Ajali nyingi sana zimeshatokea eneo hili. Mamlaka hazichukui hatua yoyote. Sehemu yenye junction na yenye pilikapilika kama hii tena inaingiliana na mwendokasi inakosaje taa za kuongozea? Hicho kioo kikubwa kando ya junction mnadhani kinatosha kwa madereva na watumiaji wa barabara hiyo kuona...
Eti wamiliki wa magari madogo kwa DSM, hivi ni gari langu tu nasumbuliwa na kuoza na kupata kutu kwa body, reli za vioo vya madirisha kuoza, milango kwa ndani, katikati na sehemu nyingine au kuna mwingine ana tatizo kama hili.
Je dawa yake ni nini wakuu, milango ya corolla runx imeoza sana...
Habari wandugu,
Je kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering (namaanisha Certificate, Diploma au ni lazima iwe Bachelor Degree) mtu anaweza kufanya yafuatayo:-
Kufanya Diagnosis, Ku-interpret na ku-analyse data
Engine swapping
ECU Remapping
Electrical system maintainance
Mechanical...
1. Wizi wa kutumia mfumo wa Keyless. Wizi wa keyless au wizi wa relay ni wizi ambao huusisha watu wawili ambao hufanya uhalifu huu kwenye magari ambayo yameegeshwa nyumbani. Wizi huu huusisha vifaa viwili ambavyo ni "relay transmitter" na "amplifier", hivyo wanatumia vifaa hivi kuidanganya gari...
Adam Selassie ni dereva wa basi dogo mjini Addis Ababa, Ethiopia. Siku hizi anafurahi sana, kwani amepata gari jipya la umeme. Gari hilo limeagizwa kutoka China, na hadi sasa, kuna madereva wengi kama Adam ambao wamebadilisha msbasi yao yanayotumia petroli kuwa mabasi ya umeme. Kwa maoni yao...
Wakuu Habari za siku ?
Natumai wengi ni wazima wa afya na wenye kuumwa mpate kupona na kuendelea na mapambano.
Baada ya kuingia kwenye biashara ya urembo wa magari, kiukweli nimejifunza vitu vingi. Ikiwemo changamoto zake na jinsi biashara nzima inavyoendeshwa.
Biashara hii imenifungulia...
Juzi nilikuwa Dar na mara nyingi nilikuwa natumia usafiri wa bolt. Asilimia 90 ya magari ya bolt niliyokuwa natumia yanatumia gesi kwa ajili ya uendeshaji.
Nilibahatika kumuuliza dereva mmoja juu ya matumizi ya gesi na akanieleza kuwa akijaza gesi ya Tshs. 14,000 anaitumia kwa kilomita 200...
JPM alipoona Mwendokasi Madereva wanadai maslahi alikwenda kuchukua vijana serikalini na JKT akawapa kazi za ulinzi, kukata tiketi,ufundi na udereva. Walioletwa kwa sababu wanawekwa bila sifa wameendelea kujifunza kazi taratibu lakini wakiwa na msongo mkubwa wa mawazo kuhusu lini watapata...
Wakuu salama?
Hivi umeshawahi kukutana na gari la kuzoa taka lenye hali nzuri? Magari yote ambayo nimewahi kukutana nayo yanakuwa yameisha, yana hali mbaya, kutu kila pahala, yametoka, na yanajikokota kwelikweli kutoka eneo moja kwenda eneo jingine!
Kwanini magari haya yanaruhusiwa kufanya...
Kuna mambo yanatokea watu wanakaa kimya inasikitishaa sana
Kuna mradii sijui wa nani yaan gari isiaribikee njian dk 😱 wako na breakdown wanavuta gariyako
Inasikitisha sana naamini manispaa mkooo mnajua hawaa watu ushauri tu waonywe waondoke kuna siku mtasikia mambo ya ajabu watanzania...
Kuna magari yanasambaza maji na wanasambaza sehemu yenye shida za maji.
Dawasa naomba kujua yanamilikiwa na nani, mbona hawasambazi Masaki ama Oysterbay.
Jana tulikuwa na Mkutano Mkuu wa Mtaa ulioitishwa na CCM kuelezea wananchi wa Mtaa ilani ya Chama Cha Ma;induzi yaani utekelezaji wa shughuli za maendeleo tangu Awamu ya sita iingie madarakani na tangu Awamu ya Tano na Sita hawajaitisha mkutano mkuu wa mtaa.
Mtaa wetu una takriban watu wazima...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, imeishauri Serikali kuagiza magari yenye mfumo wa gesi ambao una gharama nafuu, hali itakayosaidia kupunguza gharama za mafuta kutokana na uwepo wa Gesi Nchini.
Ushauri huo, umetolewa hii leo Machi 15, 2024 na Mwenyekiti wa kamati hiyo, David...
Kumekuwa na matamko tata kutokea LATRA kuhusu magari yenye namba D na E kufanywa ndiyo yaliyo magari pekee.
Hali hii si ya kuvumiliwa hata kidogo. Kesho itakuwa gari kuingia Dar na labda hata kuthubutu tu kuwapo Tanzania ni F na G peke yake. Nani ajuaye?
Ni kawaida kwa wanaojidhania kuwa wako...
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Albert Msando, amepiga marufuku kwa wakurugenzi kwa kushirikiana na watumishi wa idara ya afya, kuhamisha magari ya wagonjwa kwenye vituo husika na kupeleka sehemu nyingine bila sababu maalum.
Mkuu huyo wa wilaya amesema hayo leo Machi 9, 2024 katika Kijiji cha Msomera...
Hizi namba za 3D imekuwa Ghafla sana kung'olewa, na Jeshi la polisi limesimama imara katika Hili, Ombi langu kwa Jeshi la Polisi ni hili:-
Namba za Ajabu
Mtaani huku kuna namba nyingi ambazo sio rasmi, Nyeusi, Nyeupe na Njano hapo nyuma mlitoaga tamko lakini hizi namba bado zipo na hatujui...
Mheshimiwa Albert Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, hongera Kwa kazi kubwa unayowafanyia wakazi wa Dar.
Naomba upitie barabara kutokea Magomeni inayopita Tandale Ili iunganishe na barabara ya Shekilango, kuna uharibifu mkubwa wa mazingira. Barabara nzima imegeuzwa dampo ya magari...
Habari za Muda huu waungwana.
Kama kuna mtu/ kampuni ana magari na anahitaji mizigo (local au transit) au anapata changamoto kupata mizigo.
Ntumie mawasiliano yako PM tutawasiliana vizuri kiundani na kuweka mambo sawa.
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.