Kila nikianza kuwahurumia hawa watu halafu nikutane na habari kama hizi najikuta natamani wapigwe tu, yaani miundo mbinu yote hii ilijengwa wakishuhudia kimya kimya, walikusudia kuiona Israel ikifutwa, sasa hivi wao wanafutwa.
=========================
Four kilometers long: IDF destroys...
Kamati ya Usalama Barabarani Mkoa wa Mbeya imekabidhi magari mawili na pikipiki mbili kwa Jeshi la Polisi ili kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu hasa doria za barabara kuu, utoaji wa elimu na kudhibiti ukiukwaji wa sheria za usalama.
Akizungumza na waandishi wa habari Machi 04...
Magari mawili ya kijeshi ya Tanzania yamepigwa na makombora yaliyorushwa na waasi wa M23 katika mji wa Sake nchini Kongo, walioshuhudia wameiambia BBC.
Chanzo cha jeshi la Kongo na shahidi wa macho walisema shambulio hilo lilitokea siku ya Alhamisi, na kumwacha mwanajeshi mmoja wa Tanzania...
Habari wakuu,
Naomba kwa mwenye ufaham wa biashara ya car wash,anipe Ushauri ni kiasi gani cha fedha kinatosha kuanzisha biashara ya kusha magari ya saizi ya kati?
kama kutakua na mchanganua wa budget nzima itakua vizuri.
Nina milioni 4 je inatosha?
Kama ni mfuatiliaji wa aina za Magari yanayomilikiwa na Watanzania walio wengi, utagundua kuwa asilimia kubwa wananunua Magari ambayo ni "Used" tena kwa miaka 10 au 15 nyuma, na yote ni sababu ya wingi wa Kodi za ajabu ajabu kutoka Mamlaka za nchi hii.
Tofauti na ukienda nchi za wenzetu mfano...
Tunauza vipuri vya magari yote ya Japan, Uingereza, Singapore. Pia, magari madogo, makubwa kama fuso, canter, tata , n. k.
Tupo barabara ya 20 Tanga. Piga simu namba 0713276892.
Usisime spare, sema Kwa Hussein
Pia tuna oil za aina zote, na tunafanya service na tuna fundi pia wa magari kwa...
Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kimehitimisha mafunzo ya ukaguzi wa magari kwa askari wa kikosi cha usalama barabarani nchini ambacho kilihusisha wakuu wa kikosi cha usalama barabarani na wakaguzi wa magari (vehicle inspectors) kote nchini ambacho kilianza februari 19 hadi 20 mwaka huu katika chuo...
Habari
Husika na kichwa cha habari hapo juu. nina bajeti ya sh hiyo hapo juu nataka kununua gari kutoka showroom hapa bongo lililotoka japan. AU Je naweza agiza gari aina gani na kwa bei hiyo toka japan? Nina bajeti hiyo washkaji nipeni ushauri wa kiukweli sio utani. Asante
MBUNGE OLE LEKAITA AKABIDHI MAGARI MAWILI YA WAGONJWA KITUO CHA AFYA SUNYA-KITETO
Kituo cha afya cha Sunya kilichopo katika Wilaya ya Kiteto kimekabidhiwa magari mawili ya wagonjwa (Ambulance) kwa ajili ya kuwahudumia wananchi.
Akizungumza mara baada ya kukabidhi magari hayo jana tarehe 16...
Ukaguzi wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini jumla ya Magari ya Serikali 547 yalikuwa yameegeshwa kwenye Karakana za Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na katika baadhi ya Taasisi za Serikali
Aidha, baadhi ya magari yaliyotelekezwa hayakuwa kwenye mipango ya...
Hii shule ipo njia ya Cocacola -Clouds, karibu kabisa na Bushoke Chips, hapa bhana asubuhi wazazi wanaleta watoto wao shule, basi hakuna parking, magari yanajaa barabarani na inasababisha foleni na usumbufu sana kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Tunaomba uongozi wa shule uwajibike kuwa na mpango...
Anonymous
Thread
clouds
foleni
kupokea
magari
mbovu
mikocheni
njia
shule
utaratibu
Wakati akimuongelea Baba Levo kuhusu kupigwa na Harmonize, Dotto Magari akapitiliza na kusema kuwa Baba Levo hana maisha na anaishi kwenye Apartment ya kupanga ghorofani.
Dotto ameyasema hayo bila ya kukumbuka kuwa Tajiri yake Haji Manara nayeye anaishi kama Baba Levo.
ANGALIA VIDEO HAPA
Msafara wa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda umepata ajali leo Februari 11, 2024 katika eneo la Sululu, Halmashauri ya Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara.
Katika ajali hiyo, magari 13 yaligongana na kusababisha majeruhi kadhaa wakiwepo Mbunge wa Jimbo la Tandahimba...
Sijaiona picha ya sehemu za nyuma za gari hii. Ikiwa imeharibika hapo tu panapoonekana kwenye picha serikali itatumia zaidi ya milioni 50 kutengeneza gari hii.
Gari itakaguliwa na TEMESA, serikali italipa gharama za ukaguzi, kisha TEMESA watatoa tenda kwenye garage binafsi kama vile KINAI, ADAM...
Leo nikiwa town katika mishemishe nakuta chuma ya serikali imepaki. Kucheki namba ni STN.
Nikajiuliza si ni juzi tu hapa STM ilianza? Ndio imejaa kwa kasi hivyo!
Serikali yetu inamiliki magari mengi na sasa usajili umefikia “STN” hii ni kasi zaidi ya 5G
Kenya na Toyota Tsusho Corporation ya Japani wametia saini makubaliano ya mfumo wa ushirikiano katika utengenezaji wa magari na maendeleo ya nishati mbadala.
Makubaliano hayo yatawezesha Toyota kuanzisha kiwanda cha kutengeneza magari nchini. kampuni imefanya uwekezaji wa awali wa Kshs 800...
Karibu!! karibu!! NIT
TUNAFUNGA GAS KWENYE MAGARI ya petroli kwa mkoa wa dar es Salaam TU kwa utaalamu wa hali ya juu unaofanywa na wahandisi wa magari na kuifanya gari yako kutembea bila gharama kubwa za mafuta na utaokoa asilimia 75% za gharama ya mafuta
Gharama za ufungaji mfumo ni kulingana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.