Wakuu,
Sema watu 100 ni wengi jamani tuacheni masihara.
Alafu Trump huyu baba alipunguza budget ya National Weather Service (NWS) na kusababisha watu 600 kufukuzwa kazi. Leo majanga kama haya yanatokea raia wanangaika
============
Takriban watu 134 wamethibitishwa kufariki dunia kufuatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.