mafao

  1. Dr. Zaganza

    SoC01 Mambo 5 ya kuzingatia kabla hujawekeza mafao yako ya ustaafu popote

    Ni wazi ofisi na mtaani ni mazingira mawili tofauti kabisa,hivyo yanahitaji mbinu tofauti kupata kipato cha kuendesha maisha yako. Kwa kuwa wastaafu wengi wametumia muda mwingi kazini ( hadi unafika miaka 55 au 60), muda huu unapostaafu unapaswa kujifunza mazingira mapya kwa uharaka bila...
  2. Jembemtaji

    Msaada: Mafao yameingia kwenye account ya mahakama ya wilaya Temeke, tumezungushwa mpaka tumechoka

    Habari ndugu, Tulikuwa na ndugu yetu alistaafu mwaka 2019 alikua nurse Muhimbili Hospital. Baada kustaafu alifuatilia mafao yake hakufanikiwa kupata. Baadae akaugua akafa 2020, baada ya kufa tunafungua na tukafanikiwa kuingiziwa mafao kwenye hiyo account ya mahakama. Cha kusikitisha ni kwamba...
  3. Mung Chris

    Nauli na mafao ya askari wastaafu kucheleweshwa ni mateso

    Si kila askari alijiandaa kuwa na kitega uchumi akiwa kazini lahasha, lakini sasa kwanini anapostaafu asipewe nauli ya kumrudisha kwao kwa wakati ili aende apambane na mashamba? Swala hili viongozi na Waziri wa mambo ya ndani alitolea ufafanuzi lakini hamna utekelezaji sijui ni kumbembeleza...
  4. M

    Mwaka tangu kustaafu, PSSPF wekeni ukweli na uwazi mbele

    Naandika kwa masikitiko makubwa baada ya kupita mwaka tangu kustaafu. Mawasiliano kati yangu na PSSPF sio mazuri na hayaonyeshi ukweli na dhamira njema. Ninawaomba PSSPF mtu akishakamilisha kuwasilisha nyaraka zake na mkazihakiki basi angalau mpeni muda ambao ataweza kupata mafao yake. Kuwaweka...
  5. ommytk

    Uzi maalum changamoto katika mifuko ya mafao

    Wadau ebu Leo naomba tuweke na tujadili hapa changamoto tunazokutana nazo katika mifuko ya mafao kipindi tunafatilia mafao ya aina yoyote iwe yako au mzee wako maana wafanyakazi wa hizi taasisi awajui Kama hizi hela zilikatwa sio Kama Mtu unapewa bure Ni jasho lako
  6. ommytk

    PSSSF Kuna nini? Hebu semeni tu kwa sasa Tanzania hakuna mafao ya wastaafu

    Naomba serikali kuu itupie jicho psssf Kuna shida kubwaaaaaa sasa sijui tunwalaumu bure Labda maelekezo toka ngazi za juu aya wanayofanya mtu mafao unafatilia miaka mara sijui linapotea sijui nini Daaah inatia hasira sana
  7. Ossy167

    Mapadri wakizeeka wanapewa mafao ya kujikimu?

    Hello habari Ndugu Nina swali . Hivi mapadre wakikatoliki pale wanapokuwa wazee je wana mafao yeyote ya kuwasaidia kujikimu? Au je pale waumwapo wakati wa uzee wao ni Kanisa linatakiwa kuwahudumia ama inakuwaje! Au wanakuwa wanaishi wapi ?
  8. beth

    Kilimanjaro: Walimu wapandishwa kizimbani kwa kughushi nyaraka ili kupata mafao NSSF

    TAKUKURU Mkoani humo imewafikisha Mahakamani Goldina Peter Minja, Rose Koshuma Msangi na Nicodemus Felician Kavishe. Goldina aliwasilisha nyaraka zenye maelezo ya uongo ya "Ukomo wa Ajira yako" Rose aliwasilisha nyaraka zisizo za kweli ili alipwe mafao ilihali bado ni mtumishi, na Nicodemus...
  9. B

    Madiwani na wabunge walioacha nafasi zao na kurejea CCM walilipwa mafao kamili kwa kodi za Serikali?

    Lipo zoezi lililoendeshwa na Dkt. Bashiru na Polepole kwa udhamini wa mwenyekiti lililopewa jina la kuunga juhudi mkono. Zoezi lile lilijaa uhalifu ikiwemo matumizi ya vitisho kwa waliokataa kuunga juhudi mkono. Moja ya zawadi waliyopewa wale waliounga mkono juhudi ilikuwa ni kuakikishiwa...
  10. J33

    Ni hatua gani mstaafu anatakiwa kufuata kama amepunjwa au amelipwa mafao chini ya kiwango anachostahili?

    Mstaafu aliyelipwa chini ya kiwango halisi anatakiwa kuchukua hatua gani ili kudai kiasi kilichobaki? Nimeuliza maana kuna ndugu yangu alilipwa kiasi asichostahili 2018 na tangu mwezi wa nne amekuwa akipokea simu kutoka kwa watu wanaojitambulisha kama wafanyakazi wa hazina wakimuomba rushwa ili...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Ukiondoa wastaafu wanaosubiri mafao yao, ni kundi gani jingine linaisoma namba zaidi?

    Binafsi naona wastaafu ndio kundi pekee waliomaliza kuzisoma namba zote hapa duniani. Kuna wastaafu wengine wana miaka 2,3 n.k hawajalipwa stahiki zao. Kila siku wakienda PSSSF wanaambiwa bado hiki, wakikamilisha hiki wanaambiwa bado kile. Then hupewa kakenda ya kulipwa, hapo sasa shughuli...
  12. Kisoda James

    Amestaafu na kupewa shilingi milioni mia moja. Anaomba msaada

    Mama yangu mkubwa amestaafu na kupewa milioni mia moja. Amechukua milioni 20 na kugawia watoto pamoja na kurekebisha nyumba yake kwa maana tayari alikuwa amekwisha jenga. Sasa amebaki na milioni 80 alikuwa anataka kuziweka bank ili asizitumie vibaya. Alikuwa anataka bank iwe inamlipa kiaso cha...
  13. Chief Kabikula

    Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

    Hongera Rais , kwa kuamua kulipa haki zao stahiki Mungu akubaliki sana . Katika hotuba yake leo amesema watumishi wa darasa la na vyeti feki walikuwa wakichangia mifuko ya hifadhi ya jamii hivyo amewataka waajiri wote kuhitimisha utumishi wao kwa kuwalipa stahiki zao. ========= RAIS SAMIA...
  14. mkurya org.

    Wafanyakazi wote wa KIRIBO LTD mafao yetu hayaonekani kwa miaka 4, NSSF mlikuwa wapi?

    Wanajukwaa poleni Sana na Majukumu, Mimi hapa ni miongoni mwa wafanyakazi wa kampuni ya Kiribo Ltd iliyopo wilaya ya Tarime mkoa wa Mara. Kwa taarifa rasmi kuhusiana na kampuni yetu tulisimama kazi tangia mwaka Jana mwezi wa saba ila tangia tulivyosimama kazi hatujawahi pewa haki zetu au...
  15. Sky Eclat

    Wastaafu wawe wanaandaliwa kisaikojia kabla ya kukabidhiwa mafao

    Wastaafu wengi huumizwa na mafao ambayo yalilengwa kuwasaidia. Kuna mmoja alipata milioni 200, wapambe walimshauri awekeze kwenye uchimbaji mdogo wa dhahabu. Alikaa huko miezi 18. Amerudi nyumbani hana kitu bahati yake mke ni mhangaikaji ana mgahawa. Wahanga wa matukio haya ni wengi sana...
  16. Chui mnyama

    Kikokotoo kipya cha mafao ya wastaafu chaanza kutumika rasmi

    Habari wana JamiiForums wenzangu Kwa wale mliofunga mfungo wa mwezi mtukufu salaam alaikum Leo nimekuja mbele yenu tujadili Kidogo mambo makuu mawili jambo la kwanza ni juu ya kikokotoo cha pension cha wastaafu na matumizi ya kikokotoo kipya. Ndugu wanaJamiiForums najua katika ukurasa huu kuna...
  17. Miss Zomboko

    Bulaya: Kikokotoo kipya cha Mafao ni kibovu na kinawapangia Wastaafu matumizi ya fedha zao

    Mbunge wa Viti Maalum, Esther Bulaya, amesema sio sawa kwa Mtumishi aliyeitumikia Tanzania kwa miaka mingi kumpangia matumizi ya fedha ya fedha yake kwa kumpa asilimia 25 huku asilimia 75 unasema utamlipa polepole. Bulaya amesema Uongozi wa Hayati Dkt. Magufuli ulilazimisha kuweka mfumo mbovu...
  18. MountFX

    Naweza kupata mafao ya NSSF nikiwa na namba bila kadi

    samahani sana wana jf nilikua nahitaji msaada wenu kidigo kwa yoyote anaye jua, Nimekua nikijiuliza sana kuhusu swala la NSSF. mimi nilikua mfanya kaza katika company furani hapa dar es salaam na nimetumikia hapo kwa miaka miwili mwaka wa kwanza sikuingizwa katika system ya nssf lakini...
  19. MAHANJU

    Hivi Serikali hii mna tatizo gani kutolipa wastaafu mafao yao? Hii ni laana mtaua wazee wa watu kwa mawazo

    Haiwezekani mtu mwaka unaisha anafuatilia pesa yake na amekwisha staafu anazungushwa tu hakuna majibu ya kueleweka. Hivi huyu mzee mnata aingie mtaani aishi vipi wakati mshahara hana na pesa anazodai ni zake? Hii siyo kujitafutia laana na chuki ni kitu gani? Mnadhani kiwango cha chuki nchini...
  20. Kinoamiguu

    Waziri anawezaje kuchelewesha mafao ya wastaafu?

    Wandugu. Inawezekana mm ndiyo sijaelewa. Raisi wa JMT leo alikuwa chuo cha mapolisi kurasini. Hapo alizindua majengo mengi. Kama kawaida. Awali kabla ya kuanza kuhutubia alitangulia means CCM mwenziwe naye ni bwana Simon Siro. Siro aliongea changamoto nyingi zinazowakabili mapolisi wakiwemo...
Back
Top Bottom