Mama mmoja anayefahamika kwa jina la MAGDALENA ZABRON NTONELA Mwenye umri wa miaka 65 mkazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma, ameomba kulipwa mafao ya Serikali Kuu, kupitia mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma PSSSF, baada ya kulipwa shilingi Elfu sita tangu alipostafu mwaka 2020...
Kwa nini aliyeachichwa kazi kwa makosa awe hastahili kulipwa mafao ya uzeeni. Wakati anachangia miaka kumi na Tano(15)ambayo ni sawa na miezi mia Moja na themanini(180)?
Na huyu wa kuachishwa kazi kwa kupunguzwa astahili kulipwa kama wamechangia sawa?! Namsubiria majibu na hiyo sheria!
Ahsanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.