Mpina: Zungu na Kamati ya Bajeti, kukosoa bajeti baada ya kuipitisha ni kuwafanyia 'massage' Watanzania

Mpina: Zungu na Kamati ya Bajeti, kukosoa bajeti baada ya kuipitisha ni kuwafanyia 'massage' Watanzania

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, amelituhumu Bunge na Spika kwa kupitisha Sheria ya Fedha ya Mwaka 2026 na bajeti ya Tsh. Trilioni 62.33 bila kufanya mabadiliko yoyote, licha ya uwepo wa malalamiko makubwa kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma.

Soma: Mpina: Nusu ya Bajeti ya Serikali inaenda kutumika katika matumizi yasiyo ya uhalisia, matumizi mengine ni utapeli tu

Mpina amebainisha kuwa bajeti hiyo imetenga matumizi makubwa kwa ajili ya shughuli za anasa, ikiwemo kiasi cha Tsh. Trilioni 1.03 zilizotengwa kwa ajili ya kugharamia safari za viongozi wa serikali.

 
Ndio maana wapo tayari kuua wapinzani ili kusiwe na wakusema CCM wanatamani kutawala maiti shenzi Sana CCM na vibaraka wake.
 
Uko Kenya Sio poa, na hawajapoa
uko DRC tarehe 8 July wana jambo lao

Huko TZ raia wapowapo tu, hadi wanasiasa wanawadharau wanawaona kama mazombi wasiojua kudai haki zao
 
Back
Top Bottom