figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Ajali tanzanite bridge Dar es salaam
Gari ni chombo cha usafiri tatizo ni madereva wasiojielewa.............Magari huwa ni takataka kubwa
Sawa na nyumba ya viooMagari huwa ni takataka kubwa
Ujana wa kijinga huwa unaleta hasara sanaUzembe wa haraka haraka zisizo na msingi na kuovertake ovyo ovyo lazima ziwachanganye wengine bila umakini na uangalifu
Ushuani kule watu wanajielewa ndo maana hawakujiwekea speed limit.Tanzanite hakuna speed limit kama daraja la nyerere kigamboni,ndo maana tangu limezinduliwa ajali ni nyingi hapo ukilinganisha na kgamboni cjawahi ckia ajali
Hapo kuna mawili: kuchat huku akiendesha, vilevi.Gari ni chombo cha usafiri tatizo ni madereva wasiojielewa.............