mafunzo

Mafunzo Football Club is a Tanzanian / Zanzibarian football club.
The team competes in the Zanzibar Premier League.
They competed in the CAF Champions League for the first time in 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    Mhadhiri SAUT adaiwa kuuawa kwa kunyongwa

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza, Hamida Mussa maarufu 'Mama Mwakitosi' (64) anadaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mtandio shingoni na mfanyakazi wa ndani ambaye alitokomea kusikojulikana baada ya tukio hilo. Mwili wa Hamida ulikutwa jana Jumanne Novemba 29, 2022 nyumbani...
  2. KING MIDAS

    Kuna watu hawaandiki serious thread, ila kwenye thread zao kuna mafunzo mengi

    Ninasoma kila thread ili nijifunze, sio ili nibishane. Kuna watu wanaandika kama comedy, ila thread zao zina mafunzo mengi sana. Usichukulie poa thread kwa sababu ya title iliyo beba, soma ndani
  3. KingOligarchy

    Soko la Hisa la Dar es salaam (DSE) Waungana na CFA East Africa kutoa Mafunzo ya CFA

    Wakuu, Kama kawaida kila siku lazima nipitie kwenye mambo yangu ya uwekezaji , ndipo nilipokutana na hili https://thebusinesswatch.com/cfa-east-africa-signs-an-mou-with-dar-stock-exchange/ https://sokodirectory.com/2022/11/dar-es-salaam-stock-exchange-signs-mou-with-cfa-east-africa-society/...
  4. BARD AI

    TCAA imetangaza nafasi 10 za mkopo wa mafunzo ya utengenezaji wa Ndege, angalia hapa jinsi ya kuomba

    Kwa niaba ya Kamati ya Mfuko wa Mafunzo ya TCAA, Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania inakaribisha Watanzania wenye sifa za kuomba mkopo wa mafunzo ya fani ya Uhandisi wa Matengenezo ya Ndege (nafasi 10)
  5. Nyanswe Nsame

    #COVID19 Internews, MPC yatoa elimu ya UVIKO 19 kwa wanahabari

    Waandishi wa Habari mkoani Mwanza wakiwa kwenye mkutano wa tathimini ya chanjo ya UVIKO 19 na Uhuru wa Kupata Taarifa ulioandaliwa na Taasisi ya Internews na kuratibiwa na MPC. Waandishi wamehimizwa kuendelea kuandika habari chanya za kuelimisha wananchi ili kupata chanjo muhimu ikiwemo ya...
  6. MK254

    Wapiganaji 11 wa Urusi wauawa kwenye mafunzo

    Wakiwa kwenye mafunzo ya ulengaji shabaha, kwa ambavyo wamechanganyikiwa walianza kupigana risasi wenyewe kwa wenyewe. ===≈= At least 11 Russian soldiers were killed Saturday in a shooting incident that underlined the challenges posed by Russian President Vladimir Putin's hasty mobilization...
  7. J

    Mwanafunzi wa shule ya sheria aiomba mahakama isimamishe mafunzo

    Mmoja wa wanafunzi walioathirika na matokeo katika Taasisi ya mafunzo ya Sheria kwa Vitendo (LST), Alexander Barunguza ameiomba mahakama iizuie shule hiyo kuendelea na mafunzo kwa muda ili kufanya uchunguzi wa mazingira ya kujifunzia na kuzuia ubadhirifu. Barunguza, ambaye pia amefungua kesi...
  8. Roving Journalist

    Mkuu wa Majeshi afunga mafunzo kwa askari wapya kundi 41/22

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali, Jacob John Mkunda amefunga rasmi mafunzo kwa askari wapya kundi 41/22 yaliyofanyika katika Viwanja vya Kambi ya Jeshi Oljoro-Arusha, katika sherehe hizo zilizofanyika siku ya tarehe 30, Septemba 2022 jumla ya Askari 2457 walihitimu mafunzo yao yalioendesha...
  9. Pfizer

    Shaka: CCM itawajengea uwezo kwa kuwapatia mafunzo ya uongozi, viongozi wapya waliochaguliwa katika ngazi zote kichama

    Asisitiza umuhimu huo ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema Chama kimeona umuhimu wa kuwajengea uwezo viongozi wote wapya ndani ya Chama na kwamba baada ya Kukamilika kwa Uchaguzi unaondelea kote...
  10. CharmingLady

    Nafasi ya Mafunzo ya Biashara

    Bwana Yesu Asifiwe! Habari za wakati Huu Watu Wa Mungu Kwa Jukwaa Hili!! Tumefungua Tawi Jipya Kimara Stop Over, Tunahitaji Vijana Kumi na Tano (15), Wanaoweza Kufanya Kazi Ya Masoko na Mauzo, Waliopo Dar Es Salaam Tu. Awe tayari Kuhudhuria Mafunzo Kwa Siku 30 Ili Kujifunza Kuijua Kazi...
  11. Mung Chris

    NGO changa au vikundi vya maendeleo vichanga mnaalikwa kunufaika na mafunzo bure.

    Wito umetolewa kwa NGO, Vikundi vya mikopo au Vikundi vichanga vya maendeleo ambavyo ndio vimeanzishwa na vile ambavyo vina changamoto ya kupata wafadhili popote vilipo, pigeni sim namba 0711860995 kujiunga na group la NGOs ili kunufaika na Capacity Building za NGO na wafanya kazi wa vikundi...
  12. MSAGA SUMU

    Kajala: Harmonize ameanza mafunzo ya ubatizo. Kuitwa Gregory

    Mwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory. Ndoa njema.
  13. YasinthaPru

    SoC02 Mafunzo ya Mama

    Sikuwahi kufikiria nitawahi kupata upenyo wa kuongea yaliyositirika kwa muda sana ila hatimae nimefikiwa. Nakumbuka mama aliwahi kuniambia "Mwanangu, siku zote tembea duniani ukivaa viatu vya watu." Kauli ile ilinichanganya ila kadri siku zilivyosonga nilielewa kuwa si kila kiatu ninaweza kuvaa...
  14. Stephano Mgendanyi

    Vijana kunufaika na fursa za mafunzo ya uzoefu wa kazi na uanagenzi

    VIJANA KUNUFAIKA NA FURSA ZA MAFUNZO YA UZOEFU WA KAZI NA UANAGENZI. Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi Taifa Cde. Victoria Mwanziva amefika Wizara ya Vijana, Kazi na Ajira na kukutana na Mkurugenzi wa Ajira na ukuzaji ujuzi Ndugu. Ally Msaki; Lengo likiwa ni kuona namna gani vijana...
  15. Akili Unazo!

    Mafunzo ya uendeshaji wa mitambo -heavy equipment machine (dozer, grader, folk lift, crane)

    Short Courses Long course Welding and Fabrication level I and II Auto Electric level I and II Motor Vehicle Mechanics level I and II Truck Mechanics Plant Mechanics Short courses Operation of Motor Grader Operation of Hydraulic Excavator Operation of Roller Operation of...
  16. VUTA-NKUVUTE

    Brigedia Jenerali Mabena, wilayani hakuna matangazo ya mafunzo ya JKT uliyoyatangaza

    Nazungumza nawe Brigedia Jenerali Hassan Mabena, Mkuu wa Tawi la Utawala-Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), juma lililopita ulitangaza kuhusu mafuzo ya kujitolea ya JKT kwa vijana wa kitanzania. Ukawataka watanzania wazalendo wajitokeze na kujiunga na mafunzo hayo. Vijana wenye sifa zitakiwazo...
  17. A

    Fursa kwa vijana 240 walio hitimu mafunzo ya mifugo

    Habari kwa wote. Nimeliona tangazo la wizara toka kwa Mh. Mashimba Ndaki , ni fursa nzuri kwa vijana japo wigo umebanwa kidogo maana wamepewa wahitimu wa mafunzo ya mifugo kwa ngazi ya astashahada,stashahada au shahada kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali. Pia ni fursa kwa raiawaTanzania na...
  18. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini VETA hawatoi mafunzo ya ku-repair battery za magari ili tuokoe mabilioni?

    Kuna mbinu nzuri na rahisi inaweza kutumika, hii itaokoa mabilioni tunayotumia kuagiza battery nje ya nchi, pia itatoa ajira maelfu kwa maelfu. Akina Binslum wanaweza kuzimia kwa pressure baada ya kutizama hii video hapo chini.
  19. Sozo_

    Je Ni Uzi/Riwaya Gani Yenye Mafunzo?

    Tupo wengi humu, uzi upi unaofuatilia humu JF ulio na mafunzo ndani yake na wenye kuburudisha? Au ni riwaya gani unaifuatilia humu ni nzuri na yenye mafunzo na maadili mazuri? Karibu unijuze
  20. Mkemia Fred James

    Fedha haiwezi kununua vitu hivi

    1. Muda. Pesa haiwezi kununua muda uliopoteza. 2. Uzoefu wa kihisia.(Furaha,huzuni,vifijo, nderemo,shangwe,hofu, ukumbusho) 3. Muunganiko wa kweli-Watu wanaokujali au kukukubali pasipo fidia ya chochote. 4. Afya. Unaweza kwenda kwa madaktari bingwa na wazuri lakini juhudi zako binafsi pekee...
Back
Top Bottom