Nani wa kulaumiwa? Watu 134 wafariki katika mafuriko ya Texas, Marekani na zaidi ya 100 bado haijulikani walipo

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Sema watu 100 ni wengi jamani tuacheni masihara.

Alafu Trump huyu baba alipunguza budget ya National Weather Service (NWS) na kusababisha watu 600 kufukuzwa kazi. Leo majanga kama haya yanatokea raia wanangaika

============

Takriban watu 134 wamethibitishwa kufariki dunia kufuatia mafuriko makubwa yaliyoikumba Texas Hill Country mnamo Julai 4, siku ya sherehe za Uhuru wa Marekani.

Zaidi ya watu 100 bado hawajulikani walipo huku juhudi za uokoaji zikiendelea, ingawa mvua kubwa ililazimisha kusitishwa kwa muda operesheni hizo mwishoni mwa wiki.

Mafuriko hayo yalitokana na mvua kubwa zilizosababishwa na athari za Kimbunga Barry, na kuifanya Mto Guadalupe kupanda kwa futi 26 ndani ya dakika 45. Eneo lililoathirika zaidi ni kaunti ya Kerr, kilomita 145 kutoka San Antonio, ambako watoto 27 na walimu wa Camp Mystic walipoteza maisha.

Mamlaka bado haijajua idadi kamili ya waliokuwepo wala waliopotea.

Maafisa wa kaunti ya Kerr wameripoti kupokea vitisho vya kuuawa kutoka kwa wananchi wanaolaumu serikali kwa kushindwa kutoa tahadhari mapema. Mamlaka ya usalama ya Texas (DPS) inashughulikia vitisho hivyo.

==========
floods.png
At least 134 people have now been confirmed to have died during the Texas Hill Country flooding on 4 July, according to an ABC News report.

Crews are continuing to search for the 101 people still missing.

Heavy rains forced searchers to pause their efforts over the weekend, and the National Weather Service on Tuesday again issued a flash flood watch in the area.

The agency reported that the area could see rainfall of 1-2in with isolated amounts up to 4in possible.

“When alerted to a flash flood, immediately get to higher ground, and NEVER enter flood waters in a vehicle or by foot,” the weather service stated.

The disaster occurred when heavy rainfall in central Texas, spurred in part by remnants of Tropical Storm Barry, caused the Guadalupe River to rise 26ft (8 meters) in 45 minutes. Most of the deaths occurred in Kerr county, which is located about 90 miles (145km) north-west of San Antonio and includes Camp Mystic, where 27 children and counselors died.

Many people were also visiting the area for aFourth of July concert and fireworks.
floods.png

Source: The Guardian
 
Takwimu kama hizi ni za vita au janga la taifa, si tukio la kawaida. Na mara nyingi viongozi wanaposhindwa kuzuia, kutoa tahadhari au kushughulikia ipasavyo, hasira za wananchi huwa ni halali
 
Wakuu,

Sema watu 100 ni wengi jamani tuacheni masihara.

Alafu huyu Trump huyu baba alipunguza budget ya National Weather Service (NWS) na kusababisha watu 600 kufukuzwa kazi. Leo majanga kama haya kutokea raia kuhangaika

============

Takriban watu 134 wamethibitishwa kufariki dunia kufuatia mafuriko makubwa yaliyoikumba Texas Hill Country mnamo Julai 4, siku ya sherehe za Uhuru wa Marekani.

Zaidi ya watu 100 bado hawajulikani walipo huku juhudi za uokoaji zikiendelea, ingawa mvua kubwa ililazimisha kusitishwa kwa muda operesheni hizo mwishoni mwa wiki.

Mafuriko hayo yalitokana na mvua kubwa zilizosababishwa na athari za Kimbunga Barry, na kuifanya Mto Guadalupe kupanda kwa futi 26 ndani ya dakika 45. Eneo lililoathirika zaidi ni kaunti ya Kerr, kilomita 145 kutoka San Antonio, ambako watoto 27 na walimu wa Camp Mystic walipoteza maisha.

Mamlaka bado haijajua idadi kamili ya waliokuwepo wala waliopotea.

Maafisa wa kaunti ya Kerr wameripoti kupokea vitisho vya kuuawa kutoka kwa wananchi wanaolaumu serikali kwa kushindwa kutoa tahadhari mapema. Mamlaka ya usalama ya Texas (DPS) inashughulikia vitisho hivyo.

==========
At least 134 people have now been confirmed to have died during the Texas Hill Country flooding on 4 July, according to an ABC News report.

Crews are continuing to search for the 101 people still missing.

Heavy rains forced searchers to pause their efforts over the weekend, and the National Weather Service on Tuesday again issued a flash flood watch in the area.

The agency reported that the area could see rainfall of 1-2in with isolated amounts up to 4in possible.

“When alerted to a flash flood, immediately get to higher ground, and NEVER enter flood waters in a vehicle or by foot,” the weather service stated.

The disaster occurred when heavy rainfall in central Texas, spurred in part by remnants of Tropical Storm Barry, caused the Guadalupe River to rise 26ft (8 meters) in 45 minutes. Most of the deaths occurred in Kerr county, which is located about 90 miles (145km) north-west of San Antonio and includes Camp Mystic, where 27 children and counselors died.

Many people were also visiting the area for aFourth of July concert and fireworks.

Source: The Guardian
na simpson kashatabiri...there's so much to come,R.I.P USA
 
Elon Musk ni kama alikuwa ana mpango mahususi wa kuingamiza US, inaonekana timu ya Trump walmshtukia....
Yaani alikufukuza 3/4 ya wafanyakazi wa hii idaraya hali ya hewa wanaofatilia majanga ya asili, haya ndio matokeo yake, haya maafa yangeepukika kuokoa maisha kwa kutolewe taarifa mapema kama idara ingukuwa macho na wafanyakazi wa kutosha
Na pia alifukuza wataalamu wa magonjwa ya mlipuko, ikatokea bird fl...
Alifukuza pia wataalamu wa idara nyeti ya mionzi ya nyuklia...
Alitaka kufukuza CIA na FBI wakamshtukia huyu ni kimeo....
Haikupita muda kamuashia moto Trump......jana wametoa barua ya Trump kwenda kwa yule muuuza malaya ambae Musk alisema Trump alihusika.....
 
Wakuu,

Sema watu 100 ni wengi jamani tuacheni masihara.

Alafu Trump huyu baba alipunguza budget ya National Weather Service (NWS) na kusababisha watu 600 kufukuzwa kazi. Leo majanga kama haya yanatokea raia wanangaika

============

Takriban watu 134 wamethibitishwa kufariki dunia kufuatia mafuriko makubwa yaliyoikumba Texas Hill Country mnamo Julai 4, siku ya sherehe za Uhuru wa Marekani.

Zaidi ya watu 100 bado hawajulikani walipo huku juhudi za uokoaji zikiendelea, ingawa mvua kubwa ililazimisha kusitishwa kwa muda operesheni hizo mwishoni mwa wiki.

Mafuriko hayo yalitokana na mvua kubwa zilizosababishwa na athari za Kimbunga Barry, na kuifanya Mto Guadalupe kupanda kwa futi 26 ndani ya dakika 45. Eneo lililoathirika zaidi ni kaunti ya Kerr, kilomita 145 kutoka San Antonio, ambako watoto 27 na walimu wa Camp Mystic walipoteza maisha.

Mamlaka bado haijajua idadi kamili ya waliokuwepo wala waliopotea.

Maafisa wa kaunti ya Kerr wameripoti kupokea vitisho vya kuuawa kutoka kwa wananchi wanaolaumu serikali kwa kushindwa kutoa tahadhari mapema. Mamlaka ya usalama ya Texas (DPS) inashughulikia vitisho hivyo.

==========
At least 134 people have now been confirmed to have died during the Texas Hill Country flooding on 4 July, according to an ABC News report.

Crews are continuing to search for the 101 people still missing.

Heavy rains forced searchers to pause their efforts over the weekend, and the National Weather Service on Tuesday again issued a flash flood watch in the area.

The agency reported that the area could see rainfall of 1-2in with isolated amounts up to 4in possible.

“When alerted to a flash flood, immediately get to higher ground, and NEVER enter flood waters in a vehicle or by foot,” the weather service stated.

The disaster occurred when heavy rainfall in central Texas, spurred in part by remnants of Tropical Storm Barry, caused the Guadalupe River to rise 26ft (8 meters) in 45 minutes. Most of the deaths occurred in Kerr county, which is located about 90 miles (145km) north-west of San Antonio and includes Camp Mystic, where 27 children and counselors died.

Many people were also visiting the area for aFourth of July concert and fireworks.View attachment 3409997​

Source: The Guardian
Trump yuko busy na israel utafikiiri ndio rais wa israel
 
Pasina shaka alaumiwe Trump mwanakumanyoko mleta majanga na hapo ni trela tu picha kamili halijaanza kumbuka Corona.
 
Back
Top Bottom