Ndagullachrles
JF-Expert Member
- Jun 20, 2023
- 256
- 259
Wazazi wa wanafunzi wanaosoma kwenye shule Moja ya mchepuo wa kiingereza iliyopo ndani ya manispaa ya Moshi (j'ina tunayo)wameingiwa na hofu kutokana na uongozi wa shule hiyo kuanzisha utaratibu wa kupika chakula cha mchana nje ya Shule hiyo na kukisomba kwa kutumia magari kupeleka shuleni hapo.
Wazazi Hao walioomba hifadhi ya Majina yao ,wanadai kuwa utaratibu huo unatia hofu usalama wa afya za watoto wao.
Wamedai kuwa licha ya kupaza sauti juu ya utaratibu huo waliodai haupo kwa mujibu wa sera ya elimu(hawakutaja ya mwaka gani)madai yao hayajapatiwa ufumbuzi.
"Tangu lini chakula cha wanafunzi kikapikwa nje ya eneo la Shule na kusombwa na magari kupelekwa shuleni?,nani ametoa hiyo ruhusa?",amehoji mzazi mmoja
Wanataka ofisi ya Afisa elimu Msingi manispaa ya Moshi kutuma timu ya.maofisa wa udhibiti ubora kwenda shuleni hapo na kufanya ukaguzi kama itawapendeza waifunge Shule hiyo .
Jitihada za kumpata mmiliki wa shule hiyo kuzungumzia malalamiko ya wazazi hazikuweza kuzaa matunda kutokana na mmoja wa watoto wake (meneja wa shule)kuahidi kuwasiliana na Baba yake bila mafanikio.
Unataka kujua jina la shule hiyo ,mahali ilipo na mmiliki wake na hatua wanazotaka kuchukua wazazi?,Kaa kwa kutulia ni hapo jumanne April Moshi)siku ya kazi