Hawa jamaa wanapatikana Igoma,bango,(SUPER BLUE SKY)
Wanatoa huduma zote iwe kuweka mafuta, service kwenye gari yako, parking ya gari yako,kuosha gari yako,wana kila kitu mpaka mizani ya kupimia uzito wa mizigo kwenye magari ya mizigo na ni kwa njia za kisasa kabisa na ni b
ei rahisi halafu...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna utaratibu mbovu unaendeshwa na watu wanaohusika kukusanya madeni ya maegesho ya magari, mamlaka zimetolea ufafanuzi malalamiko hayo.
Mdau huyo alidai wahusika wanatega njiani, wanasimamisha gari na kumfuata Dereva wakiwa wengi katika...
Katika makala hii, tutachunguza sababu kuu zinazosababisha ongezeko kubwa la bei za magari yanayoagizwa kutoka Ulaya hadi Tanzania. Tutajadili kodi, ushuru, gharama za usafirishaji, na athari zake kwa wateja, huku tukitoa mifano halisi na mapendekezo ya jinsi ya kupunguza mzigo huu wa kifedha...
Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii.
Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
Nafahamu kuwa huko USA na Ulaya kuna miji ilibomolewana kusukwa upya, ila kuna miji haijapoteza uhalisia wake kwa miaka na miaka, cha kushangaza kuna miji ina barabara za lane 8 na ni masterplan ya karne mbilli zilizopita, jamaa walijuaje kuwa kutakuja kuwa na foleni hapo baadae maana usafiri wa...
Maji yana molekyuli mbili, Hydrogen na Oxygen. Tunaweza kutenganisha molecules hizi na kutumia hydrogen ambayo ni combustible ili kuendesha injini za aina zote. Tunakwama wapi? Kuna mahali nilisoma kwamba mvumbuzi fulani wa injini isiyotumia maji alipotelea kusikojulikana!
Sifa
Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia).
Muaminifu na mchapakazi
Garage iko Iko Makuburi, Ubungo.
Hakuna malipo.
Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige simu tafadhali).
Kwema wakuu?
Kuna hili shindano la magari linalofanyika kila mwaka mwezi wa sita katika mji wa Le Mans, Ufaransa, linaitwa "24 Hours of Le Mans".
Hili shindano linakua nas magari sitini (60), ila yanagawanywa katika classes kama nne (4) hivi kutokana na performance, technology na aina ya gari...
Magari yanayojiendesha (self-driving cars) ni magari yanayotumia teknolojia za hali ya juu kama vile akili bandia (AI), sensa, na urambazaji wa GPS ili kujiongoza bila hitaji la dereva. Haya ni baadhi ya faida na hasara zinazohusiana na magari haya:
Faida za Magari Yanayojiendesha
1...
Katika Nchi tuna utaratibu wa kila chombo cha Moto kupata usajili kupata namba maalumu [maalufu kama Plata Namba]
Kwa magali tunaanza na T AAA na Sasa Tupo T EAA ,na Pikipiki zinaanza MC [Vyombo vya miguu miwili au mitatu ] MC ambayo zina gharama za kawaida
Ila serikaĺi imeweka utaratibu kwa...
#HABARI: Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja, aliyetambulika kama fundi wa magari, amepata ajali maeneo ya River side Ubungo, jijini Dar es Salaam, wakati akipeleka gari yenye namba za usajili T 120 ANP, kwa mmiliki wa gari hiyo maeneo ya Temeke.
Mashuhuda wa ajali hiyo...
KUSITISHA UTOAJI HUDUMA YA UVUSHAJI KWA KIVUKO MV. KIGAMBONI
Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unawataarifu watumiaji wa kivuko Magogoni Kigamboni na wananchi kwa ujumla kuwa, Kivuko MV. KIGAMBONI kinachotoa huduma eneo hilo, kitasimama kutoa huduma kuanzia alfajiri ya siku ya Ijumaa...
Ford, wametoa Explorer EV ambayo ni SUV yenye siti 5.
Kwa kutumia MEB EV platformya Volkswagen, hii SUV ina uwezo wa kuchajiwa kutoka 10% hadi 80% kwa dakika 25 tu.
Kwa single charge, inaweza kutembea kilometa 600, na inapatikana kwa option ya either single motor RWD au motor mbili AWD...
RHOND'S COMPANY LIMITED
Karibu kwenye huduma zetu za kukodisha magari(car rental), ambapo tunakuhakikishia usafiri wa uhakika na wa kuaminika. Tunatoa magari ya kisasa kwa bei nafuu na huduma bora kwa wateja wetu wote.
Tunatoa:
Magari ya Aina Zote: Kuanzia magari madogo, magari ya familia...
BASHUNGWA AWEKA WAZI MIRADI ITAKAYOONDOA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MAJIJI.
Serikali itaendelea na utekelezaji wa miradi inayolenga kuondoa kero ya msongamano wa magari katika majiji.
Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na...
Tuache bei ya chuma yenyewe, ila TRA wanataka Mil 185 ukileta hii kitu tena ya 2024. Sasa sijui ikiwa 0 kilometa kuna excuse?
Kusema kweli kuna magari mazuri ila ushuru kichomi.
Tukipishana nayo njiani tuwe tunaacha space. Tusije pasua taa.
Gesi hii ambayo wanaiita Auto-Gas ndio mixture ya (Butane na Propane au Propane) na ndio huku tunapikia majumbani...; nimetoa hii habari hapa kuonyesha kwamba ni busara kutumia ulichonacho na Algeria hii gesi ndio bei rahisi sana nadhani kuliko sehemu nyingine...
Wamefanikisha hayo kwa kutumia...
Taarifa hii iwafikie wabishi wote popote walipo, kwamba, ndani ya Tanzania kuna viwanda vya magari 13
Waziri wa Viwanda Dkt Kijaji amethibitisha
---
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Tanzania ina jumla ya viwanda 13 vya magari, kati ya viwanda hivyo, viwanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.