Jana nilipiga Maeneo ya Lusahunga, Nyakahura na Nyakanazi kwenye kutafuta mkate wa Kila SIKU.
Kwa bahati mbaya sana nimekutana na "Ujinga" wa Karne wa CCM kutumia Magari yalitoyotelewa Kwa msaada Kwa miradi mahususi (DFPA) kwenye mkutano wao.
This is unacceptable na ujinga wa hali ya juu...
Magari ya zimamoto kwa maisha ya mtanzania ni muhimu kuliko dege ambalo raia wa kawaida hawawezi kumudu hata tikiti ya laki tatu na ushee.
Hii midege ina return gani ya kiuchumi kwq wananchi wa kawaida?
Kwa nini kusinunuliwe gari za kisasa za zimamoto? Au ikibidi Helkopta ya kisasa ya kuzimia...
Kuna kampuni za kupeleka wafanyakazi kazini kwenye migodi Geita; kila zikipita mjini linatajwa jina la mwanasiasa kijana hapa NCHINI.
Magari hayo ya rangi ya blue yapo zaidi ya mia mbili na kiongozi husika anayetajwa hana historia ya biashara; je kama ni ya kwake amekopeshwa au amenunua cash...
Kuna mtindo wa kitoto, kijinga, kishamba na ulimbukeni unaokuwa kwa kasi miongoni mwa vijana wa sasa kujivunia kukimbiza magari ovyo ovyo mitaani, yaani kuanzisha ligi na mtu yoyote wanayemkuta barabarani hususani safarini maeneo ya high way, akiwa anaendesha gari yake, basi ghafla hupambana...
Hapa Songea kumezuka mtindo wa vibaka kuiba Betri za Gari hasa usiku ukiwa umeegesha nyumbani,
JE, KUNA UWEZEKANO WA KUFUNGA TRACKING DEVICE KWNY BETRII ILI KUSAIDIA KUKAMATA WEZI?
Urusi inatia huruma kwa kweli, yaani ilianzisha huu ubabe halafu leo inataka ihurumiwe kwenye baadhi ya maamuzi, leo inalalamika kuhusu zuio la magari yenye usajiri wa namba za Urusi kutokuruhusiwa kuingia bara Uropa, inasema wananchi wake raia wa kawaida watateseka, eti ionewe huruma kwenye...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni fundi wa magari nina uzoefu wa takribani miaka nane sasa natafuta sehemu ya kufanyia kazi nipo dar es Salaam. Au kama kuna mtu atakua tayari kufungua ofisi kwaajili ya tire service na baadhi ya spare za magari nipo hapa.
MASIKINI ATABAKI KUWA MASIKINI na tajiri atatajirika zaidi aliimba msanii Jaguar toka Kenya. Msemo huu unaonekana kukita mzizi nchini Tanzania.
Tanzania inatumia bilioni 558 kwa mwaka kununua magari ya viongozi! Hatujapigia mahesabu gharama za vipuri,matengenezo na mafuta ya bure wanayopewa...
Watu kwa sasa wameshafunguka macho. China imekuwa electronic hub ya dunia yetu. Nchi za kiarabu zenyewe zinakuwa ni hub ya mafuta hapa duniani. Kwa kuwa mabadiliko yanaendelea china kwa sasa ndiyo inayotuongoza kwenye mabadiliko ya kiteknolojia.
Leo nitaongelea magari ya umeme (EV). Nitaongelea...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ameelekeza utaratibu wa kubadili mifumo ya magari kutumia gesi asilia uanze na magari ya serikali na kuwa vituo zaidi vijengwe ili kupunguza matumizi ya mafuta.
Polisi Wilayani Chunya wamezuia magari yote toka Chunya Makongolosi na yote toka vijijini KUSUBIRI MWENGE upite toka saa10 mpaka saa 5 hii.
Mwenge haujulikani uko wapi na utapita saa ngapi. Shughuli zote zimesimama KUSUBIRI upite. Sasa tutalaumuje kwamba maendeleo hayaji Wakati watu...
Taa za mbele(bim na full)zote haziwaki, lakini pass light zinawaka, indicator zote zinawaka,na hazard zinawaka, gari ni RUNX 2005,INZ,nimefanya yafuatayo
1. Pale kwenye fuse box ya engine slots za taa za mbele ziko empty,hazina fuse(HEAD RH,HEAD LH),ila fuse zingine zote nzima.
2. Relay ya...
Kumekuwa na Trends siku hizi Madereva hasa hawa wa Daladala wakifika sehemu kuna taa au Foleni huwa wanashuka na kujizugisha zugisha au kulizunguka Gari akisubiri foleni itembee.
Hichi Kitendo ni kibaya na kinahatarisha usalama wa Abiria, Ikitokea Gari inakuja imefeli breki au kukosa uelekeo...
Kulingana na hali ya bei za mafuta kuendelea kupanda siku hadi siku, naiona fursa kubwa kwa soko la magari yanayotumia nishati mbadala kama vile umeme nk.
Mimi binafsi ntakua mteja wa kwanza kwanza kabisa pindi magari hayo yakianza kupatikana maana nimeshachoka na hizi bei pasua kichwa za...
Wasalaam JF,
Kuna hii kasumba ya Kiafrika na kitanzania watu wanaogopa kununua magari mazuri kisa tu et bei ya spares, spare availability, na ulaji wa mafuta. Ujinga mtupu , wakati matumizi yenu ya kuruka vianja bar na kufanya ngono kwenye guest/lodges ni makubwa kuliko hofu zenu za kijima...
Ni takribani mwezi mmoja tangu itokee ajali ya lori la mafuta Ubungo Kibo, Dar es Salaam iliyobabisha taharuki kwa wakazi wa eneo hilo sambamba na hasara kwa wafanyabiashara.
Ajali hiyo iliyotokea Agosti 6, 2023, iliharibu pia miundombinu ya barabara kiasi cha kuvunja taa za kuongozea magari...
Naomba kujua huchukua wastani wa muda gani plate number moja mfano kwa magari yaliyooanza na namba "D" kujaa kabla ya kuingia namba "E" iliyoko sasa?
Kuna mdau alinunua gari mwaka 2015 (kwa maelezo yake) na gari yake ni namba "D" kitu ambacho kidogo kimenishangaza kuona namba hiyo ipo tangu...
Ni sehemu flani ipo Iringa umbali mfupi kabla ya njia ya barabara ile inayopanda kwenda mjini,
wenye magari binafsi hasa waliotokea Dar, Moro, Dodoma wakifika hio sehem husimama kwenda kununua mikate.
Hata kuna kipindi mwaka huu nilipita hapo walihamia kwa mbele kidogo, moja wetu hakutaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.