magari

  1. benzemah

    Maofisa Elimu Wakabidhiwa Magari 51

    Serikali imekabidhi magari 51 kwa maofisa elimu wa sekondari wa halmashauri, kuongeza ufanisi, usimamizi na ufuatiliaji wa slimu nchini. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi magari hayo jana, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki alisema...
  2. micky judah

    INAUZWA Nauza spear used za magari ya Europe

    Kwa mahitaji ya spear used za magari ya Europe iwe Audi, BMW, BENZ,Vw, Ranger rovers Iwe fundi & tajiri kwa mahitaji yeyote ya spear parts used na bora wasiliana nasi 0613010190
  3. N

    Rais Samia ushauri wangu kwenye kodi ya magari

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Mwigulu Nchemba, Naomba kutoa ushauri wangu kwenye ushuru wa magari. Nimeona ushuru wa magari unazidi kuongezeka, Mhe Rais/Waziri wa fedha dunia inabadilika kwa haraka sana, Magari ya kutumia umeme EV yanakuja kwa haraka sana na ni jambo lisilozuilika kwa...
  4. S

    Ujio wa DP world: Magari sasa kushuka bei na kuwa sawa na bajaji

    Ilikuwa inashangaza sana kuona mnyonge anajikusuru kuagiza gari toka nje, ambapo unakuta bei ya manunuzi ni milioni 4, 5 ama 6. LAKINI likifika badarini linatozwa Kodi na ushuru wa ajabu na kujikuta unalikomboa kwa kutoa milioni 20. Sasa haya yote mwarabu anakuja kuyamaliza, Kodi na ushuru...
  5. Mjuzi Wenu

    Wakaguzi wa magari kabla ya ununuzi

    Pre purchesing Car Inspection ni moja ya kitu muhimu sana katika ununuzi wa gari kwakuwa itakufanya ujue tatizo lolote la gari kabla ya kujilidhisha na kulinunua. Hivyo OKEMI technical services tumekuja na huduma hii baada ya kuona baadhi ya wateja wetu kuuziwa magari yenye matatizo ambayo...
  6. D

    Uzi maalum kwa wenye magari mabovu tu: Tupeane uzoefu na motisha na namna ya kuishi nayo

    Habari! ndugu zangu wenye magari mabovu tupeane faraja, ushauri na motisha wa namna ya kuishi nayo ingawa yanatupasua vichwa! Uzii huu ni rasmi kwetu wenye magari yaliyo na changamoto! Nyie wenye magari mapya kaeni pembeni mle popcorn kidogo! Hapo namaanisha wale ambao magari yetu tunayajuya...
  7. Kommando muuza madafu

    Tuwataje Madereva wa Mabasi wanaobet kwa kuendesha magari ovyo ili wawahi kufika Stendi wapewe 100,000

    Na declare interest mimi ni mdau wa usafirishaji Tanzania. Lengo la kuanzisha huu uzi sio kuharibu biashara au maisha/ajira za watu ila ni kuokoa maisha ya watanzania wanaokufa kila siku kama panzi kwa uzembe na ujinga wa hawa madereva. Mimi ni mkazi wa Mkoa wa Mbeya na huwa nafanya kazi za...
  8. ChampN199

    Naomba ushauri, nataka kuanzisha biashara ya vipuri vya magari na pikipiki. Nini faida na hasara zake?

    Habari Wana forum, Kwa muda mrefu nimekuwa thoughts na desire ya kuanzisha biashara ya vipuri vya magari na pikipiki ila changamoto yangu ni bado sijakudanya data zenye uwakika zaidi, hivo naleta kwenu msaada juu ya kiwango cha mtaji , location, faida na hasara katika biashara hii ya vipuri...
  9. DIKASHWA

    Naomba kueleweshwa kwa wataalamu wa kodi za kuingiza magari nchini

    Wataalamu wa kodi za magari naomba nieleweshwe kidogo juu ya hotuba ya Jana ya mawasilisho ya budget ya serikali kwa mwaka 2023 /2024. Moja wapo ya kipengele ni magari yanayotumia umeme na gesi kusamehewa kodi Pili kuna hii ya magari yenye kuanzia 1000 cc hadi 2000cc kutozwa ushuru wa 5% na...
  10. Gotze Giyani

    Serikali kuanza kutoza ushuru wa bidhaa wa 5% kwenye magari yenye uwezo wa injini kati ya 1,000CC-2,000CC

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaanza kutoza ushuru wa bidhaa kwa kiwango cha asilimia tano kwenye magari yenye uwezo wa injini (Engine Capacity) wa kati ya 1,000 CC hadi 2,000CC. “Ushuru huo utatozwa ili kuwianisha na magari mengine yenye ukubwa unaofanana...
  11. Suley2019

    Dkt. Mwigulu: Tusamehe ushuru wa magari ya umeme na Gesi

    Ili kuiwezesha Nchi kuwa na Sera za Kodi zinazotabirika na kuweka mazingira bora ya uwekezaji, Serikali imependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru Kwa kuanzisha utaratibu wa kurekebisha viwango vya Ushuru wa Bidhaa kila baada ya miaka mitatu (3) Kuanzia mwaka wa fedha 2023/24...
  12. Roving Journalist

    Malalamiko ya magari ya Mwendokasi kwenda kwa kasi Kariakoo bila kujali kuna idadi kubwa ya watu

    Mdau wa Jamii Forums ameandika malalamiko yake kuhusu mabasi yaendayo haraka Jijini Dar es Salaam Magari ya Mwendokasi yanapita kwa kasi kubwa sana hapa Kariakoo, na nature ya Kariakoo ni watu wengi ndani ya huu mwezi magari hayo yameua zaidi ya watu wanne hapa kwenye Barabara inayotumiwa na...
  13. BARD AI

    Dkt. Mwigulu: Magari 'Used' 31,970 yaliingia nchini mwaka 2022

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi mwaka 2022 magari 12,012 yaliyotumika (used) hayakuruhusiwa kuingia nchini kutokana na kutokidhi viwango. Mwigulu amesema Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lilikagua magari 43,982 yaliyotumika ikilinganishwa na magari 35,606...
  14. P

    Kwanini kodi ya magari mapya ni kubwa kuliko kodi ya magari ya miaka ya zamani? 2)

    Habari wana JF, Mimi naomba kuuliza: 1). Hivi ni kwanini kodi ya magari mapya ni kubwa kuliko kodi ya magari ya miaka ya zamani? 2). Inakuaje kodi ikawa kubwa kuliko bei ya kununua+kusafirisha hadi linafika bandarini Dar es Salaam?
  15. Myahudi Jr II

    TRA muda umepita wa kutoa "LIFETIME" "plate number" za magari, zilipiwe kila mwaka mtaondoa plate number fake nyingi

    Tukiwa katika majonzi ya kuuzwa kwa bandari na mimi naongeza majonzi TRA wakati umefika sasa tuache kutoka "plate number" za magari "lifetime period" tutoe plate number kwa Mwaka mtu anarenew baada ya mwaka kwa kulipia kiwango fulani cha pesa Faida; Mtapunguza sana wizi wa magari kwasababu...
  16. M

    Vioo vipya vya magari napata duka gani?

    Habari zenu. Kama ambavyo nimeandika juu naulizia jwa Dar duka gani wanauza vioo vipya sio used vya magari mfani mi nikitaka badilisha vioo vya gari yangu Nissan tilda ya 2010 vioo vinaweza patikana? Vioo vipya
  17. M

    Kwa Tanzania ni kampuni gani wanaunda seat za magari?

    Habari zenu. Kama ambavyo nimeandika hapo juu naulizia nani anafahamu kampuni wanaotengeneza seat za magari, sio seat covers, ni seat zenyewe.
  18. R

    Mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi ndio suluhu kwa madereva kuchepuka?

    Kumekuwa na huu mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi kwenye barabara ya bagamoyo ili wale wanaochepuka warudi kuunga na foleni kama wengine. Ni kwamba wamekosa njia kabisa ya kupunguza foleni asubuhi mpaka kuamua kuziba service road? Halafu cha kuchekesha ni...
  19. Stephano Mgendanyi

    Igunga Kufungwa Taa za Kuongoza Magari Barabarani

    IGUNGA KUFUNGWA TAA ZA KUONGOZA MAGARI BARABARANI Clip/Video Majibu ya Serikali kuhusu kufungwa Taa za kuongoza Magari dhidi ya Watembea kwa Miguu na Vyombo vingine vya moto kwenye Mji wa Igunga baada ya swali la Msingi la Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa. Serikali...
  20. Ghost MVP

    Je, njia za treni zinanasa magari kwa sumaku?

    Watu wengi wamekuwa wakihoji swala Magari kunasa katika njia ya Treni, na Madereva Kuyatelekeza Magari yao na kukimbia. Sumaku ya Treni Haiwezi kusababisha gari kukwama Katika Njia ya treni, Kwasababu hakuna Nguvu ya Sumaku inayoweza Zima, Nasa gari isipokuwa SumakuUmeme(Electromagnetic) ya...
Back
Top Bottom