Elimu ya ununuzi wa magari used, hasa haya ya Ujarumani

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
935
Reaction score
2,553
Mdau, leo nigusie kidogo suala la uagizaji magari kutoka nje. Hasa haya ya Ujarumani.

Wengi huagiza haya magari wakiamini huko lilikotoka lilimilikiwa na mtu mmoja. hapana hata kule kuna yard za magari used na sio wazungu/wajapan wote wana uwezo wa kununua zero kilometer.
Zipo yard maarufu kama gumtree au mycar, ambao huuza magari used pekee kwa wazungu pekee.

Sasa unapoagiza gari mpya hasa ya ujerumani unatakiwa ufuate yafuatayo.

1. Achana na dhana ya kuwa gari uliyoagiza wewe ndie mmiliki wa pili, inawezekana ukawa mmiliki wa 6 toka itoke kiwandani.
2. Achana na dhana ya kusema gari mpya, fanya ukaguzi makini, badili vipuri vinavyofaa kubadili, kwa BMW vitu kama pump, gasket, na vyote ambavyo BMW wanashauri vibadilishwe baada ya muda maalum.
3. Gari ikizingua siku chache baada ya kuitoa bandarini, usianze kusema gari mpya inazingua. Fanya tu kinachotakiwa kuiweka sawa wala sio gari mbovu.
Na mwisho kabisa kama huna uwezo na gari kama BMW usinunue.
 
69.jpg
 
Huwa wanasema(ga) kuwa gari za aina fulani ni mbovu......kumbe wakolokoaji ndio hamna kitu.

Kila service ni kumwaga oil, kubadili filters na kujaza upepo!
  • Hakuna anayeangalia Maintenance schedule!
  • Ufundi wa walio wengi ni wa kurithishana, hawana reasoning juu ya wanachofanya!
  • Toyota ni rahisi, haiitaji brain kihivyo...no wonder mafundi waya wa magari ni wa kuwatafuta kwa tochi.

We, diagnostic tool ni issue ya kutozana kuanzia 30k ili kuambia homa ya gari!

Ukienda Toyota pale, wanasema pengine service ya 150,000km ni tzs 870k, chini ya mwembe ni 180k na hata akikwambia ni 800k bado atafanya vile vile anavyovifanya kila leo.
 
Hapo Sijamuelewa,huna uwezo,usinunue, nimenunua, Maana yake Nina uwezo!
Mdau, leo nigusie kidogo suala la uagizaji magari kutoka nje. Hasa haya ya Ujarumani.

Wengi huagiza haya magari wakiamini huko lilikotoka lilimilikiwa na mtu mmoja. hapana hata kule kuna yard za magari used na sio wazungu/wajapan wote wana uwezo wa kununua zero kilometer.
Zipo yard maarufu kama gumtree au mycar, ambao huuza magari used pekee kwa wazungu pekee.

Sasa unapoagiza gari mpya hasa ya ujerumani unatakiwa ufuate yafuatayo.

1. Achana na dhana ya kuwa gari uliyoagiza wewe ndie mmiliki wa pili, inawezekana ukawa mmiliki wa 6 toka itoke kiwandani.
2. Achana na dhana ya kusema gari mpya, fanya ukaguzi makini, badili vipuri vinavyofaa kubadili, kwa BMW vitu kama pump, gasket, na vyote ambavyo BMW wanashauri vibadilishwe baada ya muda maalum.
3. Gari ikizingua siku chache baada ya kuitoa bandarini, usianze kusema gari mpya inazingua. Fanya tu kinachotakiwa kuiweka sawa wala sio gari mbovu.
Na mwisho kabisa kama huna uwezo na gari kama BMW usinunue.
 
Hapo Sijamuelewa,huna uwezo,usinunue, nimenunua, Maana yake Nina uwezo!
Ukinunua gari ya milioni 25, ukabaki na milioni 3 we huna uwezo wa kununua hiyo gari ila umefosi. Kama likipata ajali likawa halifai na ukarudi kupanda daladala maana yake hukuwa na uwezo nalo.
 
Back
Top Bottom