Magari kadhaa yapata ajali daraja la Tanzanite - Dar es Salaam

Magari kadhaa yapata ajali daraja la Tanzanite - Dar es Salaam

Barabara inateleza maybe
Napata picha waliogonganaga wote wako muelekeo mmoja halafu speed.then mmoja kataka kukwepa mwennzie akajikuta anasababisha wengine nao wakwepane mwisho wanagonganaa.
Hiyo kaama hiace ilifunga brake ghafla kukwepa ajali lakini nyumbla yake Kuna huyo gari nyeusi Yuko speed akamvaa Kwa nyuma.
 
WhatsApp Image 2025-03-28 at 15.56.07_d9d7f368.jpg

WhatsApp Image 2025-03-28 at 15.56.07_f5347c2d.jpg

WhatsApp Image 2025-03-28 at 15.56.07_befe1fc0.jpg
 
Kwa Kifupi barabara ya Tanzanite Bridge kuanzia Aghakhan Hospital, Via Coco Beach mpaka kuitafuta Calambez ni hatari na Speed zao ni 120+, Magari ya Kifahari yenye 240+KmpH hiyo ndiyo njia yake ya kufungua na kutoa vumbi Turbo Charger zao. Tuwe na tahadhari na Barabara hiyo na barabara zote za Masaki. Pole kwa wahanga.
 
Humo kilichowaponza ni mvua, lami ikiwa na maji traction inakuwa hafifu brake za ghafla matokeo yake ni gari kupoteza muelekeo na kubamizwa.
 
Back
Top Bottom