Ndugu zangu habari zenu nyote...
Mimi natafuta garage au mafundi bora kabisa wa bodi kwa ujumla wake kwa maana ya kunyoosha na kupiga rangi upya + engine katika jiji la Mwanza....
Nimepata taabu sana kwenye eneo hili. Kuna wakati nilipelekwa gereji moja na rafiki yangu nmoja. Mafundi wa pale...
Nina Altonator ya gari. Kwenye hii Altonator Kuna haya maandishi. NISANI 23100 70N 12 V.
Sasa, Nikaichukua Altonator Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye bolt na Kisha nikafunga waya kutoka Kwenye body ya Altonator. Kisha ule waya wa bolt nikafunga Kwenye terminal ya chanya ya betri. Then ule wa...
Habari wanajamvi. Tv yangu ni Bruhm ya nchi 32. Kwa siku kadhaa haionyeshi rangi inavotakiwa na picha haitulii.
Naomba msaada wa kujua tatizo ni nini na linatatuliwa, vipuri na ufundi. Natanguliza shukurani
Mafundi wa nyumba nadhani mpo poa ndugu zangu.
Nina swali muhimu kwenu nalo hili:
Kama kujenga msingi wangu natumia tofari za block 1145, je nikitumia mawe nitatumia mawe kiasi gani?
Mafundi umeme wametakiwa kujisajili na kupewa leseni na Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ili kuzuia ajali za moto zinazosababisha vifo na uhalibifu wa mali sanjari na kuepuka vishoka.
Akizungumza na www.mtanzania.co.tz , Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za...
Nikifanya mlinganisho kati ya mafundi feniture wa Mwanza na Morogoro naona kabisa wale wa Mwanza ni zero.
Yaani mtu anatumia mninga sijui, una makovu mara brown imekoza kwingi sehemu nyingine haijakoza sasa anachonga kitanda sijui meza alafu anapiga vanish kisha anauza kitanda kina mabaka...
Zifuatazo ni Aina Kadhaa za Nyumba za kuishi Familia ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako. Zipo ktk uwanja mpana wa STAILI, KIASI CHA KIWANJA, KIASI CHA VIFAA...
Kutazama Ramani Zake za Ndani
+255-657-685-268 WhatsApp
1 ==> vyumba 3, tofali 1700, bati 50
2 ==> vyumba 3...
Screen ya laptop yangu ina tatizo, inatoa mistari ya blue na kijani, mieusi au rangi zingine na kuchezacheza -- mawenge, hii mistari ni vertical au horizontal, cursor inastick muda wote na hata screen yenyewe ina crash.
Nimejaribu kusolve hili tatizo kama la software lakini bila mafanikio. Bila...
Kama unatafuta mafundi wa garden/bustani nzuri na zakuvutia kwaajili ya majumbani,maofisini,shuleni,hotelini n.k tutafute kwa namba za simu 0687239674,0717580898 WhatsApp/calls popote tunafika Tz kwa Sasa tupo Dar es salaam..na Bei zetu ni nafuu.
Asalaam Alaikum.
Ajira Ajira Ajira.
Mafundi Waashi (Masons) waume kwa wake wenye uzoefu wa kazi na wanaoweza kufanya kazi kwa kujituma bila kusimamiwa.Wawe na shauku na uwezo wa kujifunza na hatimae kufundisha ujenzi.
Malipo na marupurupu ni ya viwango vya juu kwa wazoefu wataokidhi vigezo...
Habari wakuu,
Nahitaji kuweka mkeka wa match 5, option 4 , ( home,draw ,draw ya cap na away win,)
Je nitaweka mikeka mingapi? Ili mmoja utoe
Member citizen..,natambua uwezo wako wa hesabu naomba majibu mkuu
Habarini wakuu.
Hivi ni kwanini watu hujenga kwa ramani za kufikirika tu zisizokuwa na mpangilio wa kitaalamu. Yaani umejibana kukusanya milioni zako flani, unamtafuta fundi na kumtajia idadi ya vyumba tu ajenge au unampa mfano wa ramani uliyoipata kwenye mtandao.
Hebu fikiria umetumia milioni...
Wadau heshima yenu.
Kwa ufupi mwakani nataka nianze ujenzi ila bado napata ukakasi kuhusu haya yafuatayo.
1. Nitumie tofali za kuchoma (hapa nimepanga kujengea tope joint zikiwa ndogo saanaaa kwa haraka ukiangalia unaweza sema tofali zimepangwa tu)
2. Nitumie tofali za kupanga ("interlocking...
Kwa mujibu wa maelekezo ya ofsi ya waziri mkuu, mpango huu kwa mafundi kupitia VETA, mafunzo ambayo yanatolewa kwa miezi 3 na kugharamikiwa na serikali, kwa Kila mwanafunzi aliyechaguliwa anapaswa kulipwa elfu 50 Kila mwezi akiwa mafunzoni, lakini khari imekuwa tofauti, wanafunzi hawa...
Habari wadau!
Natafuta mafundi ujenzi wa nyumba n.k,kama
wewe ni fundi ujenzi naomba nitumie SMS kwenye namba hii 0687234549,halafu mimi mwenyewe nitakupigia baadae,Asante!
Hii ni mara ya pili sasa mafundi nguo wananiharibia nguo zangu!
Namwambia vizuri tu kwa lugha inayoeleweka "...punguza urefu na upana." tunakubaliana... nampa pesa yake nasepa.
Leo nimekuja kuchukua nguo zangu kubabake zimemodolewa zote! Hapa nilipo nimechukia kinoma!
Nahisi sinaga bahati na...
Habari wakuu,
Ninatoa huduma ya michoro ya ramani za nyumba. Ramani zipo nyingi za aina na ukubwa tofauti, hivyo nitatoa kulingana na mahitaji ya mteja na kufanya marekebisho kidogo ili kukidhi hitaji husika. Utanipa 'details' zako kamili na maelezo ya kiwanja chako.
Marekebisho ninayofanya ni...
Wana Jf
Serilikali kupitia ajent zake za kitaifa kwa pamoja wanaungana kuikosesha mapata serikali na kuleta mtafaruku mkubwa kati ya mafundi simu na wateja wao.
TBS, TCRA na TRA zilivyoshindwa Nazi zao kila moja nitaelezea makosa yao
TBS wameshindwa kuajiri vijana wenye weledi kutambua vitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.