Toyota VX,VXR n.k siyo Salama kwa viongozi. Serikali isitishe matumizi yake kwa viongozi wa Serikali

Toyota VX,VXR n.k siyo Salama kwa viongozi. Serikali isitishe matumizi yake kwa viongozi wa Serikali

Tatizo spidi bila kujua mazingira...... Kuanzia Nyanguge mpaka Lamadi na Bunda wazee wa usiku ni wengi sana.... Sasa imagine baiskeli aliyokwepa saa 6-7 usiku ilikuwa inatoka wapi!? Na ukanda huo kuna gambushi za kutosha. Hutakiwi kukwepa chochote, bora uifyatue baiskeli, kama ni ya kimazingara, hutaona madhara, kama si ya kimazingara utalipa faini mahakamani. Ukiwa

Pia ukipata cheo kikubwa uwe makini, maofisini watu wanapigana maguzu masese sana
 
Wazingatie sheria za barabara. Hizo gari hukimbizwa kwa spidi ya ajabu.
 
Ni bora ukipata ajali gari ipondeke itakupa unafuu wewe mtumiaji kuliko ibaki nzima
Magari ya sasa yanajengwa ku distribute impact ya ajali kwenye gari zaidi kuliko kwa abiria
Kitaalamu tunaita Crumple zone
BAsi wacha yapondeke na wao yawaponde
 
Wabongo ni vichwa panzi sanaaaa

Kipindi pesa yako inakusanywa waende kununuliwa hayo maluxury vehicled wewe unabaki na ukata, did they really care upo katika hali gani ya tabu?

Acha tufe wote kikatili.
Kwa hiyo tuseme kifo ni kifo tu..?
 
Acha V8 , VX zitutetee , tena zinawawaisha sana ingebidi kidogo mtu akipata ajali apooze yabaki macho na akili asome mchezo 😂😂 !!
Wanateka watu wanawauwa kwa ukatili , wanakula hela za watanzania , wanatujibu shombo ! Sasa uhasama acha uwepo kama Mbwai mbwai
Na msiwashtue wajapani wakafanya utafiti !
Ko wafe tu kifo ni kifo tu
 
Kifo ni kifo tu!

Wewe unajifanya kujali huku wenyewe hata mikanda tu (seat belts) hawafungi hayo madude yakipepea 180Km/h.

BTW:Sokoine alifia kwenye Mercedes Benz iliyogongana na Toyota Land cruiser huku waliokuwepo kwenye Cruiser (Dogo Dube (umri 23) na washikaji zake wawili) wakipata majeraha madogo tu.
 
....vita ni vita murwa...

Spidi inamatokeo mabaya sanaa
 
Tatizo spidi bila kujua mazingira...... Kuanzia Nyanguge mpaka Lamadi na Bunda wazee wa usiku ni wengi sana.... Sasa imagine baiskeli aliyokwepa saa 6-7 usiku ilikuwa inatoka wapi!? Na ukanda huo kuna gambushi za kutosha. Hutakiwi kukwepa chochote, bora uifyatue baiskeli, kama ni ya kimazingara, hutaona madhara, kama si ya kimazingara utalipa faini mahakamani. Ukiwa

Pia ukipata cheo kikubwa uwe makini, maofisini watu wanapigana maguzu masese sana
kuna jamaa alipotea maeneo hayo na gar yake mpaka muda huu hajapatikanaga.
 
Haya magari yanatumiwa na viongozi wa wengi wa Serikali siyo salama.
Tusidhani wao Wajapan watafanya utafiti kuthibitisha hilo.

Ukiangali hizi gari zinapata ajali au kugongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi.

Uanzishwe uchunguzi wa kitaifa juu ya haya magari. Au tusubiri hadi limpate mkubwa zaidi ndipo tushtuke.
Watafute gari za ulaya tu
 
Wabongo wapuuzi wengi, sasa huyu aliyekufa amewazuia nn kwenye maisha yenu? Atleast angekuwa mwanasiasa ambaye anahusika moja kwa moja kwa wananchi, hawa ndo wapuuzi waende tuu hata yule ambaye atapigiwa mizinga 21 na mwezi nzima wa maombolezo.
 
Mungu huchukizwa na maovu wanayoyatenda watawala.Mfano hayo magari yananunuliwa Kwa Kodi za masikini Kwa shilingi Milioni miatano Hadi miasita wakati huo huo hao masikini hawana barabara,hospitali,makazi duni na bidhaa bei ghali.Ili kuwawajibisha Hawa mafisadi njia mbalimbali hutumika
 
Kwahy mnasapoti wanunue magari mapya ya Ulaya, halafu mkisikia bajeti mnaanza kusema ni mafisadi?
 
Back
Top Bottom