1. Anasema yeye ndo anaibeba Kinondoni lakini Kinondoni yenyewe imeanza kumjua baada ya kuanza kuuza sura instagram. ( He doesn't look familiar)
2. Anajiita mzaramo halafu anaitwa " Dotto" since when Mzaramo akaitwa Dotto. Mama angu ni mzaramo wa Malui (Kisarawe rural: Ukiwa Msanga sokoni...
Wakuu,
Hizi ni taa zipo Kinondoni Biafra, Dar. Moja imejishikilia vizuri wakati nyingine inakaribia kuanguka. Naamini kufanyiwa maboresho sasa ni bora na itakuwa gharama nafuu kuliko kusubiri ianguke iharibike zaidi.
Kodi zetu ndio zinawezesha ukarabati huo kufanyika na kama ikiachwa ikaanguka...
Mko poa
Nisiwachoshe Ipo hivi juzi hapa jumuiya ilikuwa kwangu tulisali vizuri tu sasa baada ya kumaliza ambaye anachukua msalaba ni mtu wa iabu huyu dada tumuite Bupe.
Aliniomba nimpelekee msalaba jioni kwao ana kaa na wazazi wake kwao wako na mapesa nje yapo magar 5 kuna nissani duals 2...
Nina malalamiko kuhusu magari ya Mwendokasi, nina mambo mawili, la kwanza ni kuhusu kutotajwa kwa majina ya vituo, tabia hii ilianza mdogomdogo na hatimaye imekuwa kawaida.
Ni kama vile wanaamini kila anayepanda Mwendokasi basi anajua vituo na anaijua Dar vizuri.
Katika vituo vya hatikati ya...
Na nyie ndiyo mnaongoza kuja na gari zenu Mitaani kutuibia Wake na Mademu zetu huku mkitamba na Kutucheka tusio na Magari.
Yaani EWURA wamepandisha Tsh 400/ tu kwa kila Lita ya Mafuta mnaanza Kulia lia. Hovyo kabisa hivi mwenye Hela huwa analia lia?
Akina GENTAMYCINE tunaopanda Dala Dala Kutwa...
Kwa wale waliobahatika kuwa na usafiri kama umebandika tinted kwenye taa za mbele na nyuma kuna msako wakukamata unafanywa na polisi
---
Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani limesema litaendelea kuwakamata madereva wa magari wanaoweka ‘tinted’ kwenye taa za mbele na nyuma...
Mtu mmoja Mwajuma Mohamed mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Veta Jijini Mbeya amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo Julai 31 baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nissan Dualis kuteketea kwa moto katika eneo la Kabwe kata ya Iyela Jijini Mbeya
Afisa habari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji...
Wakuu poleni na majukumu, leo niliingia mtandaoni kidogo kucheki magari ambapo nimepitia kampuni mbalimbali za uuzaji magari lakini katika kampuni zote kuna kampuni moja "Autocom Japan" naona bei zao ziko cheap sana hadi nikashangaa labda magari yao yana shida maana variation na kampuni...
Huko kwa majirani zetu Kenya bhana wamepinda sana, kuna video inasambaa ikimuonesha bodaboda akiwa amepaki pikipiki yake pembeni ya barabara, na umaridadi kabisa akaingia barabarani na kuanza kuongoza magari kutoka barabara ya lami na kuelekea njia ya vumbi ambayo haijulikani inaenda wapi...
Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidogo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya masaa 48 ya kazi Tunapatikana Dar es salaam kwa mawasiliano zaid Call or Whatssap (0719415519)...
Licha ya kuwa Mazoezi husaidia kujenga na kulinda Afya, kuna masuala muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza mazoezi ikiwemo kuchagua eneo la kufanyia mazoezi ambalo litakuwa salama kimiundombinu na kimazingira.
Katika siku za hivi karibuni watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi...
What SUV would you advise me to buy between VW TIGUAN, BMW X3, AUDI Q3 and TOYOTA RAV4, please I'd appreciate reasoning for every choice starting with price, engine size, fuel type etc, or if possible provide comparison of the 4 please? "Majibu hata kww kiswahili tafadhari"
Pata gari yako kwa kuanzia kulipia kidgo kidogo au kwa 40% tu ya gharama nzima na upate mkopo wa 60%marejesho ndani ya miezi 12 mpk 24, ukikizi vigezo na utaratibu wote utapata gari yako ndani ya masaa 48 ya kazi Tunapatikana Dar es salaam
kwa Mawasiliano zaid Call or Whatssap {0719415519}
List...
Katika mkakati wa kukuza TEHAMA na Ubunifu nchini, Tanzania imealika kampuni 15 za Misri, huku lengo likiwa kuhakikisha katika miaka michache ijayo, Tanzania itengeneze magari na bajaji za umeme na zisizohitaji dereva.
Akizungumza katika maonyesho ya biashara baina ya wafanyabiashara wa...
Bei ya mafuta ya petrol nchini Kenya ni ksh 195.5 huku Tanzania ikiwa ksh 165 kwa pesa ya Kesha ikiwa ni pungufu kwa 30.5 ksh kwa Lita moja hii ni baada ya serikali ya Kenya kuongeza ushuru wa 8% kutoka ule wa 8% wa awali na kuwa 16% kwa Lita .
Maeneo yote yanayopakana na Kenya kwa siku za hivi...
Majaribio ya utaratibu mpya wa maegesho ya kulipia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili yameanza wiki hii, ikiwa ni jitihada za kupunguza msongamano wa magari.
Akizungumzia utaratibu huo, Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Profesa Mohammed Janabi alisema majaribio yatadumu kwa wiki mbili...
TBS wamesema magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania.
Hivyo TBS wamewapa tenda Quality’s Inspection Service Japan(QISJ) kukagua magari yanayotoka Muungano Wa Falme Za Kiarabu(UAE) na EAA Company...
Wizara ya Afya imenunua magari 727 ya kubeba wagonjwa yatakayotolew a kwa kila halmashauri na hospitali za mikoa. Naibu Waziri, Dk Godwin Mollel amesema kila halmashauri inatarajiwa kupata magari mawili na hospitali ya mkoa itapata moja.
Dk Mollel alisema hayo alipofanya ziara kukagua utoaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.