magari

  1. Morning_star

    Nini shida magari aina ya "Brevis" mengi kuharibika gear box?

    Inaonekana muundo wa gearbox kwa magari ya "brevis" ni dhaifu sana kwasababu magari karibu yoote used utakuta kipengere ni gearbox! Wajuzi tupe elimu!
  2. Mzalendo Uchwara

    Haya magari ya hivi karibuni yenye namba A yanamilikiwa na akina nani?

    Kwa wenyeji jijini Dar es Salaam bila shaka mtakuwa mmeshakutana na haya ma Land Cruiser mapya mapya ya kuanzia kuanzia miaka ya 2020s yenye namba 'A', tena number plate zenyewe zinaegeshwa tu. Haya magari ni mali ya nani? Polisi wanayaogopa hayasimamishwi wala kukaguliwa. Vijana wa vijiweni...
  3. D

    Kuagiza magari

    Waungwana habarini, Kama kuna mtu amewahi/anafanya kazi katika kampuni za kuagiza magari kutoka nje. Mwenye uzoefu na hayo maswala kwa kifupi. Naomba tuwasiliane Normal/Whatsapp 0757520276 Au Ntumie namba yako PM nkutafute Au namna nyingine yoyote unayoona inafaa.
  4. Mad Max

    Magari ya Hybrid yanayofanya vizuri Tanzania

    Huku bei ya mafuta ikiendelea kupanda kila kukicha ndani ya hii miaka mitano (kutoka Tsh 2100/= hadi sasa Tsh 3300/=) na hamna "dalili" kuona bei ikishuka, ni muda wa Watumiaji kubadirisha muelekeo (adaptation). Kwa wanaotafuta gari, ni bora kuangalia "Fuel Efficient cars" au "Hybrid cars" huku...
  5. Ghost MVP

    TAMISEMI yatoa ufafananuzi juu ya Magari ya ma-DC na RC 56 yatakayonunuliwa

    Habari ya TAMISEMI inasema "Wakuu wa Wilaya wanajukumu kubwa la kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo yao ikizingatiwa kuna fedha nyingi zimepelekwa kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Elimu, Afya na Miundombinu. Pia Wakuu wa Wilaya...
  6. MINING GEOLOGY IT

    Kwanini graphite inaweza kulinganishwa na dhahabu katika muktadha wa "vita vya teknolojia"?

    Graphite ni aina ya madini inayopatikana katika asili, ambayo ni fomu ya kaboni. Madini haya yamejulikana kwa muda mrefu na hutumiwa katika matumizi mbalimbali kutokana na sifa zake za pekee. Graphite mfumo wake: Hapa kuna baadhi ya mambo muhimu kuhusu madini ya graphite: Muundo wa...
  7. R

    Huyu aliyeelekeza magari ya serikali kupaki saa kumi na mbili ana maana gani?

    Leo imetolewa hoja kwamba magari ya serikali yapaki saa kumi na mbili. Unajiuliza hawa watu wanapotoa haya matamko wanashindwaga nini kufanya tathimini? Nchi hii inawaza kuendesha shughuli zake masaa ishirini na nne; Mama anawaza kuona soko la Kariakoo linafanya kazi masaa ishirini na nne...
  8. Mwamuzi wa Tanzania

    Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

    Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA. Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA. Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine? Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi...
  9. Erythrocyte

    Magari 56 ya Wakuu wa Wilaya kununuliwa mwaka wa fedha 2024/25

    Hii ndio Taarifa iliyokuja leo kutokea Bungeni, kama ilivyotolewa na Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI. == Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na...
  10. R

    KERO Abiria Mwendokasi wakosa magari kwa zaidi ya saa nne, vurugu zatokea Kivukoni

    Zipo dalili za uwepo wa mgomo na kuhujumu magari ya Mwendokasi DAR. Leo naambiwa hakuna magari huku madereva wakiwa wametelekeza magari ubungo kwa kisingizio cha uchakavu. Waziri mwenye dhamana na mkuu wa mkoa kwanini mnafumbia macho menejimenti ya kampuni hizi? Kindamba unaona yanayoendelea?
  11. Mad Max

    Kwa wale anti-Electical Vehicle: Unaijua ZEV Mandate?

    Wakuu kwema. Kusave muda, hii ni kwa wapenda Hybrid na Electric Cars. Haya, Zero Emission Vehicle Mandate (ZEV Mandate) ni "sheria" waliojiwekea nchi za US, EU na China ambapo wana lazimisha makampuni yanayotengeneza au kuingiza magari mapya kwenye izo nchi yatransform kutoka kwenye Internal...
  12. Ghost MVP

    Magari ya Wanafunzi (SCHOOL BUS) yamekuwa na udereva mbovu na uvunjaji wa Sheria

    Hizi gari madereva wanajiona kama Viwete Kuwa wanahitaji Special Care, mara kadhaa nimeshuhudia Gari la shule likivuka taa za barabarani bila hata kuchukua tahadhar na ilikuwa inawaka Red. Madareva wamekuwa rafu sana wa wanafunzi hawa wadogo, magari yanakimbizwa mnoo, hawachukui tahadhari, na...
  13. Erythrocyte

    Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

    Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu. Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu? Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini...
  14. ipyax

    Car4Sale Agiza gari kutoka South Africa

    Kupitia uzi huu nitakuwa napost magari ya aina tofauti yanayopatikana South Africa na bei zake. Kama ikitokea mtu yuko interested tutawasiliana ili kujua jinsi ya kukuwezesha kununua gari uitakayo. Nitakua na post gari ambazo zipo kwa dealerships pamoja na ambazo zinauzwa na watu binafsi kwa...
  15. Stability

    Kuna magari ya kutoka Moshi hadi Mombasa?

    Nisaidieni wakuu. Au hadi nivuke boda ya holili au pale pale moshi mabasi yapo?
  16. L

    China inabadilisha ukiritimba wa soko la magari barani Afrika

    Chombo maarufu cha habari kuhusu nishati mpya Cleantechnica hivi karibuni kilisema “sekta ya magari ya umeme ya China inayoendelea kwa kasi inaleta athari kubwa kwa Afrika na kukuza mageuzi ya nishati ya kijani." Jijini Nairobi, Kenya, ukienda kwenye uwanja wa ndege, huenda unaweza kutumia...
  17. Ghost MVP

    Matumizi ya Serikali Kwenye Magari ya Taasisi za Umma ni ufujaji, Wafanye Hivi

    Bajeti ya magari ya serikali kila mwaka Bilioni 600, Hii pesa haimaanishi kuwa inanunua magari pekee na pesa ikaisha. Hivyo kwanini Serikali iwe na utaratibu mzuri Kila Taasisi Ijinunulie Magari yake kutoka kwenye Mishahara Ya wafanya Kazi, tuone kama watanunua V8 na VX kama wanavyofanya sasa...
  18. darautobroker

    Kwako Chino Wanamani; nani anakupotosha na hayo magari?

    USHAURI WANGU KWA CHINO KWENYE HIZI GARI ANAZOSEMEKANA KANUNUA Kwanza Kabisa Nianze Na Hizi Management Za Wasanii Zinatakiwa Ziwe Makini Kwenye Kumpa Walau Ushauri Msanii Wao Ni Gari Gani Nzuri Yenye Status Anayotakiwa Atumie. Binafsi Nimpongeze Kijana Kwa Hatua Nzuri Aliyopiga Ikiwa Ni Katika...
  19. Kigoma Region Tanzania

    Dotto Magari acha kabisa kutumia neno Ukimbizi kwa watu wa Kigoma

    DOTTO MAGARI nakuonya, Koma kabisa kuendelea kumwita BABA LEVO mkimbizi, hii ni dharau ile ile ya kasumba kwa watu wa Kigoma popote pale wanapokua. Waliokaribu nae wamfikishie, DOTTO anatakiwa kuonywa na kukemewa sio kuchekewa. Matani yao yasiguse maswala mama yanayo isumbua Kigoma na watu...
  20. Stephano Mgendanyi

    BRT, FLYOVERS na Barabara Kupunguza Msongamano wa Magari Katika Miji na Majiji Yatekelezwa

    BRT, FLY OVERS NA BARABARA KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MIJI NA MAJIJI YATEKELEZWA Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na miradi mbalimbali ya kupunguza msongamano wa magari katika Miji na Majiji kwa...
Back
Top Bottom