Nilifungua madai mwaka Jana mwezi wa 5, nadai tu hela ndogo kama 2.7m lakini ni mizungusho tu, mara wanashughulikia za mwezi wa tatu mara bado inafanyiwa kazi, na hawajui ni lini fedha itatolewa kwa sababu walio fungua madai hapo ni wengi sana.
Kiukweli hii serikali inaumiza sana raia...
Reuters) - The impeachment proceeding against Donald Trump on a charge of inciting the Jan. 6 attack on the U.S. Capitol has fueled speculation online that he could lose some of the benefits extended to former presidents.
But according to legal experts, under the laws currently in effect, Trump...
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amewapa siku tatu maafisa utumishi wilayani humo kuhakikisha wanatatua changamoto za waalimu wapatao 105 wanaodai malimbikizo ya fedha zao.
Aidha amebainisha kuwa fedha hizo ni pamoja na malimbikizo ya kupandishwa madaraja mishahara na fedha za kustaafu...
Wazee wetu huko Mwanza wameitikia kwa nguvu kubwa ombi la serikali kuhakiki taarifa kwaajili ya malipo ya Mafao yao, Ushauri wangu ni wasiwasimamishe wazee wetu hivi kwa foleni waanzishe utaratibu ambao ni rafiki kwa afya na nguvu za wazee wetu.
Habari!
Natumai mu wazima! Leo nataka kutumia jukwaa hili kuwakilisha kilio cha wastaafu wa shirika la reli Tanzania (TRC) ambao kwa zaidi ya mwaka sasa wamekuwa wakifatilia mafao yao kwenye mashirika ya hifadhi za jamii bila ya mafanikio, sababu kubwa ikiwa ni kuwa shirika halikuwa likipeleka...
Serikali imeitaka mifuko ya hifadhi ya jamii nchini kuacha ujanja ujanja badala yake ijikite kulipa mafao kwa wakati kwa wanachama wao wanaostaafu ama kuachishwa kazi.
Imeitaka mifuko hiyo kutowazungusha na kuwapa usumbufu usiokuwa wa lazima wanachama wanaofuatilia mafao yao.
Vilevile...
Nchi ina vipaombele lakini suala la mafao linapaswa kuwa kipaombele Cha Kwanza. Nipo na watu waliostaafu utumishi wa Umma wengi wakiwa walimu na wahudumu wa afya, Wana maisha magumu.
Tafakari walikua na mshahara mdogo kwa maisha yao yote ya utumishi, wakafanya kazi kwa kujibana wasomeshe...
Ndio usishangae jamaa alijilipa mafao.. !!
Kuna mwana alikua anafanya Kazi halmashauri fulani hivi mwaka 2016 alibahatika kupata scholarship kwenda ulaya kusoma masters.
Sasa ofisini (serikalini/halmashauri) walimbania ruhusa akaamua kuacha kazi ila kabla hajaacha alijiuliza na kufatilia mafao...
Yaani malipo ya wateja ni delays ambazo hazieleweki, ni majuto kufanyakazi na hawa watu kweli, wako na visuti na tai humo efficiency chini kabisa, bado tunapiga hesabu, tunasubiri baada ya uchaguzi, tunalipa kwa awamu hii inamuhusu mteja au big results ndo failure.
MAFAO WATUMISHI SEKTA BINAFSI KUSUBIRI MPAKA MIAKA HAMSINI NA TANO NI WIZI USIOVUMILIKA
Utaratibu huu ulikuwepo zamani kwa watumishi wa sekta binafsi kuchukua mafao au michango yao mara tu wanapoacha au kuachishwa kazi. Mwenendo huu uliwasaidia sana watumishi hawa kujipatia kipata kujiendeleza...
Kamanda Lissu; nakushauri,pamoja na mambo mengine, usisahau kuongelea mambo hayo matatu yanayogusa na kuumiza wananchi wengi wa nchi kama ulivyozungumzia suala la TRA na wafanyabiashara pamoja na swala la wafanyakazi kutoongezewa mishahara siku ya jana mkoani Morogoro.
Awamu hii ya tano...
SEPTEMBA 5: CHAUMA KUFUNGUA RASMI KAMPENI MANZESE, DAR
Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe ametangaza kufungua rasmi kampeni za chama chake viwanja vya Bakhresa vilivyopo Manzese Dar es Salaam, Septemba 5
Awali chama hiko kilipanga kufungua kampeni zake mkoani Mara, zoezi ambalo...
Wapinzani na wadau wengine kwa ujumla,wakati tunaelekea katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa Raisi wabunge na madiwani,ni vyema mkawakumbusha watanzania madhara ya kuwa na wabunge wengi wa CCM Bungeni hasa ikitokea CCM inaridu tena madarakani
Watanzania(baadhi yetu) tunakuwa wapesi...
Moja ya simulizi za kusikitisha katika utawala wa awamu ya Tano, ni kisa cha wafanyakazi wa Tanzania. Zipo kada nyingi zilizoumizwa sana na utawala huu, mojawapo nyingine ni wakulima. Hawa wote wametumika kama nyenzo tu ya kufanikisha miradi ya awamu hii, huku wao wenyewe na familia zao...
Hii nchi haina usawa. Hii nchi haijapata kiongozi wa kuleta usawa ingalau kwa nusu tu miongoni mwa wananchi....
Tumesikia wimbo huu wa kinafiki kuwa, Rais John Pombe Magufuli ni Rais na kiongozi wa wanyonge, wananchi wa hali ya chini wa nchi hii....
Si kweli, ni uongo mtupu na ni propaganda za...
Kulingana na report ya Ukaguzi ya CAG 2019/20 Serikali inadaiwa na Mifuko ya Jamii PSSSF kiasi cha zaidi ya Tshs. 700 Bilioni ambazo Serikali imekopa toka PSSSF na haijarudisha/kulipa fedha hizo.
Kuna Habari za kuaminika kwamba fedha hiyo imekopwa kwenda kujengea miradi mikubwa ya Serikali...
Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema
"Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
WanaJF,
Utendaji kazi wa baadhi ya watumishi NSSF Ubungo haulidhishi kabisa! Nimekuwa nikifuatilia kulipwa mafao yangu toka mwezi 7, 2019 mpaka leo hii sijalipwa napigwa kalenda tu bila hata kujali kuwa mtu huyu anatokea wapi! Manake si kila mtu anaishi na kufanya kazi Dar es Salaam. Watu...
Naomba kupata ufafanuzi wa yafuatayo,
Nina kaka yangu ana mke wa ndoa na wameshaishi na mke wake kwa miaka 30. Huyu bwana anafanya katika taasisi moja ya fedha mjini Mwanza.
Bwana huyu ana mwezi sasa tokea astaaf hivyo anasubiria mafao yake. Familia yake iko mjini Tanga ila cha ajabu plan zake...
Nimefanya kazi kwa miaka 7, hatimaye kibarua kimefika tamati.
Mwezi uliopita nikaenda ofisi za Mafao - Ubungo Plaza nikaambiwa niwasilishe madai lakini hawajapewa muongozo toka juu kuhusu kulipa watu ambao ni Expert.
Hivyo madai yangu yatapokelewa na kuwekwa pending mpaka pale muongozo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.