mafunzo

Mafunzo Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Makala zenye mafunzo na faida kwa jamii

    China imejenga barabara kuu bila kuharibu mashamba na mabwawa ya wakulima, kuhakikisha maendeleo na asili vinaenda sambamba. 🌿🚜 Mfano kamili wa jinsi miundombinu inaweza kukua bila kuharibu mazingira. 🌏 Maendeleo endelevu ni siku zijazo! πŸ’š
  2. Serikali yaendelea kutoa mafunzo kwa Walimu wa Sayansi na Hisabati, kupunguza uhaba wa Wataalam

    Mratibu wa Mafunzo Kituo cha Shule ya Sekondari Bagamoyo, Winchslaus Balige akizungumza katika mafunzo hayo. SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imechukua hatua madhubuti kukabiliana na uhaba wa wataalamu wa sayansi nchini kwa kuanzisha mafunzo endelevu kwa walimu wa...
  3. Taasisi ya uhamasishaji uwazi na uwajibijaki katika rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) yatoa mafunzo matumizi ya takwimu

    Taasisi ya uhamasishaji uwazi na uwajibijaki katika rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) imetoa mafunzo maalum ya kuelimisha wananchi wasioona kuhusu ripoti na matumizi ya takwimu zinazotolewa na taasisi hiyo ili kuweza kuhoji na kufahamu mchango wa rasilimali hizo na fursa...
  4. Wanawake Viongozi wa Simiyu Wapatiwa Mafunzo Kuimarisha Utawala Bora

    πŸ“ WANAWAKE VIONGOZI WA SIMIYU WAPATIWA MAFUNZO KUIMARISHA UTAWALA BORA πŸ“… 19 February 2024 | Simiyu, Bariadi – Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Taifa, Mery Pius Chatanda, ameongoza ufunguzi wa mafunzo maalumu kwa wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji kutoka mkoa wa...
  5. H

    Kwanini wanafunzi kutoka bara wanalazimika kulipia mafunzo kwa vitendo Zanzibar?

    Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je...
  6. L

    Rais Samia ni Mkakamavu na Shupavu Utafikiri Ametoka Kumaliza na kufuzu Mafunzo ya Ukomandoo

    Ndugu zangu Watanzania, Nchi na Maendeleo ya Nchi yoyote ile yanaanza kwanza kujengwa kichwani na ndipo yawekwe katika karatasi na hatimaye utekelezaji. Hata nyumba inajengwa kwanza kichwani kabla ya kuwekwa tofali. Hata dereva anaye endesha gari anapaswa kupita kwanza yeye kiakili na ndipo...
  7. Msaada, mafunzo ya reik,pranic healing dar es salaam.

    Naomba msaada Kwa anaejua au kufahamu sehemu ninayoweza kupata mafunzo haya ya reik,pranic healing Kwa hapa dar es salaam naomba anisaidie.
  8. Rais Samia azindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Toleo La 2023, Dodoma

    https://www.youtube.com/watch?v=gVEY5kDgETg Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda ya maonesho kuhusu masuala mbalimbali ya Elimu kabla ya kuzindua Sera ya Elimu na Mafunzo kwa mwaka 2014, toleo la 2023 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete...
  9. D

    Kesho ndo utekelezaji wa mtaala mpya kwa kidato Cha kwanza unaanza: vitabu havijafika mashuleni, mafunzo kwa walimu yametolewa wakati likizo na Bure..

    Zilipita wiki 2 Hadi 3 ndipo yakatangazwa mafunzo ya walimu kwa ajili ya kuuanza mtaala mpya! Walimu wengi hawakuhudhuria sababu walikuwa likizo (waliyoipata kisheria kabisa kwenye ess). Waliohudhuria, walilazimika kugharamika kidogo kinauli pamoja na muda wao wa kupumzika. Mafunzo yalikuwa...
  10. Mafunzo ya JKT yanaleta uzalendo?

    Inawezekana sijui kwa usahihi tafsiri sahihi ya neno uzalendo. Lakini najua dhima mojawapo ya kuwepo kwa mafunzo ya JKT ni kujenga uzalendo kwa vijana wa Tanzania! Hilo lengo limefikiwa? Mimi naamini Mzalendo hachukui rushwa. Naamini Mzalendo hawezi kuihujumu nchi yake! Lakini mbona kuna watu...
  11. K

    Maria Sarungi anawapa 'mafunzo' gani Makamanda wa CHADEMA huko Nairobi?

    Habari Wanajamvi? Huu uchaguzi wa nafasi za juu CHADEMA, unaibua mambo mbalimbali ya kushangaza na kufurahisha kutoka kwa MACHAWA wa ngome mbili tofauti zilizotangaza nia ya kugombea uongozi ndani ya CHADEMA. Kuna Kamanda wa CHADEMA kule kwenye mtandao wa X anayefahamika kwa jina la Freddie...
  12. MAFUNZO YA UFUGAJI NYUKI KIBIASHARA

    Je, unahitaji kuwekeza kwenye ufugaji wa nyuki na hujui pa kuanzia? Karibu upate mafunzo ya ufugaji nyuki kibiashara.
  13. Tunauza pograms kutoa mafunzo ya quickbooks na tally accounting system

    Karibuni wateja na wahasibu, Tunatoa mafunzo ya Accounting package kama Tally na Quickbooks, Pograms cracks pia tunazo Karibuni sana.. Email: hybridprojectmanagement@gmail.com Whatsapp: 0693300971
  14. G

    Hivi faragha ya kuchakatana na bikra inakuwa ni gwaride kwa kwenda mbele ama ni ziara ya mafunzo?

    Jamani eeh! Mwenzenu ktk pitapita zangu wiki iliyopita nilibahatika kumpata bikra. Sasa leo, siku ya sikukuu ya Krismasi ndiyo fursa ya huyu bikra kuniruhusu nichane bahasha ili niisome barua yake. Bahati mbaya, sijawahi kuletewa barua ikiwa ikiwa kwenye bahasha iliyofungwa kwa gundi. Hivyo...
  15. King Mseke, mtoto wa Joh Makini aanza mafunzo ya Soka kwenye Academy ya Manchester City, Uingereza

    King Mseke (9), mtoto wa msanii wa hip-hop Tanzania Joh Makini, amewasili katika Academy ya Klabu ya Manchester City nchini Uingereza kwa ajili ya mafunzo ya soka ya wiki mbili. Joh Makini amesema mwaliko huo umetokana na juhudi za muda mrefu za kukuza kipaji cha King, kilichoonekana akiwa na...
  16. G

    Mafunzo ya polisi yawe miaka 3 badala ya miezi 6. Ili kuboresha utendaji wa jeshi la polisi.

    Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
  17. J

    JamiiForums yatoa Mafunzo ya namna ya kuwa Salama Mtandaoni na Utoaji Taarifa Sahihi kwa Umma

    JamiiForums imeendesha mafunzo ya siku 2 kwa watumishi na viongozi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (CHRAGG), yakijikita katika Ushirikishwaji wa Umma, Mbinu za Upigaji Picha, Mawasiliano Salama, na Usalama wa Kidigitali. Mafunzo haya yalilenga kuwapa washiriki ujuzi muhimu wa...
  18. K

    Nataka kuacha chuo niwe mwalimu wa mazoezi. Wapi nitapata mafunzo ya kuwa professional physical trainer?

    Wakuu habari Mimi Niko Chuo mwaka wa tatu Sasa. Napenda Sana kufanya mazoezi Sasa nataka kutumia hii passion ya mazoezi kupiga Hela. Swali wapi ntapata chuo AU college AU wapi naweza kufundishwa kwa vitendo kuwa professional physical trainer Ili baada ya hapo niweze kujiajiri hata kuajiliwa...
  19. J

    JamiiForums yashirikiana na DPDC kuendesha Mafunzo ya Uelewa wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Mahakimu Wakazi wa Mikoa 29

    Taasisi ya JamiiForums kwa kushirikiana na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) iliendesha Mafunzo ya Uelewa wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Mhimili wa Mahakama ili kurahisisha mazingira ya Utekelezwaji wake katika Mashauri mbalimbali yanayofika Mahakamani. Mafunzo hayo...
  20. LGE2024 Wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi 1,213 wapewa mafunzo na kula kiapo

    Kuelekea siku ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa, wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi 1,213 wamepewa mafunzo na kuapishwa kwa ajili ya kusimamia uchaguzi huo utakaofanyika siku ya Jumatano ya Novemba 27, 2024. Msimamizi wa Uchaguzi wa Wilaya ya Nachingwea Mhandisi Chionda M. Kawawa amewasihi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…