Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana.
Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada...
Nimeshangazwa sana na malipo yanayotozwa getini stendi ya Magufuli, kwa magari madogo yaliyobeba abiria walioshuka kwenye mabasi.
Kuna jamaa getini anachukua mia tano kwa kila gari ndogo inayotoka, bila kutoa risiti, na mlipaji ni abiria. Hizo pesa zinaishia wapi na ni tozo za sababu gani?
Kwa wale mnaopenda kumiliki magari yanayozalishwa kutoka nchi fulani; kupitia huu uzi, utawasaidia kuchagua haina za magari husika:-
Ufaransa
Simca
FV
Bugatti
Renault
Peugeot
Citroen
Alpine
Citroen Ds
Dacia
Ligier
Venturi
Aixam
Delage
Microcar
PGO
China
Higer
Byd
JMC
Foton
Cherry
Geely
Jae...
Wakuu Habari za majukumu?
Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya gongo la mboto.
Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri)hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia...
Wakuu Habari za majukumu?
Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya Gongo la Mboto.
Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri) hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia...
Siyo kuwa Mtanzania anapenda kununua gari lililotumika la hasha. Kinachopelekea Mtanzania kununua gari lililotumika na hali ya kipato chake. Kwa Mtanzania kama mimi siwezi kununua gari jipya la toleo la toyota kwa gharama ya Tshs.120,000,000 au Toyota Landcruiser hard top kwa Tshs. 160,000,000...
Watanzania wajiandae kuanza kununua magari mapya baada ya serikali kukamilisha kuandaa sera mpya ambayo itapiga marufuku Watanzania kununua magari yaliyotumika.
Sera hii mpya inaungwa mkono na wawekezaji ambao watakuwa na jukumu la kuingiza magari mapya na pia kushirikiana na makampuni ya...
Rais na umati mkubwa wa Watanzania wenzetu wako Dubai kwa raha zao na kwa matumizi makubwa ya pesa za umma. Je, pesa za safari ya umati wote huo imetoka wapi? Sasa kuna magari ya kifahari yanaelekea Hanang bila msaada ndani yake.
Serikali inaendeshwa kifahari kwa magari ya bei kubwa bila kujali...
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi SSP Zauda Mohamed.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa litawakamata na kuwachukulia hatua kali za kisheria baadhi ya wamiliki wa vyombo vya moto wanatumia kigezo cha mwisho wa mwaka kuingiza vyombo vyao...
Kwa takriban mwaka mmoja sasa tangu Barabara ya Tabata kuelekea Vingunguti ikamilike kwenye matengenezo, lakini bado Taa za kuongoza Magari hazitumiki katika eneo la Baracuda hali inayoongeza Foleni nyakati za Asubuhi na Usiku.
Kama hazikuwa na maana kwanini zilijengwa na bila shaka kwa gharama...
Kwa utafiti wangu kiasi, kuna uelewa mdogo wa watumiaji wa vyombo vya usafiri wanapokaribia maeneo ambayo gari moshi hupita. Inawezekana baadhi yao hawana elimu ya mvutano wa vyombo vyao vinapokaribia gari moshi.
Lakini pia Taasisi zote zinazohusika ikiwemo jeshi la polisi usalama barabarani...
Ukweli daimag huwa kweli. Ndio maana mayahudi walikuwa hawataki kabisa mateka wao kuachiwa kukimbia aibu
Hamas wakati wanaachia mateka walikuwa wakiwabeba na kuwapandisha ktk magari kwa huruma kubwa wakiwaonyesha
MOD. UZI HUU UACHE USIUDELETE AU KUHAMISHA...
Haijalishi wewe ni muislam au lah lakini kama una akili za kutosha hauwezi furahia unyama walioufanya hamas. Jana tu tumepokea taarifa dogo wetu mtanzania ni kwamba hayupo tena na sisi.
Huyu prince ni mmoja wa waislam wachache ambao wamejitokeza kukiri ujinga wa hamas wengine wanajifanya...
Mama mjamzito, Mariam Zahoro (30) Mkazi wa Kijiji cha Mumbwi Wilayani Handeni, Tanga amefariki dunia akiwa kwenye Kituo cha Afya Kabuku kilichopo Wilayani humo ikidaiwa kuwa alikosa huduma ya upasuaji baada ya kushindwa kulipa Tsh. 150,000 alizotakiwa kutoa kwa ajili ya huduma hiyo.
Tukio hilo...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amezindua kituo cha kwanza cha kisasa cha kujazia gesi asilia kwenye magari na karakana ya kuweka mfumo wa gesi asilia ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa mipango ya Serikali kuchochea matumizi ya gesi asilia kama nishati safi na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya...
Wanaukumbi.
-----
136 enemy military vehicles were destroyed by the resistance
Abu Obeidah, the spokesman of the Qassam battalions:
We have completely and partially destroyed 136 enemy military vehicles and stopped them from continuing the operation.
Our Mujahideen destroy vehicles and...
Wabunge nchini Nigeria wanatarajia kutumia zaidi ya 38m$ ambapo kila mmoja Kati ya wabunge 466 atatumia zaidi ya 400m za kitanzania kuagiza gari aina ya Toyota SUV
Pendekezo la kununua magari ambayo ni home made lilitupiliwa mbali na wabunge hao wakidai hayaendani na hali ya barabara nchini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.