mafanikio

  1. Kila biashara yenye mafanikio hupitia hatua sahihi: Momsconsulting ni daraja Karibu tukupitishe hatua za mafanikio

    Changamkia fursa sasa! huu ni mwaka 2025 ni wakati sahihi wa kuanza kutimiza yale malengo yako uliyojiwekea! Sasa basi unataka kuanzisha kampuni au biashara yako mwaka huu? Usiogope, kwa maana sasa MOMS Consulting tunakusaidia katika kila hatua kuelekea mafanikio yako: Kuanzia usajili na...
  2. Ongeza mafanikio: Faida tano muhimu za kuandika namba 24 kwenye kiganja cha mkono.

    ONGEZA MAFANIKIO: FAIDA TANO MUHIMU ZA KUANDIKA NAMBA 24 KWENYE KIGANJA CHA MKONO. SEHEMU YA PILI. 👉Katika sehemu iliyo pita niliweka msingi wa awali ili kuweza kuelewa ni nini hiyo namba 24. Ule ulikua kama mwanzo tu na kuna baadhi ya watu walikurupuka kwenda kuchora namba 24 kwenye viganja*...
  3. W

    Kundi la watu wachache linapofanikiwa kupitiliza husababisha chuki na wivu, haya ni matukio yaliyopelekea kuuawa, kufukuzwa, kubaguliwa

    Katika historia ya dunia, kumekuwa na matukio ambapo makundi ya watu wachache yamefanikiwa kwa kiwango kikubwa kijamii, kisiasa, kielimu, kiuchumi, n.k. Hali hii mara nyingi imepelekea chuki kutoka kwenye kundi kubwa na hatimaye mauaji ya kimbari (genocide), kuwafukuza, n.k. Aidha, wachache hawa...
  4. Chadema na ACT wakiungana ni wazi watapata mafanikio Uchaguzi ujao

    Nawaza na kushauli pia, Lissu na Zitto waunganishe nguvu kwa maslahi mapana ya Nchi ili pamoja na mambo mengine, waikabili CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao. Mfano, Chadema wakubali kumuunga mkono Zitto awe Mgombea wa nafasi ya Rais. Vilevile wakubaliane kuachiana Majimbo kulingana na uungwaji wa...
  5. Mafanikio ni dhana pana sana, Motivational speakers eleweni kwamba, Kila mtu ana namna yake anavyo tafsiri mafanikio

    To whom brain 🧠 is given, Sense is expected. Kitu au jambo unalodhani na kuona kwamba kwako ni mafanikio makubwa sana, Kwa mwingine bado ni kitu au jambo dogo sana. Kuna wimbi kubwa sana la Motivational speakers ambao wao hujiona kwamba ndio wana uelewa mpana sana kuhusu suala zima la...
  6. Mafanikio Hujengwa kwa nidhamu

  7. W

    Fungua Milango ya Mafanikio: hizi ndizo njia kwa wanaume kujiondoa katika umaskini

    Pata Mwanamke Sahihi Sahau kuhusu slay queens na wanawake wenye sura na shape wasioweza kukuunga maono yako. Tafuta mwanamke atakayekuunga mkono kwenye maono yako na kukupa ahueni kwenye safari ya kusaka mafanikio. Mwanamke alie tayari kutimiza majukumu yake na yenu kwa pamoja, ni muhimu sana...
  8. Tunaungana kwa pamoja kwa mafanikio ya usaili wa walimu

    Kesho rasmi walimu wanaanza usaili, na usaili huu utaendelea hadi tarehe 24 mwezi wa pili. uzi huu umeandaliwa mahsusi ili kuwa jukwaa la kushirikiana mawazo, maswali mliyokutana nayo, changamoto mlizopitia, na uzoefu wenu wa mtihani. Lengo ni kuwasaidia wenzetu wanaotarajia kufanya usaili huu...
  9. Utu uzima umebadili mtazamo wangu kuhusu mafanikio

    Nikiwa chini ya miaka 20 nilikuwa nawaza sana mambo makubwa makubwa umasikini na shida niliona kama vitu vya kupita. Nilikuwa najiuliza na kushangaa sana inakuwaje mtu anaishi mpaka anafika miaka 30 hana nyumba, hajaoa hata hawazi kununua gari? Huo ni uzembe bwana nilijijibu mwenyewe. Sikuwahi...
  10. Nyuma ya kila mwanaume mwenye mafanikio kuna mwanamke anayemsukuma!

    Wakati kundi la watalii lilipotembelea shamba la mamba, mmiliki wa eneo hilo alizindua shindano la ujasiri, kwa kuwaambia wageni waliohudhuria kwamba.. "Yeyote anayethubutu kuruka, na k kuogelea hadi upande wa pili wa ziwa lile lenye mamba na kusalimika kuliwa au kujeruhiwa atampa $ 1,000,000...
  11. M

    Ufanisi wa Utoaji wa Vitambulisho vya NIDA: Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa utoaji wa Vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa sasa, NIDA...
  12. G

    Unapopokea sifa, omba Mungu wako akupe busara na unyenyekevu, wengi wamepotea kwa kulewa sifa

    Adui namba moja wa mwanadamu ni "Sifa" Sifa ni neno dogo lenye herufi nne, lakini limeumiza, limeangamiza, limeua na limepoteza haiba, roho, nafsi, karama, vipaji na uwezo wa wanadamu wengi sana duniani. Bila shaka wahenga walijua madhara na athari za sifa, wakaonya kuwa "mgema akisifiwa tembo...
  13. K

    Ukweli uliojificha, inakuwaje mtu anakataa kuoa na mafanikio Hana? Kama kutooa mapema ni vizuri kwanini miaka inafika 30 Bado kipato Cha kubangaiza?

    Kuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa. Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa! Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio kufanikiwa basi wote wenye 30's wawe wanaendesha V8 Vijana wenzangu epukeni zinaaa fanyeni muoa maisha ndio...
  14. Kaka Magical power nina furaha sana, yule kaka niliyekuwa namuwinda siku nyingi bila mafanikio sasa nimeshamnasa.

    Kaka Magical power nina furaha sana, yule kaka niliyekuwa namuwinda siku nyingi bila mafanikio sasa nimeshamnasa, kumbe rahisi niliamua kujitoa akili nikalipa double kwenye send-off ya rafiki nikamuomba kampani tukaenda wote nikawa sikuwa na haraka basi akaumwa akanipigia simu anaumwa...
  15. Mbowe Haguswi Wala Kuumizwa na Walipoteza Maisha, Au na Yenyewe ni Mafanikio ya Mwafaka?

    Mbowe leo amemshangaza karibia kila mtu mwenye uwezo wa kutafakari. Mbowe ametumia muda mrefu sana kusifia mafanikio yaliyotokana na mwafaka uliofanywa kati yake na Rais Samia. Hakuthubutu kuzungumzia chochote kuhusiana na utekaji na mauaji ya viongozi na wanachama wa CHADEMA. Kwake yeye, baada...
  16. Naibu Waziri Katimba: Rufiji Imepata Mafanikio Makubwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amepongeza jitihada za maendeleo zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sekta ya Elimu,Afya na miundombinu ya Barabara za Mijini na...
  17. Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo

    Fujo Uwanja wa Benjamin Mkapa: Aibu kwa Taifa na Tishio kwa Mafanikio ya Michezo Leo, Desemba 15, 2024, mashabiki wa CS SFAXIEN ya Tunisia walifanya vitendo vya fujo na uharibifu mkubwa kwenye Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Temeke, Dar es Salaam, wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho la...
  18. Waziri Kombo awapa siri 3 za mafanikio wahitimu wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim

    Waziri Kombo awapa siri 3 za mafanikio wahitimu wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewatunuku vyeti wahitimu 893 wa ngazi mbalimbali za masomo katika Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha...
  19. Wanaume wengi wanapenda kunyenyekewa na kupewa heshima

    Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini...
  20. Siri iliyopo nyuma ya mafanikio ya Mwamposa na jinsi unavyoweza kuitumia kwenye biashara yako

    Tunasema ili uweze kufanyikiwa kwenye kitu chochote kile ni lazima uwe na “Model ya kujirudia inayokupa MATOKEO wanayoyataka walengwa wako kila mara” Yaani… Lazima uwe na kitu, bidhaa, huduma au mfumo flani ambao kila ukiutumia unakupa matokeo yale ambayo walengwa wako wanayahitaji. Mfano…...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…