Hili sio bunge bali ni rubber stamp ya mkuu wa nchi.
Kwani Ayubu Ndugai kama mkuu wa mhimili wa Bunge alifanya kosa gani kupinga mikopo ya hovyo iliyojaa ufisadi?
Tulitarajia bunge Makini liseme ukweli kuwa kukopa hovyo na huku serikali ikikusanya kodi na tozo kamdamizi lukuki ni upuuzi...
Miaka hiyo ilikiwa sio rahisi kusikia rais fisadi na anayekumbatia ufisadi huku raia masikini wakiteseka akikaa madarakani alipinduliwa na kuuwawa kwa maslahi ya taifa.
Samuel Doe alifanya kweli kwa kumuondoa Torbet na genge lake.
Thomas Sankara alifanya kweli na mapinduzi yakafanyika na...
Tunaenda kuongeza mapato, na kuongeza ufanisi kwa ujumla wake
Sasa kupinga bila sababu za msingi na kukazania na uzushi tuuu hii inaleta ukakasi,
Kama ni mapungufu si tuyarekebishe tu?
Kwanini kumkataa mwarabu moja kwa moja?
Angekuwa mzungu tungepinga?
Ukimfuatilia mlolongo wa matukio kadha wa kadha ya hivi karibuni lazima mwanzoni mwa picha utamushuhudia Kitenge akiwaandaa watu kisaikolojia.
Mfano la Waarabu wa Loliondo na lile na Wamasai kule Ngorongoro Kitenge alitangulia kufanya kipindi cha kizushi.
Hili la Bandari tena Kitenge huyohuyo...
Makamba jr siyo waziri wa kwanza ktk wizara ya nishati kuundiwa zengwe na mafisadi. Mafisadi ya nchi hii yamekuwa yakiparurana na kila waziri wa wizara hii. Hiki ndiyo chanzo cha kelele zote hizi dhidi ya Makamba jr, waziri wa nishati wa sasa.
Mpk wabunge wamo ktk Mkumbo huu. Eti wanasusia...
Narudia...
Watanzania wenye Akili wanataka kuona nchi inakimbia Kimaendeleo na si Ikulu Mpya ikisifiwa na Wanafiki na Mafisadi.
Kwa mfano Ikulu ya Rwanda ni ya kawaida mno kuliko hata zote Afrika ikikaliwa na Rais Intelligent (brainy) Paul Kagame na nchi yao inakaribia hata kuziacha nchi...
Tanzania, kama nchi nyingi za Kiafrika, inakabiliwa na viongozi wasiowajibika na wala rushwa. Hii imesababisha wingi wa matatizo, ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa usawa wa kiuchumi, ukosefu wa huduma za msingi, na hali ya jumla ya kutokuwa na matumaini miongoni mwa watu. Hata hivyo, kuna...
MKULIMA aliyewaburuza kortini baadhi ya mawaziri, wakuu wa mashirika na Kampuni binafsi waliotajwa na ahofia mashahidi wa CAG wanaweza kupoteza maisha ikawa nguvu kushungulikia suala hilo Novemba kama Bunge lilivyoamua.
Kila mwaka tunasomewa report na CAG , tunajionea jinsi watu walnavyogawanya mabilioni ya umma kinyume na sheria. Hatuoni mafisadi wakiwa kwenye pingu. Sijawahi kusikia kuwa kuna fisadi kafungwa miaka 30 jela tangu nipate akili.
Ushoga ni tatizo ila si kubwa zaidi ya tatizo la ufisadi na wizi wa...
Umekuwa ukisikika mara kwa mara ukisema sauti ya Magufuli ina kwambia mara hivi mara vile, lakini hatujawahi kusikia sauti hiyo imekwambia chochote kuhusu;
1. Mafisadi
2. Wezi
3. Wavivu makazini
4. Rushwa
5. Wote wanaoshiriki kupandisha gharama za maisha bila sababu za msingi
Kuna kila dalili...
Bila shaka pesa ya hii nchi ipo mikononi mwa mafisadi , mama anakusanya huko na kule ikifika mezani wahuni wanagawana , the worst ni kuwa wengi huficha hzo hela nje ya nchi ,
Kama hii video inaonyesha kabisa huyu fisadi hajui hata pa kuzipeleka hzo hela ameishia kuzitandaza tuu sebuleni ...
Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM.
Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani kulikuwa hakuna Ufisadi na mafisadi ndani ya CCM, atuambie tujue!!
Kuwakamata mafisadi, wabadhilifu wa fedha za umma, na wala rushwa ni muhimu katika kupambana na ufisadi na kuhakikisha kuwa fedha za umma zinatumika kwa manufaa ya wananchi. Kuna mbinu kadhaa za kufanya hivyo:
1. Kuanzisha mifumo madhubuti ya udhibiti wa ndani na uwajibikaji katika taasisi za...
Salaam nyote Wana Jamii forums
Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge unatarajiwa kuanza tarehe 4 April 2023, ni Bunge la bajeti mambo mengi yatajadiliwa zikiwemo ripoti 16 za kamati za Bunge, Aidha ripoti ya CAG itawasilishwa Bungeni na Kujadiliwa.
Ombi langu kwenu wabunge tafadhari kwenye ripori...
Dhana ya mama anaupiga mwingi umefaa tu kwenye baadhi ya maeneo laini laini, msemo huu ungeenda sambamba na udhibiti wa pesa za walipa kodi nchi nzima tungeuimba wimbo huu.
Kwa mara ya kwanza na ya mwisho, tunawashauri CCM, waache kuimba huu wimbo unaozidi kuuwa uchumi wetu na wao kuufanya...
Naibu Spika mh Zungu baada ya kutuletea Tozo tutafutie na Dawa ya kudhibiti Wezi wa Tozo hizo kama alivyobainisha CAG.
Naona Tozo sasa ni sawa na Kunguru wa Zanzibar.
Ramadan kareem!
Angalia leo hii tunaambiwa taifa letu linakusanya tozo kodi na ushuru kibao. Zaidi ya tril 1.3.
Wananchi hawana hakika hata ya kula ugali dagaa. Wananchi wanaishi maisha duni.
Ufisadi umetamalaki na huyo rais anayejinasibu yupo na maridhiano hana uchungu na raia wanaoteseka kwa umasikini.
Kwenye mada,
Kuna wakati unawaza kuhusu kwanini Afrika?Unaelewa ni agenda ya mezani ya kila siku ya nchi zilizoendelea.
Kama tunavyofikiri namna ya kuendesha familia zetu vizuri kwa ustawi ndivyo mataifa ya magharibi yanavyofikiri ni nini cha kuchukua Afrika kwa kodi zao za meza.
Kuna wakati...
WanaJF,
Heri ya Jumatatu! Mara nyingi sana nimesikia, nimesoma mengi juu ya uchafuzi wa image ya aliyekuwa Rais wetu JPM - wengine hujenga hoja dhaifu juu ya Katiba mpya (hawa wanaweza kuwa sahihi lkn tujiulize KIPINDI JPM ANAOMBA URAIS WAPI ALIPOAHIDI KULETA KATIBA MPYA? Aliahidi kushugulikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.