Toyota VX,VXR n.k siyo Salama kwa viongozi. Serikali isitishe matumizi yake kwa viongozi wa Serikali

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,912
Reaction score
46,240
Haya magari yanatumiwa na viongozi wa wengi wa Serikali siyo salama.
Tusidhani wao Wajapan watafanya utafiti kuthibitisha hilo.

Ukiangali hizi gari zinapata ajali au kugongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi.

Uanzishwe uchunguzi wa kitaifa juu ya haya magari. Au tusubiri hadi limpate mkubwa zaidi ndipo tushtuke.
 
Ukiangali hizi gari zinapkgongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi.

Usiwagutue please. Nyamaza si kila jambo la kuweka mtandaoni.
 
Haya magari yanatumiwa na viongozi wa wengi wa Serikali siyo salama.
Tusidhani wao Wajapan watafanya utafiti kuthibitisha hilo.

Ukiangali hizi gari zinapkgongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi.

Uanzishwe uchunguzi wa kitaifa juu ya haya magari. Au tusubiri hadi limpate mkubwa zaidi ndipo tushtuke.
Usiwagutue please. Nyamaza si kila jambo la kuweka mtandaon. Halafu acha ubwege unataka pesa zetu tena zitumike kuwanunulia magari mengine?
 
Haya magari yanatumiwa na viongozi wa wengi wa Serikali siyo salama.
Tusidhani wao Wajapan watafanya utafiti kuthibitisha hilo.

Ukiangali hizi gari zinapatavajali au kugongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi.

Uanzishwe uchunguzi wa kitaifa juu ya haya magari. Au tusubiri hadi limpate mkubwa zaidi ndipo tushtuke.
Wahamie kwa Marekani wachukue Jeep tena Wrangler ni chuma chuma😅
 
Acha V8 , VX zitutetee , tena zinawawaisha sana ingebidi kidogo mtu akipata ajali apooze yabaki macho na akili asome mchezo 😂😂 !!
Wanateka watu wanawauwa kwa ukatili , wanakula hela za watanzania , wanatujibu shombo ! Sasa uhasama acha uwepo kama Mbwai mbwai
Na msiwashtue wajapani wakafanya utafiti !
 
Wabongo ni vichwa panzi sanaaaa

Kipindi pesa yako inakusanywa waende kununuliwa hayo maluxury vehicled wewe unabaki na ukata, did they really care upo katika hali gani ya tabu?

Acha tufe wote kikatili.
Akili za kitz hata panzi anawazidi.
 
Yan wakat wanachukua kodi zetu kwenda kununua hawajatushirikisha leo yanawaua eti tuwafanyie utafiti..nasema wacha wafeee
 
Haya magari yanatumiwa na viongozi wa wengi wa Serikali siyo salama.
Tusidhani wao Wajapan watafanya utafiti kuthibitisha hilo.

Ukiangali hizi gari zinapatavajali au kugongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi.

Uanzishwe uchunguzi wa kitaifa juu ya haya magari. Au tusubiri hadi limpate mkubwa zaidi ndipo tushtuke.
Ni bora ukipata ajali gari ipondeke itakupa unafuu wewe mtumiaji kuliko ibaki nzima
Magari ya sasa yanajengwa ku distribute impact ya ajali kwenye gari zaidi kuliko kwa abiria
Kitaalamu tunaita Crumple zone
 
Haya magari yanatumiwa na viongozi wa wengi wa Serikali siyo salama.
Tusidhani wao Wajapan watafanya utafiti kuthibitisha hilo.

Ukiangali hizi gari zinapata ajali au kugongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi.

Uanzishwe uchunguzi wa kitaifa juu ya haya magari. Au tusubiri hadi limpate mkubwa zaidi ndipo tushtuke.
Hayo ndio wanayapenda!
 
Never interupt your enemy when he is making a mistake
 
Back
Top Bottom