ununuzi wa magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ethiopia wamepiga marufuku ununuzi wa magari ya mafuta. Tuwaige?

    Mwaka 2024 Ethiopia walipiga marufuku uingizaji wa magari yanayotumia mafuta. Wameruhusu magari ya umeme tu. Idadi ya magari ya umeme imeongezeka kutoka 7000 hadi 100,000. Pia wameanza kuassemble magari ya umeme nchini mwao. Tuwaige au wamepotoka? https://youtu.be/aa2VfXs3qY0?is=obme5CzeSdiECS3O
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Spika Zungu: Mawaziri na viongozi waliokiuka taratibu za ununuzi wa magari waitwe na kuhojiwa, hatua zichukuliwe

    Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, ameiagiza Kamati husika ya Bunge kuwahoji watumishi wa umma wanaodaiwa kukiuka Waraka wa Serikali wa mwaka 2021 unaoelekeza taratibu za ununuzi wa magari ya serikali, na kuchukua hatua stahiki dhidi yao. Zungu amesema kutokana na hali ngumu ya kiuchumi duniani...
  3. Candela

    JamiiForums Tanzania Elimu ya ununuzi wa magari used, hasa haya ya Ujarumani

    Mdau, leo nigusie kidogo suala la uagizaji magari kutoka nje. Hasa haya ya Ujarumani. Wengi huagiza haya magari wakiamini huko lilikotoka lilimilikiwa na mtu mmoja. hapana hata kule kuna yard za magari used na sio wazungu/wajapan wote wana uwezo wa kununua zero kilometer. Zipo yard maarufu...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mpina: Zungu na Kamati ya Bajeti, kukosoa bajeti baada ya kuipitisha ni kuwafanyia 'massage' Watanzania

    Aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, amelituhumu Bunge na Spika kwa kupitisha Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 na bajeti ya Tsh. Trilioni 62.33 bila kufanya mabadiliko yoyote, licha ya uwepo wa malalamiko makubwa kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma. Soma: Mpina: Nusu ya Bajeti ya Serikali...
  5. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Toyota VX,VXR n.k siyo Salama kwa viongozi. Serikali isitishe matumizi yake kwa viongozi wa Serikali

    Haya magari yanatumiwa na viongozi wa wengi wa Serikali siyo salama. Tusidhani wao Wajapan watafanya utafiti kuthibitisha hilo. Ukiangali hizi gari zinapata ajali au kugongwa zinakuwa kama mtu kakunja makaratasi. Uanzishwe uchunguzi wa kitaifa juu ya haya magari. Au tusubiri hadi limpate...
  6. milele amina

    JamiiForums Tanzania Serikali imefilisika na kukosa fedha za kununua magari ya kuhudumia Tanesco?

    Serikali ya Samia inakabiliwa na hali ya kushangaza, ambapo magari madogo ya watu binafsi yamechukuliwa kufanya kazi za Tanesco katika kila wilaya na kila mkoa wa Tanzania bara. Hali hii inatia wasiwasi na maswali mengi yanajitokeza. Kwanza, je, serikali imefilisika na kukosa fedha za kununua...
Back
Top Bottom