Zitto amepuuzwa sana na watanzania wapinga uonevu na ufisadi.
Ukikumbuka enzi zile anaibua madudu mpaka mzee Karamagi akajiuzulu kwa kusaini mkataba wa Buzwagi akiwa ulaya, sio huyu Zitto wa leo.
Leo hii amesahau kuwa alikuwa sio wa kujumuika na wanaCcm mafisadi na wazurumati? Kwa ajili ya...
List of shame ilivyowekwa wazi pale mwembe Yanga na watanzania kutambua kuwa taifa lao linaibiwa, wapinzani tulipata nguvu. Tukapata heshima ya kuwa wakombozi wa taifa hili dhidi ya mafisadi wanaolitafuna taifa letu.
Sasa rais wa JMT ambaye ni mwenyekiti wa taifa wa CCM amebariki ufisadi wazi...
GENTAMYCINE sijawahi Kukosea ama nikimpenda au nikimchukia Mtu (na hata rekodi zinanibeba) hivyo hata kama Watu wanachukua Fomu za Kugombea Uspika ila kwa Vigezo vyangu vingi na Sababu zangu nyingi namuona Naibu Spika Dk. Tulia Ackson anafaa na ndiyo Chaguo sahihi hasa kwa Bunge la sasa na...
Madini yalikuwa yanatoroshwa hovyo, nchi ya Kenya ndio ilikuwa kitovu cha uuzwaji wa dhahabu na madini mengi toka Tanzania.
Pesa za umma zilikuwa zinaliwa hovyo na kuingia kwenye mifuko ya mafisadi, hayati JPM akasema kila pesa ya umma iingie mfuko wa hazina.
Kwa hakika ni mengi alitufumbua na...
Huo ni "UONGO" wa wazi...
Jenerali Ulimwengu ameshanunuliwa na Mafisadi ili wapate sababu za kuuza umeme wa IPTL na Symbion huku wakihujumu Mradi wa Bwawa la Nyerere!! Sote tunafahamu jinsi Jenerali Ulimwengu alivyokuwa na chuki na Rais wetu kipenzi, Mheshimiwa John Pombe Magufuli, kwahiyo...
January Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei.
Akijibu swali la mdau alieuliza mkanganyiko kati ya...
Mafisadi walianza muda mrefu Sana kuila tanesco record zinaonyesha TANESCO ilianza kuliwa toka mwaka 1994.
Magufuli alipoingia akajaribu kuwaondoa mafisadi wote kuliteka shirika la TANESCO ingawa alikuwa anatumia nguvu ila kiasi alifanikiwa ingawa watu Kama Tundu Lissu walimshauri kwamba...
Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku.
Askari magereza wanalalamika kwamba jana tumefanya...
baada
ccm
dunia
dunia nzima
imeshindwa
itv
kelele
kesi
kesi ya mbowe
kuendelea
maana
mafisadi
mahakama
mambo
mawakili
mbowe
mkapa
mtu
nje
peter kibatala
polisi
shahidi
simu
uhuru wa mahakama
ulinzi mkali
uongo
uwanja
uwanja wa mkapa
vibaya
Mafisadi wanahaha kila kona jinsi ya kujinasua na hii miradi ya matrilioni iliachwa na Magufuli na ambayo inaonwa na wananchi kama kipimo cha utendaji kazi wa serikali ya sasa. Bila kukamilika kwa hiyo miradi wananchi hawataielewa hiyo serikali.
Mafisadi wanajiuliza wauache vipi mradi wa bwawa...
Tamaduni na matendo yetu kama binaadamu ni muunganiko na matokeo ya tabia ndogo ndogo tuzifanyazo kila siku. Hivyo mtu anaye ishi maisha yake kama jambazi, mwizi au fisadi hakuzaliwa hivyo bali alilelewa hivyo. Kwa maneno mengine fisadi au jambazi sugu analelewa na kufundishwa tabia hiyo na watu...
Zipo kila dalili kuwa hali ya uchumi kwenye utawala huu wa Rais Samia unaenda kuwa fyongo! Hali hii itaenda kuyafanya maisha ya wananchi kuwa magumu sana.
Nimeangalia kwa mfano viwango vipya vya tozo za miamala ya kutuma fedha na kutoa fedha kupitia mitandao ya simu, Gharama zake zimeongezeka...
Kwa kauli alizozitoa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza jana kwenye kipindi cha Star TV Big Agenda bila shaka ni kweli kabisa ndani ya CCM kulikuwa na mafisadi ya kutisha na Magufuli aliyabananga vizuri na sasa yameanza kupata nafuu mbele ya rais Samia.
Ikumbukwe baada tu ya kuingia madarakani...
Ukienda maeneo ya Mbegani ambapo ndio eneo linalooendekezwa kujengwa bandari hutawakuta wenyeji tena bali mafisadi waliojimilikisha ardhi walizonunua kwa bei ya chini ili wasubiri fidia.
Huo mradi sitegemei kuwafaidisha wazawa wa bagamoyo bali mafisadi waliokimbilia huko.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.