Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Mwaka 2024 Ethiopia walipiga marufuku uingizaji wa magari yanayotumia mafuta. Wameruhusu magari ya umeme tu.
Idadi ya magari ya umeme imeongezeka kutoka 7000 hadi 100,000.
Pia wameanza kuassemble magari ya umeme nchini mwao. Tuwaige au wamepotoka?
View: https://youtu.be/aa2VfXs3qY0?is=obme5CzeSdiECS3O