UDWANZI, mafanikio...
  10. Kwangu Mimi haya ndiyo Mafanikio Kuntu ya Rais Samia kwa hii miaka yake Miwili Madarakani

    1. Kiwango cha Ujinga ( Ungumbaru ) kwa Wananchi wa Taifa lake Kuongezeka. 2. Utamaduni wa Visasi na Chuki kwa Waliokuchukia na Usiowapenfa Kuongezeka. 3. Kiwango cha Elimu Kushuka na kuwa ICU huku Ufaulu wa Kisiasa kwa Wanafunzi Kuongezeka. 4. Kiwango cha Wanaume wengi kupenda kuwa kama Dada...
  11. M

    Monastir ni timu nzuri kiufundi na imetimia kila idara lakini wanakutana na Yanga iliyotimia zaidi na yenye njaa ya mafanikio

    Tunategemea mechi nzuri sana na yenye ushindani mkali leo hii kwakuwa zinakutana timu ambazo zote ziko vizuri kiufundi na zikiwa na wachezaji bora kwenye vikosi vyao, Monastir walimfunga yanga goli 2 kule Tunisia na aina ya magoli ambayo walifunga ni mipira ya kutengwa (set pieces), ni eneo...
  12. Mafanikio ya mwanamuziki Burna Boy, nini tunajifunza?

    Huyu jamaa kwa kipindi kifupi ameweza kuwa mwanamuziki maarufu na mwenye mafanikio duniani. Kafanya shows nyingi, kajaza watu kwenye show zake na mengineo mengi. Je, siri ya kufanikiwa kwake ni Kipaji au menejimenti inayojielewa? Miaka kama miwili au mitatu alifanya ngoma na Diamond pamoja na...
  13. Yafuatayo ndiyo Mafanikio ya Miaka Miwili ya yatakayomhusu au Kujihisi tu

    1. Taabu / Shida Kuongezeka 2. Nidhamu ya Kiutendaji kushuka 3. Rushwa na Ushirikina Kushamiri 4. Upumbavu ( Upopoma ) wa Watu kuongezeka maradufu he 5. Unafiki kushamiri 6. Uhalifu kuota Mizizi 7. Kujipendekeza ( Uchawa ) na Ushoga Kuongezeka Na wala huu Mchezo hauhitaji Hasira hata kidogo...
  14. Watu wenye pesa/mafanikio wako very humble

    Habarini za wakati huu wakuu. Nimegundua kwamba watu wengi (siyo wote) wenye pesa/mafanikio ya kweli wako very humble. Hadi naanzisha huu uzi, yapo matukio mengi yamethibitisha conclusion hii. Jana jioni nilienda Morena Hotel Dodoma kujipumzisha. Nikiwa pale nikakutana na rafiki yangu...
  15. P

    Ushuhuda kwa vijana mliojitoa mhanga kutimiza ndoto

    Mimi ni kijana niliekuja Dar mwaka nusu ulopita. Nilikuja Dar baada ya kutoka nje kimasomo. Pamoja na course niliyosoma, mida ya jioni nilisoma skill nyingine nje ya curriculum kwa personal arrangement. Niliweza kuimaster vuzuri kwa kuwa pia iliakisi uwezo wangu tangu utotoni. So baada ya...
  16. Dini imemuangalia zaidi mwenye mafanikio, tajiri na kumkandamiza maskini na mwenye matatizo

    Ukijaribu kupitia pitia dini zetu kiufupi zipo kwa ajili ya mafanikio na tajiri sio kwa maskini na mwenye matatizo. Mafanikio na utajiri ndio yana kubeba kupitia dini viongozi wa dini watakuombea na kukubari kuja kwako ukilinganishana na maskini. Nilishangaa kwa waislamu msaani domo dini yake...
  17. M

    Sijawahi kuona timu inayomilikiwa na mhindi inapata mafanikio, Mo ataendelea kuwatesa

    Sina kumbukumbu nzuri ya kujua ni wapi na nchi gani ambayo kuna timu inamilikiwa na mhindi na timu iyo ikapata mafanikio, labda wanaojua watuambie hapa, Wahindi wanajulikana ni wabahili kwenye suala zima la kutoa pesa yao. wanapenda sana vitu vya kitonga, vitu vya bei rahisi rahisi ili wapate...
  18. Kuelekea maadhimisho ya miaka miwili ya Rais Samia, Tutaje mafanikio ya ndani ya miaka miwili

    Kabla hatujafika tarehe 01/03/2023 tunaomba tukumbushane juu ya hii siku muhimu ya kuadhimisha miaka miwili ya Rais DK. Samia. 01/03/2023 tunaadhimisha miaka miwili ya Mh Rais na kwa kutaja mafanikio ya ndani ya miaka miwili na matarajio ya baadaye. Tutazindua madaraja mawili MTO MORI NA MTO...
  19. Benki ya Dunia yataja mafanikio matatu ya uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Benki ya Dunia yataja mafanikio matatu ya uchumi wa Tanzania 1. Tanzania ina mfumuko wa bei mdogo kuliko nchi zote Afrika Mashariki 2. Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi kuliko wastani wa Afrika Kusini mwa Sahara 3. Deni la Taifa ni himilivu
  20. U

    Kipaji kinaweza kuwa nguzo ya mafanikio

    Inaweza ukawa una kipaji,ila kilishapotea kutokana na mazingira.Au pengine bado hujagundua kipaji chako,na unahitaji kujiendeleza ili kikuletee manufaa.Basi huku ndio penyewe. I.Gundua kipaji chako. Neno kipaji wengi huwa tunaamini labda ni kuwa mwanamziki,au mchoraji.Lakini KIPAJI,ni ule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…