Tajiri namba 2 Duniani, Jeff Bezos kuja na Kampuni ya Magari Slate Auto: Wataanza na EV Truck ya $25,000 tu!

Tajiri namba 2 Duniani, Jeff Bezos kuja na Kampuni ya Magari Slate Auto: Wataanza na EV Truck ya $25,000 tu!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Mmiliki wa Amazon nae sasa kuja na Kampuni yake ya Magari.
bezos-slate-lede-image.jpg

Kwa kuanza, anakuja na 2 seater Pick-up truck itayouzwa kwa $25k tu. Hii ni bei ndogo kuliko Tesla yoyote iliowahi kuuzwa.
images (9).jpeg
Taarifa zaidi za gari kama battery, motor na power hazijawekwa wazi ila sio muda zitakua wazi.

Ikumbukwe kwa sasa Amazon wanatumia delivery cars kutoka kampuni ya Rivian, hii inamaanisha miaka michache ijayo wataanza kutumia magari yao binafsi katika delivery.
images (10).jpeg
 
Naona bado kuna anguko la kampuni ya Tesla..kitendo cha Elon musk kujiingiza kwenye siasa kimefanya wapinzani wake waingie rasmi kwenye projects za magari
 
Back
Top Bottom