Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mama mmoja anayefahamika kwa jina la MAGDALENA ZABRON NTONELA Mwenye umri wa miaka 65 mkazi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma, ameomba kulipwa mafao ya Serikali Kuu, kupitia mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma PSSSF, baada ya kulipwa shilingi Elfu sita tangu alipostafu mwaka 2020, huku akihangaika bila majibu hali inayompa hofu ya kupata magonjwa hasa Presha na kuwa hatari ya kupoteza maisha.