mafunzo

Mafunzo Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Roboti Wa Nape

    Longido, Arusha: Vijana 70 wakamatwa na chuo chao kufungwa wakifundishwa karate na mafunzo ya siasa kali

    Habari hii imerushwa ITV saa 2 hii usiku. Kamati ya Ulinzi na usalama Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha imekifunga chuo kimoja cha mafunzo ya kiislam kwa kutishia Amani na usalama wa nchi ambapo wamewakuta vijana walioachishwa shule za msingi na sekondari walioenda kufunzwa Imani Kali na...
  2. www19

    Mafunzo ya website kwa bei poa

    Habariii wanajamii, kama kichwa hapo juu kinavyojieleza. Kwa wale mnaohitaji kujifunza Web designing and development karibuni. Kwa wenye Basics kidogo (HTML, CSS, JavaScript, PHP) - course itachukua 4 weeks Kwa ambae hauna kabisa - 8 weeks Karibuni bei ni nafuu na ipo reasonably. Pia baada ya...
  3. Mjanja M1

    Manara apinga Wachambuzi kupewa Mafunzo

    Haji Manara amekuwa Mtanzania wa kwanza kuongea mbele ya umma na kuonyesha kutofurahishwa na suala la Wachambuzi wa michezo kupewa mafunzo na kusomea fani hiyo. Ameandika Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram, "Hivi hii nchi tumerogwa na nani? Yaani tuache kushughulikia Vipaumbele vya...
  4. chiembe

    Kwa nini Makonda anasimamia idara ya mafunzo na utafiti CCM wakati yeye mwenyewe ana tuhuma ya kuwa na vyeti feki?

    Moja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM. Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya vyeti feki ndio atakuwa anatoa mafunzo kwa maprofesa waliojaa CCM, akina Kabudi, na ma-dokta kama...
  5. H

    Ushauri wa OSHA: Kampuni yenye wafanyakazi kufikia 50, waajiri nesi kufundisha na kuangalia mfumo wa huduma ya kwanza

    Niliwahi kuhudhuria mafunzo ya huduma ya kwanza ya osha nikapata wazo kuwa, wanaweza kuboresha zaidi tofauti na hivi sasa. Fikiria mtu ahudhurie mafunzo ya siku nne au tano halafu awe certified kutoa huduma ya kwanza na hapo ujue wengine wanao hudhuria walipata sifuri somo la baiolojia...
  6. Shining Light

    Kuboresha Mazingira kwa Walemavu wa Macho: Jitihada za Miundombinu, Mafunzo, na Elimu

    Inaeleweka kuwa watu wenye ulemavu wa macho wanakabiliana na changamoto nyingi wanapotembea barabarani au kushiriki katika shughuli za kila siku. Baadhi ya mapendekezo kadhaa ambayo yanaweza kusaidia kuboresha hali yao na kuhakikisha wanaweza kushiriki kikamilifu katika jamii: Miundombinu...
  7. Roboti Wa Nape

    Ukweli kuhusu ziara za mafunzo na masomo ya vitendo Israel

    Kumekuwa na upotoshaji kuhusu ziara za mafunzo na vitendo (Internship programs) zinazofanywa na wanafunzi wa fani za Kilimo na ufugaji toka pale SUA na hii ni baada ya vifo vya vijana wetu wawili waliouliwa na HAMAS. Na declare interest kuwa mimi ni mmoja wapo wa member waanzilishi wa SUGECO...
  8. Webabu

    Wanaochukua mafunzo ya siri Israel wanaweza kuwa ndio watu wasiojulikana.Jee ubalozi wa Tanzania Israel haukujua alipo Joshua ?

    Kwa miaka mingi imetangazwa kuwa Israel ni nchi yenye teknolojia za hali ya juu katika masula mbali mbali. Kwa upande mwengine nchi hiyo ina uhasama sana na baadhi ya walimwengu na huwa haioni shida kufanya njama katika vita vyake vya muda mrefu. Hata nchi mbali mbali pia duniani zinazotaka...
  9. Nyafwili

    Lela Mussa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar: Rais Samia anastahili kupewa Uprofesa

    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Lela Mohammed Mussa amesema kwa kazi kubwa ambayo Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa akiifanya tangu ashike hatamu ya Urais, anastahili kupewa Uprofesa. Lela ameongea hayo mbele ya Rais Samia leo December 28,2023 wakati wa Hafla ya...
  10. peno hasegawa

    Waziri wa TAMISEMI Tunaomba usitishe mafunzo haya, huu ni upigaji wa fedha na mafunzo yatolewe online

    Kwa heshima na taadhima ninamuomba Waziri wa Tamisemi asitishe mafunzo haya kwani katana tija na ni upotevu mkubwa wa fedha Za umma. 1. Mafunzo Haya watumishi wanasafiri kipindi cha sikujua Za mwisho wa mwaka 2. Mafunzo Haya tafanyikie kwenye kila mkoa au kila Wilaya 3. Fedha Za mafunzo Haya...
  11. Roving Journalist

    Mwandishi nguli na Mkuu wa Dawati la Uchunguzi JF, Simon Mkina achaguliwa kushiri mafunzo ya kung’amua na kuzuia Utakatishaji Fedha

    Mkuu wa Dawati la Uchunguzi (Investigative Desk) la JamiiForums, Mwandishi Mwandamizi, Simon Mkina amechaguliwa kushiriki mafunzo maalum ya mwaka mmoja ya kung'amua na kuzuia Utakatishaji Fedha Duniani. Mkina anakuwa mshiriki pekee kutoka Afrika (kwa awamu hii) kati ya Waandishi 12 wa Habari za...
  12. Z

    Waziri TAMISEMI fuatilia posho za mafunzo ya maafisa tarafa na watendaji kata mkoa wa Lindi

    Tunaandika haya kwa uchungu, na masononeko baada ya kufanyiwa ukatili wa kutudhulumu stahiki zetu za posho kwa maafisa tarafa na watendaji wa kata. Mh. Waziri Manispaa ya Lindi inaundwa na majimbo mawili ya Lindi mjini na Jimbo la Mchinga ambayo zamani ilikua ipo Halmashauri ya Lindi vijijini...
  13. L

    China yaungana na Afrika katika mapambano dhidi ya UKIMWI kwa kutoa mafunzo kwa wataalamu wa Afrika

    Ikiwa tarehe Mosi Disemba ni siku ya Ukimwi duniani, mbali na kwamba dunia inakumbwa na majanga ya magonjwa mengine lakini janga la Ukimwi bado halijasahauliwa. Nchi mbalimbali zimekuwa na mipango ya kuhakikisha zinatokomeza kabisa ugonjwa huu. Wanasayansi wa sehemu mbalimbali wamekuwa wakikuna...
  14. MsLisa

    Mafunzo ya computer kwa walimu wa hesabu

    Hello, Tunatoa mafunzo ya computer kwa walimu wa hesabu ili kuwezesha kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. Jinsi ya kutumia digital tools kuandaa graphs, diagrams na kupata step by step solution using AI tools. Mawasiliano : 0689917513
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aysharose Mattembe Awanufaisha Wananchi wa Mkoa wa Singida kwa Mafunzo ya Wajasiriamali

    MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE AWANUFAISHA WANANCHI WA MKOA WA SINGIDA KWA MAFUNZO YA WAJASIRIAMALI. SHIRIKA lisilo la kiserikali la Star Entrepreneur General kwa ufadhili wa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe Aysharose Mattembe, limetoa mafunzo kwa wajasiriamali katika wilaya zote za mkoa...
  16. N

    Binti wa jirani yetu aliwahi kuchukuliwa kwenda kusomeshwa kumbe anapelekwa kwenye mafunzo ya Ugaidi Al Shabab Kenya

    Story hii ni ya ukweli takribani miaka 7 sasa imetimia tangu tukio hilo litokee. Kiufupi ilikuwa hivi. Mama mzazi wa Binti ambaye alikua ni mjane kutokana na Hali duni ya maisha baada ya miaka mingi kufiwa na mume wake aliendelea kuishi kwa shida huku akipambana kutafuta chakula na kusomesha...
  17. DeMostAdmired

    Maisha ya miaka mitatu, Mtusi na Mnyaturu mkoani Morogoro

    TRUE STORY Hello members nipo hapa kushare true story inayonihusu mimi na mrembo wangu tuliopendana sana na jinsi tulivoishi kwa miaka mi3 morogoro mjini na mpka tulipoishia. Karibuni. Nitakuwa natumia codes za aina tofauti kulingana na ambacho nitatakiwa kuhide na mm nitatumia jina Camavinga...
  18. K

    Fursa ya Mafunzo ya Upishi kwa Wasichana waliohitimu Elimu ya Msingi na Sekondari

    Fursa ya mafunzo ya upishi kwa Wasichana waliohitimu Elimu ya Msingi na Sekondari
  19. DodomaTZ

    CDEA waendesha mradi wa mafunzo ya muziki kwa vijana Dar

    SHIRIKA la Utamaduni la Maendeleo Afrika Mashariki (CDEA) linaendesha mradi wa mafunzo maalum kwa Vijana wanamuziki wanaochipukia wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwa ufadhili Braid Arts and Culture Fund, ambao watawawezesha Vijana hao kujifunza aina mbalimbali za uandishi wa muziki wa jukwaani, na...
  20. Roving Journalist

    Waziri Mbarawa: Ujio wa ndege mpya, Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kupewa ndege za mafunzo ili Wazalishe Marubani

    Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege ya abiria ya masafa ya kati aina ya B737-9MAX ambayo uundaji wake umekamilika itakayowasiri kesho Oktoba 03, 2023. Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 181 katika madaraja mawili ambapo daraja la kawaida “economyclass” itabeba...
Back
Top Bottom