Kwangu Mimi GENTAMYCINE hawa Wafuatao ndiyo nawaona 'Mawakili' mahiri kabisa wa Kujitegemea nchini Tanzania na hawashindwi ng'o Kesi yoyote ile...
1. Fatma Karume
2. Peter Kibatala
3. Tundu Lissu
4. Jebra Kambole
5. Bernard Morrison ( aliyekuwa Mchezaji wa Sokwe Mbwa Nyani FC na sasa kahamia...
Tuna deal na simu za aina yeyote ile kwa tatizo linalohusu software basi hapa ndo nyumbani unaweza jipatia frmware pamoja na tool yake kwa free kabisa na ukakamilisha kazi yako bila shida kabisa.
Ikiwa unauhitaji wa ku unlock simu na vifaa vingine kama vile modem looter nk huduma inapatikana...
Habarini?
Gari yangu imepata michubuko kwenye upande wa nyuma na kwa pembeni, nahitaji kurudia rangi sehemu hizo tu na rangi iwe inashahabiana kwa walau 80% au zaidi hapa Dar es Salaam, kwa anayefahamu mafundi bora wanaoweza kuifanya hii kazi anisaidie walau contacts au location.
Shukran!
Nataka kupiga nyumba plaster (kwa nje tu) lakini sijui bei gani? Mchanga wa kutosha nyumba nzima hupo na simenti mifuko 12 (yaani 3 kila upande) hipo. Sasa mimi hela yangu ya kuungaunga. Mafundi mtanifanyia bei gani kwa mifuko hiyo 12 ya cement. Mimi Niko Dar
Unakuta kochi limemaliziwa vizuri linang'aa na kitambaa safi cha nguo, turubahi, au ngozi. Utadhani limetengenezewa Ulaya! Utapigwa hela ndefu seti 1.5million mpaka 5m. Sasa lipeleke nyumbani watoto waanze michezo yao! Utasikia mara ndani mbao zinaanza kukatika mara ukikaa unadumbukia kwenye...
Habari,
Kama title inavyojieleza,
Je? Nichangamoto zipi unakutana nazo katika harakati zako za ufundi.
Mimi nakumbuka nilikuwa nafanya kazi shirika moja kabla ya kuacha nilikuwa nalipwa 2k kwa mwezi.
Kwanza naomba niwape pole kwa mapambano ya kila siku kuhakikisha maisha yanaenda.
Mimi ni mwanafunzi wa Degree chuo kimojawapo hapa Dar katika course ya IT.
Katika maisha kila mtu anakuwa na lengo lake kuwa baada ya muda fulani nataka kuwa katika level hii ya maisha.
Personally naomba msaada...
Wanabodi,
Leo asubuhi wakati nawasha gari yangu ya Nissan X Trail ikatoa muungurumo usio wa kawaida yake. Muungurmo wa gari uliotoa ni kama ule wa magari ya mashindano au kama ule unaofanana na Subaru Forester.
Nimeshindwa kuondoka nalo kwenda nalo ofisini imenibidi nilipaki nyumbani. Naomba...
Habari!
Kwa mahitaji ya urembo wa mageti, madirisha, milango, balcon na vitanda usisite kutucheki tukuhudumie.
Pia tunafanya kazi yeyote ya casting.
Karibu bei zetu ni za kishindani na nafuu.
Tupo Mbeya mjini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.