Mafunzo Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2010.
Karibu katika safari ya kujifunza kutengeneza android app yaani App za simu za Android, Kujifunza Taaluma hii kuna umuhimu wa mtu kuwa na uelewa wa nini anaenda kufanya na kwa nini.
Elimu hii ni moja kati ya elimu ndani ya software development, kwa hiyo kwa kutekeleza mafunzo haya ya...
Na Chedaiwe Msuya, WF, Mtwara
Vikundi vya Huduma ndogo za fedha pamoja na Wafanyabiashara mbalimbali kutoka Manispaa ya Mtwara-Mikindani, wameshiriki katika mafunzo ya utunzaji fedha yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa kushirikiana na Taasisi za Fedha pamoja na Ofisi ya Rais-TAMISEMI...
Mafunzo kwa Askari wa kike ukanda wa Afrika IAWP yamefunguliwa leo Julai 02 katika kituo cha Rasilimali ya Polisi Abuja Nchini Nigeria ambapo mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo askari wa kike ukanda wa Afrika na wasimamizi wa sheria.
Akiongea leo Jijini Abuja Nchini Nigeria katika ufunguzi...
Kuna uwezekano Mama yetu Samia anahujumiwa. Serikali ichunguze wasimamizi wa Mradi wa vijana BBT- Mifugo.
Kuna haya mambo yanayotia kinyaa;
1. Vijana waliahidiwa kukaa mwaka mmoja kambini wakipata mafunzo ya unenepeshaji mifugo. Kinyume, wamekaa mwaka mmoja na nusu kwa mahangaiko yasiyo ya...
Ushirikiano kati ya China na Afrika katika elimu na mafunzo ya ufundi stadi ni muhimu sana na kwa sasa unaonekana kudumisha kasi nzuri, vilevile umeendelea kustawi kwa pande zote. Kupitia ushirikiano huu vijana wengi wa Afrika wananufaika katika masuala ya ufadhili wa masomo na kuja kusoma...
Jamani ukisoma CBG na ukamaliza form six ukataka kujiunga na mafunzo ya jeshi unaweza kukubaliwa au Kuna vigezo muhimu af mafunzo ya jeshi yanachukua muda Gani kuhitimu? Na je ili kujiunga mpk uwe na ufaulu upi form six?
UTANGULIZI
Vigezo vya watahiniwa wa kidato cha nne kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano ama vyuo shirikishi ni ufaulu wa kuanzia daraja I hadi III hivyo ni wazi kuwa idadi kubwa ya watahiniwa waliofanya mtihani wanakosa vigezo vya kujiunga na elimu ya kidato cha tano pamoja na vyuo shirikishi...
Jamani ndugu kwa unyenyekevu mkubwa nilikua naomba msaada kujua ni muda gani hasa wa kuripoti kwenye mafunzo ya upolisi na yatachukua muda gani Hadi kukamilika.
Yeyote mwenye uelewa tafadhali🙏
Mei 16 na 17 2024, JamiiForums iliendesha mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa Mawasiliano wa Mikoa pamoja na Maafisa wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) yakilenga kuwajengea Uwezo katika nyanja mbalimbali ikiwemo Ulinzi wa Taarifa...
Mkufunzi Mstaafu na Mbobezi wa Mitaala.
Siku chache zilizopita niliona andiko katika mitandao ya kijamii lenye kichwa cha habari, “BILA ‘D’ TANO HAUSOMI FAMASIA” na katika andiko hilo kulikuwa na picha ya Mfamasia Mkuu wa Serikali. Nimejaribu kufuatilia kwa ukaribu habari ile nikagundua kuwa...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Samwel Shellukindo, Mei 17, 2024 amefungua Mafunzo ya Mabalozi na Maafisa Waandamizi na Wenza Wao wanaokwenda katika Balozi mbali mbali za Tanzania.
Mafunzo hayo yaliyotolewa na wanadiplomasia wakongwe Balozi...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameutaka uongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na wanachama wake kuyatumia vyema mafunzo wanayopatiwa ambayo yatawajengea uwezo wa utekelezaji wa majukumu yao ili kuleta mabadiliko ya kiutendaji katika Chama cha Mapinduzi...
Waandishi wa Habari wa kike na Watu Wenye Ushawishi wameshiriki warsha ya Siku moja iliyohusu kujengewa Uelewa wa Usalama wao katika masuala ya Mtandao, ilifanyika Mei 7, 2024 ikiandaliwa na Taasisi zisizo za Kiserikali, JamiiForums kwa kushirikiana na CIPESA.
Warsha hiyo ililenga kuangalia...
Habari zenu wakuu.
Tarehe 02/04/2024 kulikuwa na tukio la kuwasha mwenge wa uhuru mkoani kilimanjaro na mgeni rasmi alikuwa ni waziri mkuu Mh. Kassim Majaliwa.
Kama ilivyo kawaida kwa shughuli yeyote ile lazima yawepo maandalizi mazuri ili kuweza kufanikisha kwa ufanisi mkubwa.
Moja ya...
Katika kufungua fursa za kuongeza umahiri katika fani zao, Taasisi ya CRDB Bank Foundation kwa kushirikiana na Sokoine University Graduate Entrepreneurs Cooperative (SUGECO) imesaini mkataba wa miaka mitatu kuwawezesha zaidi ya wahitimu 2,500 wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)...
Tathmini yangu binafsi inaoonyesha mafunzo ya JKT yanawafanya vijana kuona kama wao ni wanajeshi na kwamba ujeshi ni ukatili kitu ambacho siyo kweli.
Katika ulimwengu ulioendelea mwanajeshi ni binadamu mwenye mafunzo na nyenzo za kuisaidia jamii kukabiliana na maadui na siyo kuwafanya jamii...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax, Machi 14, 2024 ameshiriki katika hafla ya kufunga mafunzo ya utayari dhidi ya dharura za kemikali na mionzi, ambapo Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa. Sambamba na Ufungaji...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imehitimisha mafunzo kwa Maafisa waelimishaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU} kutoka katika mkoa na wilaya zote nchini, yaliyofanyika kwa lengo la kujengeana uwezo na kupeana mbinu zaidi za uelimishaji Umma katika...
Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kimehitimisha mafunzo ya ukaguzi wa magari kwa askari wa kikosi cha usalama barabarani nchini ambacho kilihusisha wakuu wa kikosi cha usalama barabarani na wakaguzi wa magari (vehicle inspectors) kote nchini ambacho kilianza februari 19 hadi 20 mwaka huu katika chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.