Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol
Gas fuel ina gharama nafuu kwa kulinganisha petrol na diesel, kwa kutumia gas fuel system unaweza kupunguza gharam za manunuzi ya...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange amesema katika mwaka wa fedha wa 2022/2023, Serikali imetenga shilingi Bilioni 35.1 kwa ajili ya ununuzi wa magari 316 ya kubeba wagonjwa katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini.
Dkt. Dugange amesema...
Wakati tukijadili namna kamati ya viwanda toka wizarani ilivyomnanga Masoud Kipanya na vigari vyake, tuangalie namna Ghana inavyotengeneza magari kama Japan kwa sasa....
Mwanzoni nlijua ni TPDC peke yake kumbe shida na EWURA ni Shida.
Wanakwamisha vibali vya kufunga vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye magari.
Kwa sasa Tanzania nzima vituo vilikuwa viwili tu vya kujazia gesi yaani Ubungo na Tazara sasa kituo cha Tazara kikapata hitilafu wakaambiwa warekebishe...
Habari,
-> nipo dar (kibamba)
Napenda vyombo vya moto kijumla sana, nina ujuzi wa mechanical engineering diploma. Pia nina ujuzi mambo ya marketing (masoko) - online & offline
Biashara ya magari ya kununua, kupata mteja, connection za madalali, ninauzoefu... Kwa anayehtaji mtu serious wa...
Wakuu, Amani iwe nanyi nyote!
Kama mada inavyojieleza, nimejikusanya kidogo nikaona ni wasaa mzuri wa kupata chombo cha usafiri ili kurahisisha mizunguko yangu ya kila siku.
Katika pitapita zangu mtandaoni miongoni mwa makampuni ya uuzaji wa magari niliyokutana nayo ni kampuni ya GloAuc. Kwa...
Morogoro ni moja ya mikoa ambayo ina miradi mbalimbali ya barabara ya kitaifa lakini kwa sasa ipo miwili ambayo imekuwa ikiangaliwa kwa ukaribu na Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS).
Akifafanua kuhusu miradi hiyo, Alinanuswe Lazeck Kyamba, Meneja wa Mkoa, TANROADS Morogoro kwa...
Siku chache baada ya kutokea ajali iliyoua watu 13 mkoani Ruvuma, Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani, Mossi Ndozero amefanya msako ili kubaini malori yanayopakia abiria na mizigo kwa ajili ya kuwasafirisha kwenda minadani.
Ndozero amepiga marufuku usafiri huo kupakia abiria huku akishusha...
Huku raia sisi tukiendela kuimba ngonjera za kusikitika kwenye mitandao ya kijamiii, hawa watawala wao wanazidi kufanya yale wanauo penda, hakuna kitakacho badilika, hata katiba mpya haitabadili huu uhuni wa watawala, hawa viongozi kuanzia top hadi chini wanajuana hawa ni wana syndicate ya...
Wakuu Salam,
Hata kama nchi haina vipaumbele, hata umasikini wa watu wetu hatuuoni?
Katikati ya kutupa magari tunanunua megine...?
Kairuki kaomba mengine ya bil 16, magar 81.
Tizama video ya magari yaliyotupwa👇
======
Waziri wa TAMISEMi, Angellah Jasmine Kairuki amewasilisha Bungeni...
Kuna utaratibu wa hovyo sana na uchezeaji wa kodi za Wananchi unafanyika mitaani kwenye magari ya Serikali. Mengi yametelekezwa ama kufichwa maeneo ambayo hayaeleweki mwengine yameondolewa namba.
Mbali na hilo kuna magari mengi ya Serikali yanapaki maeneo ambayo sio salama kabisa. Serikali...
Mganga Mkuu Mkoa wa Dar es Salaam, Rashid Mfaume amesema mkoa huo unakabiliwa na uhaba wa magari 24 ya kubebea wagonjwa. Dkt. Mfaume amebainisha kuwa mahitaji ya mkoa huo kwa sasa ni jumla ya gari 36 ambapo kwa sasa magari ambayo yapo na yanafanya kazi ni 12.
Ameeleza hayo alipozungumza na...
Hivi karibuni jeshi la Afghanistan chini ya Taliban ilionesha mamia kadhaa ya magari ya kijeshi ambayo wamesema yaliachwa na jeshi la Marekani katika haraka ya kukimbia hapo mwaka 2021.
Kwa upande mwengine ikulu ya White house imemtupia lawama za aibu hiyo raisi Trump ambaye muda huo...
Bila salamu,
Haya makampuni ya usafirishaji kila siku barabarani wanaleta chuma mpya, mfano unakuta mtu alianza na fuso moja anatoa ndizi Moshi anashusha Dar baada ya miezi sita analeta chuma nyingine.
Mtu alikuwa anagari mbili route ya Iringa to Dar baada ya mwaka ana gari sita. Bado sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.